kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema) header
kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema) profile picture

A political activist in Tanzania who focused on civil rights and good governance in Tanzania🇹🇿

Pretoria, South Africa
Joined June 2022
Photo by kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema)Photo by kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema)Photo by kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema)Photo by kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema)Photo by kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema)Photo by kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema)Photo by kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema)Photo by kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema)Photo by kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema)Photo by kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema)
Pumzika kwa Amani Deus mgengele hatutasahau ukatili samia alio fanya juu ya watanzania wazalendo 💔😭
288
2,346
107
5,518
365,667
kuringe sawere Timbiri retweeted
UJUMBE WA MUHIMU SANA HUU KWA WANACHADEMA KIPINDI HIKI. ASANTE MAKAMU @HecheJohn REPOST 200
33
553
6
2,313
40,527
kuringe sawere Timbiri retweeted
Mimi SATIVA ikija kutokea NIMETEKWA KENYA wahusika wakuu ni JESHI LA POLISI LA TANZANIA. Hii Email nilitumiwa mwaka jana 9/11/2025 na dawati maalumu la "Doria mtandaoni" (Crime Desk). Na alietuma Email hii ni AFANDE "ASP JOHN KAAYA" alikuwa shahidi namba 4 kwenye Kesi ya UHAINI YA MH LISSU. Hii taarifa itunzwe kwa wivu mkubwa sana, najua hii nchi itakuja kukombolewa hata kama sitaona ukombozi wake ila hawa watu wanaotupoteza lazima wapate HAKI YAO. CASE CLOSSED.
48
325
9
1,631
133,046
kuringe sawere Timbiri retweeted
Watanzania tuko nyuma yenu. Watanzania tuna imani na Chadema. Mlipo tupo. Na TUTAWASHINDA wauwaji wanaolazimisha kujimilikisha nchi wao na familia zao.
26
422
1
2,614
65,138
kuringe sawere Timbiri retweeted
COLLETHA AONGEZEWA SHITAKA LA UCHOCHEZI. Jana, tr 17.11.26, shauri la UGAIDI linalomkabili Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kigoma, Kamanda Coletha Ntidiycha, lilitajwa mbele ya Mahakama ya Kisutu, na ameongezewa shtaka jipya la uchochezi linalohusishwa na tuhuma za kuchochea umma.
1
39
2
142
4,382
kuringe sawere Timbiri retweeted
Pumzika kwa amani ANGEL, Ndoto zako zimezimwa kama mshumaa na Dola katili ya Samia. Sisi tuliobaki tutaendelea kudai HAKI yako bila kuchoka, Waliohusika na kifo chako ipo siku watawajibishwa. Mwenyenzi MUNGU akupokee kwake Mbinguni, Afariji Familia na kuwapa moyo Mkuu.💔
34
143
8
605
23,242
kuringe sawere Timbiri retweeted
‼️HUU NDO MPANGO WA NDULI IDD AMIN MAMA KUPITIA MARIDHIANO FEKI‼️ Nduli Idd Amin Mama na wasaidizi wake ni kama wote wamechanganyikiwa maana kuna upuuzi wanafanya mtu mwenye akili timamu hawezi kuthubutu kufanya. Iko hivi jana kwenye kikao chake cha Maridhiano na tuvyama twa Siasa twa kwenye Briefcase walikubaliana kwamba wataunda Timu ya Maridhiano ambayo itakuwa na watu kuanzia 45. Wamekubaliana kwamba tuvyama tunne ambato wao wanasema ndo tukubwa kidogo tutatoa wajumbe watatu, watatu, halafu tule tudogo tumeambiwa twenyewe tutawakilishwa na Baraza la vyama vya Siasa ambalo litatoa watu 2 ambao wataingia kwenye Team ya Maridhiano, wengine watawatoa kwenye NGO’s, Taasisi mbalimbali ikiwemo za dini ambapo huku kote Nduli atachagua machawa wake na kuwaingiza