MG (@magamboMg) header
MG (@magamboMg) profile picture

Health and Education

Arusha, Tanzania
Joined April 2019
Photo by MG (@magamboMg)Photo by MG (@magamboMg)Photo by MG (@magamboMg)
Great piece from dada Mkuu! 🙌🏾🔥 – at Dar es Salaam, Tanzania
31
25
5
254
Familia yako haijui ni shida ngapi na shinikizo unapitia katika maisha yako ya kila siku au katika biashara yako. Na kazi yako haijui hali ya maisha yako na nyumba yako. Marafiki na wapendwa wako hawataelewa ukubwa wa majukumu mapya na ya zamani yaliyo juu yako. Na mpenzi wako
5
21
82
I agree. She is human and it’s nice to see her fun side. She is clearly relaxed and enjoying herself and feels at ease with her host. I think the criticism is unfounded.
Maputo is always a fun place to visit. Great to see SSH having good times..
81
53
10
409
Kuna watu wamechoshwa sana na CCM ila pia hawauamini upinzani huu wa "kimchongo mchongo". Kama wewe ni mmoja wa hao watu, chapa rt moja hapa...kuna kitu nataka kuona.
54
211
16
515
Ukivumilia unaonekana huna pa kwenda. Ukienda unaonekana umeshindwa kuvumilia.
22
31
4
394
UJUE UGONJWA WA KISUKARI NA NAMNA YA KUISHI NAO. UZI 🧵 RETWEET KUSAIDIA MAISHA YA MPENDWA MMOJA.
10
213
6
382
Somebody is Mad at You Right now Cause you Picked peace over Drama and Distance over Disrespect.
2
6
Diabetes is a major cause of Blindness, kidney failure, heart disease, Stroke and lower limb Amputation. Remember a healthy diet can prevent DM2.
2
2
12
About 422 million people worldwide have diabetes and 1.5 million death are directly attributed to diabetes each year.Control your blood sugar before it controls you.
2
1
1
6
Ni wakati sasa serikali kubadili mfumo wa ufundishaji kutoka kingereza kua kiswahili kwa shule zote had vyuo,matumiz ya kiswahili maofinis kwa secta zote ,ili kukuza kiswahili na kukipa kipaumbele kwenye ushindani wa kiuchumi duniani.Heri ya siku ya kiswahili Dunian✊
1
Kuna Mda Tunapaswa Kuipongeza serikali kwenye ubora wa Afya kutoka Kipindi cha Uhuru Mpaka saiv tulipo.Ukiangalia frame Namba moja ni Zahanati moja huko same mwaka 1967 kule pembeni kijumba kidogo ni nyumba ya daktar. .Sasa Angalia frema Namba mbili Mpaka ambulance za majini🙌😋
3
10
33
Nang’atuka
TBT ya Kibabe.. 'NANG'ATUKA' Special DEDICATION kwa Bwana NDUGAI.
3
Be my Parent with Faraja Orphanage Center..Kama huwezi kwenda na watoto Basi Saidia hata Mtoto Mmoja Aende Mbugani utabarikiwa. Cc @magamboMg codinator of this Trip
2
5
14
Hili Jua Linalowaka hapana Jmn Kunawatu Wamekula Hela za Mvua, Katiba Mpya ni Muhimu sana😃😃😃😃😃😃😃
1
2
4
Natamani ikimpendeza Mungu @ummymwalimu aje awe PM wetu 2025-2030🙏🏽@ABunyinyiga3 @DrPiusDamian
2
1
1
6
Monthly Agribusiness Series ( Mjadala wa kilimo biashara) Upo karibuni kuanza. Tafadhali jiunge na ujisajili kwenye Mjadala huu utakao saidia kuinua na kukuza kilimo biashara kwa vijana. Jisajili kupitia https://teapawt.net/t.co/Au4kbFeRCU Tarehe: 29/10/2021 Muda: saa 3 asubui mpaka saa 6
2
3
Hakuna Mahali imeandikwa Tuishi Tulipe bill hafu Tufe Tujitahidi Kufanya vitu vitakavyoacha Alama zetu vijana wenzangu
2
4
#DearNyerere wewe ulikuwa mkulima na ulisititiza somo la kilimo mashule lakini ulivyoondoka tuu alitokea Waziri wa Elimu Joseph Mungai akafuta somo la kilimo mashuleni na serikali pamoja chama hawakumfanya kitu kabisaa
1
7
22