MISAN BEES🐝 (@MisanBees) header
MISAN BEES🐝 (@MisanBees) profile picture

Kuanzia kwenye Mzinga hadi Nyumbani, tunakuletea bidhaa bora za Nyuki na Ubunifu wake ulioongezwa Thamani kukidhi Afya na Urembo wako kwa njia ya Asili.

Earth
Joined June 2013
Photo by MISAN BEES🐝 (@MisanBees)Photo by MISAN BEES🐝 (@MisanBees)Photo by MISAN BEES🐝 (@MisanBees)Photo by MISAN BEES🐝 (@MisanBees)Photo by MISAN BEES🐝 (@MisanBees)Photo by MISAN BEES🐝 (@MisanBees)Photo by MISAN BEES🐝 (@MisanBees)Photo by MISAN BEES🐝 (@MisanBees)Photo by MISAN BEES🐝 (@MisanBees)Photo by MISAN BEES🐝 (@MisanBees)
JE, UNAJUA NINI CHA KUFANYA UKIKUMBANA NA NYUKI? JIFUNZE LEO HATUA RAHISI ZA KUJIKINGA NA KUEPUKA KUUMWA! Nyuki wanayo manufaa makubwa kwa binadamu na mazingira. Wanazalisha asali, nta, Royal Jelly (Maziwa ya Nyuki) ,Pollen. Ni wadudu muhimu katika uchavushaji wa matunda,mboga mboga na mimea mbalimbali kwa ajili ya chakula na tiba,maua pia ambayo huleta mandhari mazuri. Hii inawafanya kuwa muhimu kwa afya ya binadamu na mazingira anayoishi. KWANINI NYUKI HUUMA Wadudu wanaodunga kawaida huuma kwa sababu kuu mbili: kujilinda na kuwinda.  Kwa nyuki wa asali, kuuma/kudunga ni njia ya kujilinda wao wenyewe na mzinga wao. Nyuki (workers bee) wanaokusanya chavua nje ya mzinga huwa hawaumi isipokuwa wakiudhiwa au kukanyagwa kwa bahati mbaya. Kwa kawaida wanazingatia zaidi kukusanya chavua na nekta kuliko kuwa bize na mambo ya watu waliopo karibu. Ndio maana ya msemo "As Busy as a Bee" ONYO KUTOKA KWENYE NYUKI Binadamu anapopita ama kuusogelea mzinga. Nyuki hulichukulia kama tishio kwa usalama wa Malkia (Queen Bee) na Mzinga kwa ujumla. Nyuki walinzi wachache hutumwa kuja kwako kukuonya uondoke. Hivyo unapomuona nyuki akirukaruka karibu na kichwa chako sio bahati mbaya tulia, usimfukuze kwa mikono au kitu chochote kwani hii inaweza kuwachokoza nyuki wengine. Unapompiga au kumuua nyuki mlinzi (guide bee) hutoa harufu "alarm phiromone" kuashiria kuna Hatari, hivyo kupeleka taarifa kwa nyuki wengine kujikusanya kwa pamoja ili kutetea mzinga wao dhidi ya Adui. Hii inaweza kusababisha wewe kushambulio zaidi sababu nyuki huja kwa mamia ATHARI ZA KUUMWA NA NYUKI Kuumwa na nyuki kwa kawaida husababisha maumivu makali, uvimbe mdogo,wekundu kwenye ngozi na pia mara chache kupelekea vifo Hata hivyo, watu ambao wana mzio (Allergy) wa nyuki wanapaswa kupata matibabu ya haraka.  Mzio unaweza kusababisha: - Mwili kuwashwa - Kuvimba kwa koo na ulimi - Kupumua kwa shida - Kizunguzungu na kichefuchefu - Maumivu ya tumbo na kuhara - Kushuka kwa kasi kwa shinikizo la damu MAMBO YA KUFANYA NA KUEPUKA UNAPOKUTANA NA KUNDI LA NYUKI 1. Mavazi Unapokwenda kwenye matembezi karibu na mashamba au kutembelea misitu/mapori/hifadhi epuka kuvaa nguo za kung’aa au za rangi nyeusi, kwani zinaweza kuwavutia nyuki. Hii ndiyo sababu wafugaji wa nyuki huvaa nguo zenye rangi nyeupe wanapofanya shughuli kwenye mizinga ya nyuki 2.Nyuki huvutiwa na harufu kali. Usitumie manukato au marashi unapokuwa katika maeneo misitu/mashamba ambayo nyuki wanaweza kuwepo. 3.Ikiwa nyuki anarukaruka karibu nawe, usimpige wala kuonyesha hofu ni rahisi nyuki kuondoka bila kukushambulia. 4.Ukiona kundi la nyuki linapaa karibu, tulia na uondoke polepole. IKIWEZEKANA, kimbia haraka sana kwa mstari mnyoofu na tafuta hifadhi kwenye jengo au gari. Kama hakuna hifadhi, kimbia kwenye vichaka au miti midogo ili kuzuia nyuki kukufuata. 