kwenye hiyo Team ya Maridhiano. Mwisho wa siku hiyo Team ambayo inaitwa ya Maridhiano itakuwa na watu 99.5% ambao wanamuunga mkono Nduli na maujinga yote. Hiyo Team ya Maridhiano kazi kubwa ambayo inaenda kufanya ni kumtengenezea mazingira Nduli Idd Amin Mama ili arudi madarakani kwenye Uchaguzi ujao bila kukutana na kizuizi chochote maana bado anataka aendelee kuwa Rais so kupitia hiyo Team ya Maridhiano anaenda kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu vya Katiba iliyopo maana jana Nduli aliwambia live kwamba yeye hana mpango wa kuleta mchakato wa Katiba Mpya. Nduli anataka kuondoka vifungu vyote ambavyo havitaki kwenye Katiba iliyopo then wataweka vile ambavyo anataka yeye na moja ya kifungu ambacho anataka kuondoa ni kifungu ambacho kinasema kwamba Rais akifa, Makam wa Rais anachukua mikoba na kuendeleza gurudumu. Nduli anahofu sana, muda wote anahisi atauwawa kwasababu yeye keshazoea kuuwa wenzake so anadhan kila mtu ni muuaji kama yeye. Hata kitendo cha kumuondoa Emmanuel Nchimbi, ukiachilia mbali sababu zote tajwa sababu nyingine ni kwamba machawa walimjaza Nduli hofu kwamba Nchimbi anaweza kumuua ili arithi kiti cha uRais haram. Halafu jambo jingine kwenye kikao chao cha jana waliunda Team ya Wazee Wastaafu (machawa wa Nduli) ambao wamewabatiza jina la ‘Reference Group’ ambapo kwenye hili kundi yupo 1. FREEMAN MBOWE 2. Jakaya Kikwete 3. Mzee Karume 4. Hamad Rashid Mohamed 5. Juma Duni Haji 6. Wazee wa CCM wale machawa pro wa Nduli 7. Wengine watatu wataongezwa kulingana na uhitaji Wamekubaliana hao Wazee ndo wasuluhishi yani mfano ikitokea kwenye hiyo Team yao ya Maridhiano kama kukiwa na mgogoro au mkwamo basi watakuwa wanawaita akina Mbowe ili wawakwamue. Wakati hayo yakiendelea Abdul na vibaraka wake wanaendelea kuwapa pesa maccm na tuvyama twa kwenye Briefcase kwenye kila Mkoa ili waendelee kwenda kutoa maoni kwenye Tume ya Jaji Lila na kusema kwamba waliosababisha mauaji ya Watanganyika zaidi ya elfu kumi Oktoba 29, 2025 ni Viongozi wa CHADEMA na baadhi ya Wanaharakati.
55
161
8
781
96,873
kuringe sawere Timbiri retweeted
‼️ALERT ‼️ Wiki mbili zilizopita Colletha Ntidyicha alifikishwa Mahakamani na kusomewa kesi ya Ugaidi akiwa pekee yake. Leo kafikishishwa Mahakamani kaunganishwa na watu ambao hata yeye hawajui ni wazi kwamba wapikaji wa hii kesi kuna kitu kinapika na sitashangaa hao watuhumiwa wengine wakiact kama wale mashahidi wa kificho kwenye kesi ya Mhe. Lissu. #FreeCollethaNtidyicha
16
122
2
505
38,484
kuringe sawere Timbiri retweeted
Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kigoma Kamanda Colletha Ntidyicha aliyeshitakiwa kwa tuhuma za UGAIDI akirudishwa Gereza la Segerea mara baada ya shitaka lake kutajwa ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo.
19
57
5
243
17,788
kuringe sawere Timbiri retweeted
Clear
1
25
150
2,341
kuringe sawere Timbiri retweeted
TANGAZO RASMI🔥 🔥 Ninayo furaha kuwajulisha wateja wetu kuwa tumepanua wigo wa biashara zetu. Na kuanzia sasa spea za pikipiki aina ya TVS, BOXER na HONDA ACE zinapatikana. TVS & BOXER, lipa baada ya kupokea mzigo popote Tanzania Contact: 📞0793022184 📞0719542184 📞0627422184
2
8
25
1,506
kuringe sawere Timbiri retweeted
TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa Jimbo la Kyela Mhe. Victoria Swebe anashikiliwa na Jeshi la Polisi tangu jana Jumatatu alipoenda kuitikia Wito wa RCO wa Mkoa wa Mbeya. Kwa Sasa yupo Kituo cha Polisi Central Mbeya Mjini.
