#MtotoKwanza: Ni lipi jukumu la jamii katika Ulinzi wa Mtoto chini ya Miaka 8? Tuachie maoni yako hapa na tutayasoma hewani.
Tusikilize kupitia 92.9 DSM, 101.7 Mwanza, 93.3 Dodoma.
92
Wamesema leo stori za Abaya wameweka kando, stori ni moja tu Mwanamke Fundi: Mkali wa Futari na Nishati Safi.
#MwanamkeFundi2025 #MkaliwaFutari
80
Maelekezo toka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mwanamke Fundi 2025 @neemandetto_ | Pishi linapikwa hapa Vegas, Mabibo leo, Mkali wa Futari anapatikana hapa hapa.
#MwanamkeFundi2025 #MkaliwaFutari
50
Unataka vya Kuchinja? au chaguo lako ni vya kuchimba? Karibu hapa Vegas, Mabibo tufturu pamoja lakini pia tuungane kumpata yule mpishi hodari na Fundi wa kupika futari kwa nishati safi.
#MwanamkeFundi2025 #MkaliwaFutari
43
Azimio la DSM linafanyiwa kazi leo, ajenda ni kumtoa Mwanamke kwenye matumizi ya mkaa wenye moshi na nishati zisizofaa, leo inapikwa futari kwa gesi na kabla ya jua kuzama pishi linakuwa mezani. Tupo hapa viwanja vya Vegas, Mabibo kwa ajili ya kumpata hodari wa pishi la futari.
51
Timu ya Taifa ya Tanzania imepangwa Kundi C katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika - AFCON 2025 nchini Morocco.
Tanzania itaumana na Uganda, Tunisia na Nigeria kwenye kundi hilo. Michuano hiyo ya 35 itaanza kuunguruma kuanzia Disemba 21 mwaka 2025 hadi Januari 18, 2026.
49
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amemjibu aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kuhusu kauli yake ya kubeza juhudi za Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).
1
1
58
Akizungumza mkoani Singida baada ya kukagua miradi ya TASAF, Waziri Simbachawene amesema mfuko huo ni moja ya mikakati ya Serikali kusaidia wananchi kiuchumi, hususan kwa wale wasiojiweza.
#TASAF #Maendeleo #Uwezeshaji #CCM #Mbowe #Simbachawene
26
Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewataka wanachama na wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Mgombea wa Urais wa Zanzibar, ambaye anatarajiwa kuwasili Zanzibar kesho asubuhi akitokea mkoani Dodoma.
#CCMZanzibar #DktHusseinAliMwinyi #UraisZanzibar
56
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Saed Ramovic amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Ligi Kuu kwa mwezi Disemba.
Ramovic aliingia fainali na Kocha Fadru Davis wa Simba SC na Rachid Taoussi wa Azam FC.
#Ramovic #YangaSC #NBCPremierLeague #TuzoZaMwezi
208
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ametoa wito wa mshikamano ndani ya chama akihitimisha kampeni zake za kuwania tena nafasi ya uenyekiti wa taifa.
"Uchaguzi huu haupaswi kuwa vita, unapaswa kuwa furaha ya ujenzi wa demokrasia," amesema.
1
63
Kocha Mkuu Mpya wa KenGold, Vladslav Heric amesema timu hiyo imekuwa dhaifu katika eneo la ulinzi ambalo limekuwa likiruhusu magoli ambapo pamoja na mambo mengine atahakikisha wanatoa kipaumbele kwenye eneo hilo.
#KenGold #NBCPremierLeague #VladslavHeric #SokaTanzania #LigiKuu
1
43
"Kwa haya mliyoeleza hapa,, ushindi wa CCM ni dhahiri. Ushindi wa CCM katika uchaguzi wa mwaka huu hauna mjadala. Wagombea watakuwepo wa vyama vya vingine lakini sioni namna wanavyoweza kuishinda CCM." - Mhe. Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne.
51
Jumla ya wajumbe 1,924 wamefika katika Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi - CCM. Ni wajumbe wanne tu ndio wanaudhuru hawajahudhuria Kikao Mkutano huu.
#MkutanoMkuuMaalumCCM2025
92





















