Kwetu Bongo Magazine (@kwetubongo) header
Kwetu Bongo Magazine (@kwetubongo) profile picture

Photographer & Online Magazine / Newspaper Based on Entertainment, Politics & Sports

Brooklyn, NY
Joined January 2011
Photo by Kwetu Bongo Magazine (@kwetubongo)Photo by Kwetu Bongo Magazine (@kwetubongo)Photo by Kwetu Bongo Magazine (@kwetubongo)
Kwetu Bongo Magazine retweeted
Get out of your comfort zone and into the conversation as HBO’s Overtime with @BillMaher comes to CNN. Catch Bill and all his guests tonight at 11:30 p.m. ET
63
21
2
116
213,074
Ndoto ya wananchi wa Wilaya ya Chato kuwa Mkoa imegonga mwamba baada ya mikoa jirani ya Kigoma, Kagera na Mwanza kutokuwa tayari kuachia maeneo yake ili kuunda mkoa mpya wa Chato. Soma Zaidi cutt.ly/t2AgMBr instagram.com/p/CnQ09HfKvpn/… – at Kagera, Tanzania
38
Just posted a photo @ Nigeria instagram.com/p/CkbCwWEKhkc/… – at Nassarawa, Nigeria
@sadamwanakasema unataka kunambia #zuhura #zuchu kachanja chale? na hiyo video ulopost ndo utafanya tuamin mrogo nangai 😭 ndoa bado haiji pamoja na yote instagram.com/p/CkbBpvAqzoZ/…
Kwetu Bongo Magazine retweeted
Safari Moja na Mama @SuluhuSamia
203
38
9
529
Kwetu Bongo Magazine retweeted
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwa Mheshimiwa Dkt. Salim Ahmed Salim, mtumishi mahiri wa umma wa Watanzania, Afrika na Dunia kwa zaidi ya miongo minne. Katika siku hii adhimu ya kumbukumbu ya miaka 80 ya kuzaliwa kwako, tunakushukuru kwa utumishi uliotukuka kwa nchi yetu.
469
485
28
4,515
Kwetu Bongo Magazine retweeted
Kwa masikitiko makubwa tarehe 17th March 2021, saa 12 jioni tumempoteza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli ambaye amefariki kwa maradhi ya moyo katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
431
692
58
5,714
Kwetu Bongo Magazine retweeted
31
111
17
645
Kwetu Bongo Magazine retweeted
Tanzania's President John Magufuli has died, his government says. He had not been seen publicly since February 27. cnn.it/3losIKn
35
86
12
294