3
86
1
302
3,163
kuringe sawere Timbiri retweeted
Happy Birthday, Katibu wetu wa Kanda ya Kusini, @ShijaShibeshi Nakutakia maisha marefu, afya njema na nguvu zaidi katika safari ya kusimamia haki na uzalendo. Mungu akulinde, mpiganaji! ✊❤️ PEOPLE’S POWER!
18
71
1,015
Happy Birthday, Katibu wetu wa Kanda ya Kusini, @ShijaShibeshi Nakutakia maisha marefu, afya njema na nguvu zaidi katika safari ya kusimamia haki na uzalendo. Mungu akulinde, mpiganaji! ✊❤️ PEOPLE’S POWER!
18
71
1,015
kuringe sawere Timbiri retweeted
MARIDHIANO AU UPATANISHO HAVIWEZI KUFANIKIWA BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI! Maridhiano au upatanisho wa kweli na wa kudumu hauwezi kufanyika bila kwanza kuwepo kwa Tume Huru, Jumuishi na Yenye Kuaminika ya UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI. Tume hiyo lazima ijumuishwe na wataalamu wenye uwezo na uadilifu kutoka ndani na nje ya nchi, pamoja na uwakilishi wa wahanga wenyewe, ili ukweli wote kuhusu yaliyotokea uweze kubainika, haki itendeke na uwajibikaji uweze kupatikana. Hatuwezi kwa dhati kufikiria kukaa kwenye meza ya mazungumzo huku wanaharakati, watetezi wa haki za binadamu na wanasiasa wanaosimamia misingi ya UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI wakiendelea kuwindwa, kutishwa, kuwekwa kizuizini au kubambikiwa makosa yasiyo na dhamana kwa hila bila aibu halafu hao hao wanaofanya unyama huo wanahubiri Nuru katikati ya Giza. Hali inakuwa ya kusikitisha zaidi pale ambapo kiongozi mkuu wa chama kikuu cha upinzani ndugu Tundu Antipas Lissu kwa Uonevu na ukatili usiomitjilika  anapokuwa gerezani katika mazingira ambayo uhalali na uadilifu wake wa kisheria vinazua maswali mazito. Ni muhimu tuelewe jambo moja na Tuliseme bila kupepesa macho: Mgogoro huu si mgogoro wa vyama vya siasa; ni mgogoro unaohusu haki, utu, usalama na uhai wa RAIA. Kwa hiyo, tuache kujidanganya, kujilisha upepo au kubeza na kupuuza madhila ya wahanga, hususan vifo na mauaji yanayodaiwa kufanyika dhidi ya raia wasio na hatia kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025. Maumivu ya wahanga hayawezi kufutwa kwa matamko ya kisiasa, wala ukweli hauwezi kufunikwa kwa kauli za maridhiano. Maridhiano si njia ya kufuta makosa, kuficha ukweli, kusamehe bila kujua kilichotokea au kuwapa kinga wale wanaopaswa kuwajibika. Maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya kukiri ukweli, kutambua madhara, kutenda haki, kurejesha utu na kuhakikisha uwajibikaji. Huwezi kujenga amani ya kudumu juu ya misingi ya dhuluma, ukimya na kutokuwajibika UKWELI ndio mwanzo. HAKI ndiyo msingi. UWAJIBIKAJI ndiyo daraja. MARIDHIANO ndiyo matokeo. Kufanya kinyume na utaratibu huu si kujenga maridhiano; ni kudhihaki ufahamu wetu, kupuuza maumivu ya wahanga na kuahirisha mgogoro ambao hatimaye utahitaji kutatuliwa. BAK MWABUKUSI UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI VITALIPONYA TAIFA
41
324
3
959
15,198
kuringe sawere Timbiri retweeted
Uzuri HASHEEM RUNGWE alituambuaga ukweli. Haya maigizo yanayoendelea , yalifanyika mwaka jana nchi ikaingia kwenye maafa makubwa. Bila shaka hili igizo pia litakuja na MAJIBU zaidi ya yale ya mwaka jana. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
29
83
7
638
46,447
kuringe sawere Timbiri retweeted
Nduli Idd Amin Mama ni bogus na hata wanaomzunguka nao ni hamnazo yani aliingia kwenye Uchaguzi na tuvyama twa kwenye briefcase, akajitangaza ameshinda kwa 98%. Baada ya Nduli Idd Amin Mama kujitangaza, tuvyama twa kwenye Briefcase tukafanya press ya kumpongeza na kusema kwamba kashinda Uchaguzi kihalali na kwamba Uchaguzi ulikuwa huru na Haki. Huto tu vwama ndo tulimuwezesha kufanikisha Mauaji ya Watanganyika zaidi ya elfu kumi, so kwa kifupi leo Nduli ameanza rasmi safari ya Maridhiano na wauaji wenzake.
