Sauti ya Anfield itasikika kote duniani! Wapinzani wajue hakuna pa salama mbele ya jeshi jekundu!, Hasira ya uwanjani, umoja wa mashabiki! Leo tunapigania nembo, si pointi pekee.
#YNWA
🔥🔴 LIVERPOOL FAMILY ON A MISSION! ❤️⚽️
Hii weekend tupo AMANI FOUNDATION {KIGAMBONI} kutembelea watoto yatima/wenye mahitaji maalumu 💫
Tukileta furaha, zawadi, na moyo wa “You’ll Never Walk Alone” 💪🏽❤️
Kama ni mpenzi wa Liverpool, basi hii ni nafasi yako ya kuonyesha upendo



















