The 2026/27 #TotalEnergiesCAFCL Group C:
1️⃣| RS Berkane 🇲🇦
2️⃣| Simba SC 🇹🇿
3️⃣| Orlando Pirates FC 🇿🇦
4️⃣| Colombe Sportive DL 🇨🇲
Berkane ndiyo mlisema boss wao ni kitengo pale CAF?
Na Orlando Pirates ni wawakilishi pekee pale SA
Simba wanaenda kupata kipimo cha ukubwa haswa.
Msimu huu Yanga wamepata wenzao hapa hamna bingwa wala alowahi kucheza fainali kwa miaka 15+
Zamalek
Yanga
MC Alger
Club Africain
Hao wawili waaenda kama walivo
The 2026/27 #TotalEnergiesCAFCC Group A:
1️⃣| Al Ahly FC 🇪🇬
2️⃣| Raja CA 🇲🇦
3️⃣| ASKO De Kara 🇹🇬
4️⃣| CD 1 Agosto 🇦🇴
Azam wanajifunza kuendesha gari uzeeni 😂
GROUP B - CAFCC
🇲🇦 AS FAR
🇹🇿 Azam Fc
🇱🇾 Ahly Tripoli
🇿🇦 Durban City
Neno bure wengi WANAOGOPA 😂
MSB retweeted
Wakuu upokeaji wa simu hasa kwa namba mpya kama huzijui pokea kwa heshima ni muhimu sana, niliwahi kosa dili hivihivi.
Kuna kazi niliwahi apply mwaka 2019 nilitumiwa tangazo na mwana mjini green app akanambia jaribu.
⤵️
👍
Hili swali nalipenda sana, Unaweza kujiunga na AzamPesa kwa kutumia laini yako ya Halotel, Vodacom, Airtel au Yas (Tigo). Unahitaji namba ya simu na namba yako ya NIDA.
AzamPesa app ipo playstore na appstore unaweza kuidownload chaap hata dakika haiishi.
Ukajiunga mwenyewe au ukaenda kwa wakala wa AzamPesa aliye karibu nawe📍📌
Junk ana upepo mkali game ya leo kaanza na kapiga dk 60+,
Ile sheria mlisema ya CAF bado ina mlinda au ndiyo kikosi kidogo?
Sema hii sajili ya Yanga msimu huu 🫠
Tuliambiwa tuna kikosi kipana timu moja ikacheza KMC na nyingine ikacheza friend match Avic🤣
Leo pale dimba anasimama Komara tutahaha sana 🙌🙌
MSB retweeted
Naona AzamPesa wamepania sana huku kitaaa wanajitahidi sana kutoa elimu kuhusu AzamPesa wanavofanya kazi na wadau wengi wanajiunga kwa sasa tena ukijiunga watoa huduma wanakupigia simu kukuelekeza namna nzuri ya kutumia🫡🙌🏾
Kocha la boli tupo nyuma yake
🚨 Manchester United have decided to continue with Michael Carrick as head coach.
Despite Bournemouth and Como defeats, #MUFC hierarchy decides to give Carrick more time to fix things. Player also informed.
Up next: Chelsea-Man United on Saturday. Carrick will be there.
MSB retweeted
Changamoto zipo ila hakuna kukata tamaa, mapambano yanaendelea.
Huduma za Tiketi ni za uhakika 🙏🏻
Replies UVCCM tupu
Bora mimi SATIVA najulikana kijana wahovyo nina matusi, sina heshima labda kwa sifa hizo nikose sifa za KUSAIDIKA.
TWAHA kijana wa CHADEMA, Chadema wanajua Katibu wao mstaafu wa BAVICHA yupo hatarini mwaka sasa wamekaa tuu.
Mna vyama washirika dunia NZIMA mnashindwa kusaidia wanachama wenu?
Ilikuwa kwa ndugu yangu SOKA MWAKA JUZI, Ikawa kwa ndugu yangu MDUDE MWAKA JANA, Sasa ndugu yangu TWAHA.
Hamshtuki????????
Sisi wengine tushakufa mnaweza kutupuuza, wafikirieni watu wenu. Leo ASSET kama TWAHA mnaipoteza kirahisi tuu.
SHAME ON YOU CHADEMA.
#FreeTwahaMwaipaya























