Wellness check in from @UNCDF Tanzania , exciting things ahead.
Pakua na Tumia Mipango App. ndani ya App Store na Play Store BURE sasa!
#MjiniMipango #MipangoApp #BossMaokoto
1
2
76
MipangoApp retweeted
Jiunge nasi jumamosi hii kwenye #ElimikaSpaces ya #ElimikaWikiendi kuanzia saa 3:00 - 5:00 Asubuhi kufahamu kwa kina kuhusu Mikopo ya Kidijitali.
Kiunganishi 🔗 teapawt.net/i/spaces/1rmxPoQmEwVJN
MipangoApp retweeted
ElimikaWikiendi kwa kushirikiana na Mipango Fintech, tunakuletea mjadala muhimu kuhusu Mikopo ya Kidijitali ndani ya #ElimikaWikiendi.
Fahamu kuhusu waelimishaji wetu kutoka kampuni na taasisi kongwe za kifedha zinazoaminika zaidi nchini. USIKOSE!
We had the pleasure of meeting Mr. Jurriaan Middelhoff (@jurriaanm), the Netherlands Youth Ambassador, at @AnzaHub with @PesaTechAfrica startups.
Discussed Fintech and growth opportunities through the PesaTech Acceleration Program.
Thanks to all for making this happen!
MipangoApp retweeted
@PanukaF , @viyahealthke , @MacquarieCare , @twiva_ltd , @agri_bora , @mipangoapptz , @Generation de l'Automobile SUARL , Ipachi Capital , Niajiri Platform , Wakamosa Africa (Pty)
Pole kwa kupoteza Mzazi
Pole kwa kupoteza Ndugu
Pole kwa kupoteza Rafiki
Pole kwa kupoteza Biashara
Mungu awape faraja #Kariakoo 🕯️
52
MipangoApp retweeted
The #ThinkLikeAnInvestor call has successfully wrapped up, and we’re thrilled to announce that 10 exceptional DSIs have been chosen to move forward!
They’ll receive tailored workshops, mentorship, and capacity-building to transform their projects into high-impact solutions.
Creating lasting change for young women and girls through financial inclusion with @FSDTanzania and @CGAP
Our Problem Identification FinClinic is set towards real impact, empowering futures and transforming lives!
#FinancialInclusion #Empowerment #FinClinic #mipangoapp
1
171
MipangoApp retweeted
.@ElimikaWikiendi x @mipangoapptz kwenye ushirikiano wa pamoja ndani ya #ElimikaWikiendi.
Kwa tayari kwa elimu ya matumizi ya fedha na akiba kwa uchumi endelevu.
#Nikonnekt #MitandaoPlus #YouthEmpowerment
Aah hua inauma hiyo!
#mipangoapp#Mjinimipango#akibanamipangoapp #Kuwekeza#MaishaNaMipangoapp#Mipango
36
MipangoApp retweeted
Matumizi sahihi ya pesa huanza na mipango.
Kijana usidharau kipato chako njoo kwenye warsha ya #NIKONEKT utakutana na @mipangoapptz watakupa elimu nzuri sana
13.09 pale Sayansi Kijitonyama
Gharama 20,000
Kupata tiketi 0694 490 578
MipangoApp retweeted
Usimamizi wa fedha ni njia mojawapo ya kufanikisha malengo yako.
@mipangoapptz watakuwepo #NIKONEKT kukupatia elimu zaidi.
Kijana hii warsha ni muhimu sana usikose kwa gharama ya Tsh 20,000
📞 0694 490 578
MipangoApp retweeted
Ni mwanachuo unayetafuta mbinu bora za kusimamia BOOM lako?
Ni mjasiriamali mdogo unayetafuta mbinu bora za kusimamia fedha zako?
Karibu #NIKONEKT, Mipango Fintech watakufundisha jinsi ya kupanga bajeti na kuweka akiba kwa mafanikio ya muda mrefu.
Ni muhimu kujua ni wapi pesa yako inapotelea, kwa kurekodi matumizi yako ya kila siku, hii itakusaidia kupanga bajeti yako vizuri na kujua maendeleo ya matumizi yako ya pesa.
Download application ya Mipango BURE kupitia playstore au App store bure.
#Bossmaokoto #MjiniMipango
50
Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Uchumi wetu!
Heri ya Siku ya Wakulima!
Pakua Application ya Mipango ujiwekee malengo ya kukuza biashara yako ya kilimo, tukusaidie kuyafikia.
#bossmaokoto #MjiniMipango #Vijana #fedha #Uchumi
41
Tupo tayari kukuhudumia #SabaSaba katika banda la @tmarctanzania @tyctz1 @USAIDTanzania
#KijanaNahodha #mjinimipango #mipangoapp #bossmaokoto
45
































