Pinned Tweet
Dear God,Thank you for waking up me today,Please help me to think clearly so I can make choices that honor you.Please show me the right path in everthing i do. Amen.
Mchache retweeted
✨ Karibu LYNE Furniture & Interiors ✨
Tunatengeneza furniture za quality na Full interior designs zenye elegance, comfort na style ya kipekee.
Contact Us
Instagram Lyne_furniture_and_Interior
Call/Whatsapp +255783809061
Welcome to a new level of living with LYNE. 🤍
🤖 Made with AI
Mchache retweeted
Let the young man go and hunt. If he kill an elephant his poverty ends.. If the elephants kills him, his poverty ends.
African proverb.
Mchache retweeted
Most people think safaris are expensive.
But wildlife itself is free.
What travelers are truly paying for is something much deeper:
Access to:
→ Remote wilderness areas few people will ever reach.
→ Conservation systems protecting ecosystems under pressure.
→ Skilled guides who can interpret nature beyond “there’s a lion.”
→ Silence, space, and moments that cannot be manufactured.
If you are looking for a safari that goes beyond sightings and becomes a deeper exploration of the wild, Tanzania is waiting for you.
Come not only to see Africa,but to understand it.
The smile on my face doesn't mean my life is perfect. It means I appreciate what I have and what God has blessed me with...🙏🏿
🔥HISTORIA YA UTAMADUNI WA USAFI WA WAJAPANI🇯🇵🇯🇵🔥
Thread..👇🏾
Follow me. @mchache_tz
🤖 Made with AI
Miaka mingi iliyopita,kabla hata ya dunia haijaanza kuwasifia na kuwapongeza,watu wa Japan walishakuwa tayari wamefundishwa kuwa,usafi si kazi ya mtu mwingine au mtu mmoja,bali ni heshima kwa jamii nzima,na ni wajinu wa kila mwananchi kuhakikisha anaisji kwenye mazingira safi.
Watoto wao hukua wakisafisha madarasa, viwanja na hata vyoo vya shule kwa mikono yao wenyewe,Si kwa sababu hakuna wafanyakazi wa usafi.
Bali kwa sababu wanaamini:
“Ukiacha sehemu ikiwa safi kuliko ulivyoikuta, umeonyesha utu na uungwana.”
Ndiyo maana katika michezo,kila baada ya mechi kuisha, wakati mashabiki wengine wanaondoka kwa kelele na taka kila mahali, basi mashabiki wa Japan hubaki kimya wakikusanya uchafu wao wenyewe....👇🏾
1
4
141
Hakuna kamera walizoziomba kuwamulika wakifanya hivyo,
Hakuna mtu aliyewalazimisha kufanya yote hayo,bali ni utamaduni wao,nidhamu yao wanayoiishi wakati wote.
Dunia ilianza kushangazwa zaidi baada ya Kombe la Dunia, pale picha zao za kusafisha uwanja ziliposambaa mtandaoni.
Tabia hii ya mashabiki wa Japan kusafisha uwanja ilianza kuvuta attention kubwa duniani kwenye Kombe la Dunia la 2014 FIFA World Cup kule Brazil.
Baada ya mechi yao dhidi ya Ivory Coast, mashabiki wa Japan walibaki uwanjani wakikusanya taka huku timu yao ikiwa imefungwa 2–1.
Jambo hilo liliwashangaza watu wengi kwa sababu walifanya hivyo bila kulazimishwa.
Lakini ukweli ni kwamba, huo haukuwa mwanzo wa utamaduni huo.
Japan walikuwa tayari wanaishi na maadili hayo kwa miaka mingi sana ndani ya shule na jamii zao.
Kombe la Dunia la 2014 ndiyo lilifanya dunia nzima kuuona rasmi na kuanza kuuzungumzia sana mtandaoni.
Kisha kwenye 2018 FIFA World Cup, picha zao zilienea zaidi duniani na watu wengi wakasema:
“Japan hawakuleta tu timu ya mpira… walileta somo la maisha.”
Tangu siku hiyo, mataifa mengi yalianza kuona kuwa maendeleo si majengo marefu pekee…
Bali ni tabia ndogo zinazojengwa kila siku.
Japan waliufundisha ulimwengu kitu muhimu sana:
“Heshima haionekani kwenye maneno makubwa… inaonekana kwenye matendo madogo ambayo hakuna anayalazimisha.” 🇯🇵
Follow me @mchache_tz 🙏🏿
3
90



