23
131
5
739
44,561
kuringe sawere Timbiri retweeted
Utekaji unaendelea kushika kazi, wameanza kuteka Waganda wanaoingia Tanzania Ni vyema raia wa Uganda kuwa makini sana wanapokuwa Tanzania , #TanzaniaSioSalama
7
43
4
192
11,591
kuringe sawere Timbiri retweeted
RECONCILIATION CANNOT SUCCEED WITHOUT TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY! Genuine and lasting reconciliation cannot be achieved without first establishing an Independent, Inclusive and Credible Commission on TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY. Such a Commission must comprise competent and persons of integrity from both within and outside the country, alongside meaningful representation of the victims themselves. This is essential to ensure that the full truth about what happened is established, justice is delivered, and accountability is secured. We cannot genuinely contemplate sitting at the negotiating table while activists, human rights defenders and politicians who stand for the principles of TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY continue to be hunted down, threatened, detained, or maliciously framed with non-bailable criminal charges through questionable and manipulative schemes, while those responsible for such atrocities continue to portray themselves as champions of light in the midst of darkness. The situation becomes even more disturbing when the leader of the main opposition party, Mr. Tundu Antipas Lissu ,remains in prison under circumstances that raise serious questions about the legality, fairness and integrity of the legal process through which he is being held, amid what can only be described as injustice and unimaginable cruelty. There is one fundamental point we must understand and speak about without fear or equivocation: This is not a political party dispute; it is a crisis concerning justice, human dignity, the safety and the very lives of citizens. Therefore, let us stop deceiving ourselves, engaging in wishful thinking, or trivialising and disregarding the suffering of victims, particularly the deaths and alleged killings of innocent civilians before, during and after the General Elections of 29 October 2025. The pain of victims cannot be erased through political statements, and the truth cannot be buried beneath the rhetoric of reconciliation. Reconciliation is not a mechanism for erasing wrongdoing, concealing the truth, granting forgiveness without first establishing what happened, or shielding those who ought to be held accountable. Genuine reconciliation must be built upon the acknowledgement of truth, recognition of harm, delivery of justice, restoration of human dignity and the guarantee of accountability. You cannot build lasting peace upon the foundations of injustice, silence and impunity. TRUTH is the beginning,JUSTICE is the foundation,ACCOUNTABILITY is the bridge and RECONCILIATION is the outcome. To reverse this sequence is not to build reconciliation; it is to insult our collective intelligence, disregard the suffering of victims and merely postpone a crisis that will eventually have to be confronted and resolved. BAK MWABUKUSI TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY WILL HEAL THE NATION.
16
161
3
473
6,948
kuringe sawere Timbiri retweeted
Kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kigoma Kamanda Colletha Ntidyicha itatajwa Kesho Tr. 17/11/26 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuanzia saa 3 asubuhi. Natoa wito kwa BAVICHA Kanda ya Pwani kujitokeza kwa wingi kuhudhuria kesi hii ya mchongo inayomkabili.
2
76
3
280
7,165
kuringe sawere Timbiri retweeted
Twaha Mwaipaya is still missing. He was abducted in Kenya. He was always against the dictatorial regime of Mama Samia Suluhu Hassan... 20 days now...
2
109
2
292
6,036