Pinned Tweet
Mama anaskia wivu mtoto wake wakikulana kwa house party 馃槄yenye ilikuwa inafanyika kwa nyumba yake
Victoria. Baby Elley amesema yeye ndio mkonde kwa wamama wote, na kama ni hivo Wacha wamama wakae buana馃槄
IEBC inaleta mchanganyiko kwa sababu huku nyeri tulikuwa karibu kuanza celebration za Gachagua kukua kwa ballot 2027 aki vying for presidency 馃槄
Wadau huyu dem anasema msee mwenye anakaa kwa single room Bedsitters na one bedroom hawafai kuzaliwa watoto 馃槄
Wueh hii show ya ali baba inakuwa moto sana huyu dem Mluhya anasema alitolewa kutu mpaka akanyama majirani waliskia 馃槄huyo jama nikama ni wa tsavo
Sasa tukue serious buana atii huyu dem anasema, a fan gifted her 5 million in cash. Kwenye imefika podcast zifungwe hii uongo imezidi sana kushida ya ruto馃槀