5.Ukiona mzinga wa nyuki au kiota, usijaribu kuuondoa au kuuvuruga kwa kurusha mawe . Wasiliana na Mtaalamu wa nyuki au Wakala wa misitu waliopo karibu wafike kushughulikia hali hiyo kwa usalama. Kuvuruga mzinga kunaweza kuwachokoza nyuki na kuwafanya wakushambulie kwa hasira. 6. Ondoa mwiba wa nyuki haraka, kwani kuacha ndani ya ngozi kutaongeza sumu mwilini mwako. Ukiwa sehemu salama, osha sehemu iliyoumwa kwa sabuni na maji & hali yako ikibadilika muone daktari/fika kituo cha Afya haraka iwezekanavyo. 7. Usijaribu kujirusha ndani ya maji ili kuwakimbia nyuki. Nyuki watakusubiri juu unapoinuka kupata hewa. 8. Unaposhambuliwa na Nyuki usijilaze chini badala yake, endelea kukimbia hadi upate usalama. Asante na hongera kwa kusoma hadi mwisho Retweet, Share na Follow Ukurasa wetu @MisanBees kwa dondoo mbali mbali kuhusu Nyuki na Manufaa yake kwenye Jamii. #MisanBees🐝 #Bee #Nyuki
4
16
2
68
14,237
☕ Every great cup of coffee has a secret. Whether it’s a Cappuccino, Mocha, or Espresso, a spoonful of MISAN HONEY 🍯 brings out the best in every sip. Place your order today and enjoy natural sweetness, rich flavor, and perfect harmony. Happy International Coffee Day sip, smile and enjoy every drop. 📞 +255 657 376 858 (Calls / WhatsApp / SMS) #MisanBees🐝 #MisanHoney🍯 #NaturalSweetness #RawHoney
1
1
1
148
☕🍯 HERI YA SIKU YA KAHAWA DUNIANI! Leo tunaungana na wapenda kahawa duniani kote kusherehekea kinywaji hiki kinachopendwa na wengi. ☕🌍 Na unapofurahia kikombe chako cha kahawa, jaribu kuongeza utamu wa asili kutoka kwenye MISAN HONEY. 🍯🐝 ☕ Andaa kahawa yako 🍯 Ongeza kijiko cha MISAN HONEY 🥄 Koroga na ufurahie! Kahawa + MISAN HONEY = Ladha ya kahawa yenye utamu wa asili. ☕🍯 📍 Vikindu, Pwani 🛵 Delivery Dar es Salaam inapatikana 📞 +255 657 376 858 / 0687 443 413 MISAN HONEY: Asali Mbichi, Halisi na Bora. #MisanBees🐝 #MisanHoney🍯
109
MISAN BEES🐝 retweeted
Tubarikiwe tutokapo na tuingiapo🙏
4
33
2
70
2,125
MISAN BEES🐝 retweeted
💨 Infinix smart 20 ▪️Smart 20 (8+64) - 300K ▪️Smart 20 (8+128) - 350K 📍DAR: Tunatazamana na Geti la KKKT Kariakoo utapanda ngazi za njano Floor ya 1 utaingia ndani na kukunja kulia duka limeandikwa NJIWA STORE 📞 0745100757
1
21
35
3,413
MISAN BEES🐝 retweeted
Kesho hii Size 41-44 85,000 0752399320 whatsapp au dm Karibu kwa oda yako Mikoa yote tunatuma ✅
1
61
MISAN BEES🐝 retweeted
17kgs babakeee
3
19
2
55
11,053
🍯 Raw Honey naturally contains vitamins, minerals, amino acids and enzymes, along with antioxidant and antimicrobial compounds that can add nutritional value to your daily diet. Replace refined sugar with Raw Honey from MISAN BEES and thank yourself later. 😊🍯 🍯 Make the healthier switch today! Place your order for MISAN HONEY and bring natural sweetness and goodness to your family. 🛵 Delivery available across Dar es Salaam. 📦 We also send orders to other regions. 📍 Vikindu, Pwani, Tanzania 📞 +255657376858 / +255687443413 #MisanBees🐝 #MisanHoney🍯
7
3
255
MISAN BEES🐝 retweeted
