Cha muhimu ni BISMARCK ROCK. LIrudishwe kama lilivyokua. Picha zipo. Swala la meli tulishasema ni za kuungaunga na zitaleta majanga, kuna ile ya Kidgoma mmeungaunga piya. Kamati ishughulike na JIWE TU.
3
Kawateuwa kwa niaba ya chama chake (mw/kiti ccm) na chama chake kinaenda kugombea. Endeeni kulisuka hili bomu. Litalipuka tu.
Na ndo anaetakiwa baada ya TAL kumaliza muda wake. So jamaa yupo sahihi kabisa. It's pain everywhere.
1
29
Kesho @judiciarytz wataficha mpira kwapwani ndo shida ya kuendesha kesi kwa maelekezo.
Tokea mmenza kuteka, mmefanikiwa lengo lenu zaidi ya kuongeza hasira kwa raia? Mnawakosoaji ambao siyo raia so mkitumaliza ukosoaji upo palepale. #FreeTwahaMwaipaya
1
36
Kaka @Thommunkondya ndo vijana unawaandaa huko vyuoni Songwe. Yaani matatizo ya vijana na UVVegies ni kuwatukana wapinzani? Yaani kijana anaomba kuonana na rais ili aombe hiki👇
2
54
Replying to @MadederiOG
@MadederiOG Sgt Maj. Robert Kabere was beheaded. I hope you didn't mean it. Be blessed but if you meant for harm to happen to him. God will never leave you unpunished.
37
Replying to @tanpol
@tanpol kuna vitu mnapashwa kujifunza hasa kwa dunia ya sasa. Kazi yenu ni kulinda maisha na mali za watu. Kama mtu au raia hawaharibu maisha au mali basi kwenu ndo mnakuwa mmetimiza wajibu wenu. Madereva wanawapinga waliotunga sheria mbovu siyo nyinyi so mjifunze kukaa kimya.
2
56
Kama hakuwa na siraha basi angepewa tu 2k or 3k. Wewe uliyefyatua risasi unajisikiaje hapo ulipo na wewe uliyeombwa ya chakula unajisikiaje? Mtu amepoteza maisha sbb ya pesa ya kula !
23
Kaka @jjmnyika ule moto wa j3 ulikuwa si wa kawaida..hope na leo moto utaupekeka kwa kiwango kilekile. Usiongeze jamaa alisha panic.
26















