teapawt
$
L$O
@leo_unsc
Joined January 2012
Tweets
3.2K
Following
135
Followers
3.7K
Likes
40.5K
70
Media
70
Media
Tweets
All
Posts
Sort by
Most recent
Popular
Tweets & Replies
Reposts
Media
Search
Pinned Tweet
L$O
@leo_unsc
2 Mar 2025
God is great. God is the greatest.
9
28
101
9,830
L$O retweeted
L$O
@leo_unsc
Oct 19
UKITAKA KUENDELEA, USIENDEKEZE HISIA.
1
5
11
521
L$O retweeted
L$O
@leo_unsc
Oct 26
Kuna watu tayari ni wanaume wakiwa na miaka 18 na wapo ambao bado ni wavulana wakiwa na miaka 30 Mvulana anakuwa mwanaume akiacha kulalamika.
4
10
33
780
L$O retweeted
L$O
@leo_unsc
Oct 24
Anaepita ni wewe sio muda, usisahau kuishi.
2
6
19
458
L$O retweeted
L$O
@leo_unsc
Sep 18
Unaweza ukatumia miaka 10 kwenye msoto, harafu ukaotea goli ndani ya mwaka mmoja tu Uka - compesate miaka yote 10 uliyopoteza.
5
18
1
81
1,952
L$O retweeted
L$O
@leo_unsc
Oct 27
Shetani akitaka UFE maskini anakupusha na wanawake waongo wa dar, anakupeleka kwenye Betting.
1
2
7
306
L$O
@leo_unsc
Oct 31
Kujing’ata ulimi wakati unakula ni ishara tosha ya unaweza kuzingua wakati wowote hata kama una experience ya muda mrefu.
3
9
1
47
1,333
L$O
@leo_unsc
Oct 29
DINI ZIMETU BRAINWASH MPAKA UMASKINI UNAONEKANA NI KITU CHA KUJIVUNIA.
15
22
1
82
1,847
L$O
@leo_unsc
Oct 28
Ukiskia Whaata comeback ndio hii 😅
16
23
3
314
28,373
L$O
@leo_unsc
Oct 27
Shetani akitaka UFE maskini anakupusha na wanawake waongo wa dar, anakupeleka kwenye Betting.
1
2
7
306
L$O
@leo_unsc
Oct 26
Kuna watu tayari ni wanaume wakiwa na miaka 18 na wapo ambao bado ni wavulana wakiwa na miaka 30 Mvulana anakuwa mwanaume akiacha kulalamika.
4
10
33
780
L$O
@leo_unsc
Oct 24
Anaepita ni wewe sio muda, usisahau kuishi.
2
6
19
458
L$O
@leo_unsc
Oct 19
UKITAKA KUENDELEA, USIENDEKEZE HISIA.
1
5
11
521
L$O
@leo_unsc
Oct 17
Siku nitayo mpata demu nkamuuliza, “Umekula?” Halafu akajibu “Ndiyo” Wallahi, huyo namuoa! 😂
5
7
2
25
1,078
L$O
@leo_unsc
Oct 16
Watu wanaokunywa pombe za gharama, huwa wanadhani maini yanaweza kutofautisha kati ya Hennessey na double kick.
8
14
4
139
6,536
L$O
@leo_unsc
Oct 15
Weakly earning ya dereva wa bolt ambae ni boda boda 389K. Kijana unaemaliza chuo usiongopewe na wavaa suti na tai ukaingia kwenye mtego wa kuchagua kazi.
3
5
16
2,274
L$O
@leo_unsc
Oct 15
Kwamba sikuhizi mashekh hakuna au imani imeshuka, Siskii kabisa wezi kusomewa AL-BADIL kama zamani.
7
8
1
63
2,593
L$O
@leo_unsc
Oct 13
Sitakwambia kila kitu ila usipendelee kununua dawa hiyo pharamacy ya mtaani kwako. NB: Hasa kama unaishi uswahilini.
3
7
1
109
10,683
L$O
@leo_unsc
Oct 12
Hata kama una ukaribu na mtu kiasi gani, akikupa kitu bure jiulize sana maswali.
10
10
1
52
1,594
L$O
@leo_unsc
Oct 11
SEMA WATZ WENGI UMEME WAO MDOGO KICHWANI.
44
37
3
189
5,426
L$O
@leo_unsc
Sep 18
Unaweza ukatumia miaka 10 kwenye msoto, harafu ukaotea goli ndani ya mwaka mmoja tu Uka - compesate miaka yote 10 uliyopoteza.
5
18
1
81
1,952
Load more