Märçuṣ̌👓 retweeted
Na mtoe watoto wenu ushago jana nikienda kwa plug majioni kuna kamjunior tumepatana nikakasalimia "shikamoo" kakajibu "marasaba"
Märçuṣ̌👓 retweeted
Tuko hapa na Dem yako naona ashawekelea mshipi huko kwa Patel akilalamika vile unataka kumuua na ugali mayai daily
Märçuṣ̌👓 retweeted
Ndo kuingia,baze. Mambo ni mwejeje. Nataka nipige samsung yangu alafu nirudi kwa,nyumba
Now now, hii syllabus mnapeleka mbio jameni. Ati Cetrizine mnasema ni ya kazi gani? Thought ni ya kutibu homa all along😅