UNAPOTAKA KUTOA ZAWADI, UNACHAGUA NA KUZINGATIA NINI? Mteja wetu ametupigia akihitaji Misan Honey ya Nyuki Wakubwa na Nyuki Wadogo kwa ajili ya kuwapa zawadi wanafamilia na marafiki zake. ❤️ Zawadi nzuri si tu ile inayofurahisha unapopokea, bali pia ile yenye thamani kwa anayepokea. Mpe umpendaye zawadi ya Misan Honey; Asali Mbichi, Halisi na Bora inayomletea utamu wa asili na afya njema.🍯 🎁 Usisubiri tukio maalum kuonyesha upendo. Weka oda yako ya Misan Honey leo, nasi tutakuandalia zawadi yenye utamu na thamani kwa wale unaowajali. 📲 Agiza sasa: +255 657 376 858 / +255 687 443 413 📍 Pwani, Tanzania #MisanBees🐝 #MisanHoney🍯
6
5
242
MISAN BEES🐝 retweeted
MUHIMU: @officialtcaa inawakumbusha wananchi wote kuendelea KUJIANDAA NA KUFUATILIA taarifa za hali ya hewa kuhusu El Niño kupitia vyanzo rasmi na kuaminika Taarifa sahihi za hali ya hewa zitasaidia na kufahamu mabadiliko kisha kuchukua tahadhari. #TCAATanzania #UsafiriWaAnga
2
24
1
26
1,630
MISAN BEES🐝 retweeted
Adidas running shoes zipo kwenye sale @JustFittz
5
3
646
UNAPOTAKA KUTOA ZAWADI, UNACHAGUA NA KUZINGATIA NINI? Mteja wetu ametupigia akihitaji Misan Honey ya Nyuki Wakubwa na Nyuki Wadogo kwa ajili ya kuwapa zawadi wanafamilia na marafiki zake. ❤️ Zawadi nzuri si tu ile inayofurahisha unapopokea, bali pia ile yenye thamani kwa anayepokea. Mpe umpendaye zawadi ya Misan Honey; Asali Mbichi, Halisi na Bora inayomletea utamu wa asili na afya njema.🍯 🎁 Usisubiri tukio maalum kuonyesha upendo. Weka oda yako ya Misan Honey leo, nasi tutakuandalia zawadi yenye utamu na thamani kwa wale unaowajali. 📲 Agiza sasa: +255 657 376 858 / +255 687 443 413 📍 Pwani, Tanzania #MisanBees🐝 #MisanHoney🍯
6
5
242
MISAN BEES🐝 retweeted
Mamlaka ya Anga Tanzania @officialtcaa yaimarisha maandalizi dhidi ya athari zinazoweza kusababishwa na El Niño, ikiwataka wadau wa usafiri wa anga kuwa makini, kufuatilia taarifa za hali ya hewa na kuchukua hatua stahiki kuhakikisha usalama. #TCAATanzania | #UsafiriWaAnga
2
14
1
16
1,012
MISAN BEES🐝 retweeted
Tunaendelea kuboresha huduma zetu siku mpaka siku. Msichoke kutuunga mkono hata pale tunapoteleza. Tuamini, Tutume, na tutafanya kadri ya uwezo wetu. Asanteni. 0762344677
2
27
1
56
1,866
MISAN BEES🐝 retweeted
İko moja Tu hii dell machine ya kazi Generation ya 11✅ Dell vostro 13 5310✅ Corei5✅ Ram 8✅ Ssd 256✅ Processor 3.1GHz✅ Battery 3 hrs*✅ 750,000/= Tu📌 DSM FREE DELIVERY
10
1
11
855
🌸NEW ARRIVALS 🍒🌺 🌸 ORIGINAL CRYSTAL ✨✨✨OPEN SHOES FOR LADIES IS AVAILABLE NOW AT SHOP 🫯🫯🫯🔥🔥🔥☄️☄️☄️💥💥 🌸SIZE 37-42 💯‼️ 🌸 PRICE 65,000/= TSH 🥂🍾CLOCK IT 👌 🌸IT COMES WITH ONLY 3 COLOR FULL BOX 📦 TOGETHER WITH GIFT BAG 🔥🔥💥💥☄️☄️ QUALITY 100/10🔥
1
223
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 Size S,M,L,Xl,& XXL 👉Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
14
122
1
133
2,596
MISAN BEES🐝 retweeted
Tubarikiwe tutokapo na tuingiapo🙏
22
68
2
310
4,791
MISAN BEES🐝 retweeted
🍯 MISAN BEES tunasambaza Misan Honey; Asali Mbichi, Halisi na yenye Ubora kutoka kwa: 🐝 Nyuki Wakubwa (Stinging Bees) 🐝 Nyuki Wadogo (Stingless Bees) 📦 Inapatikana kwa wingi (Bulk/Wholesale) Tunasambaza ktk: ✅ Supermarkets & Mini-Markets ✅ Food Stores & Grocery Shops ✅ Hotels & Restaurants ✅ Cafés & Coffee Shops ✅ Bakeries ✅ Juice Bars & Smoothie Shops ✅ Retailers & Honey Distributors ✅ Wholesale Outlets 📩 Tutumie ujumbe kwa maelezo zaidi ya bidhaa (product specifications), kiasi unachohitaji na bei. ☎️ +255 657 376 858 / +255 687 443 413 WhatsApp / Calls / SMS 📩 [email protected] 📍 Pwani, Tanzania #MisanBees🐝 #MisanHoney🍯 #Asali
5
2
305
MISAN BEES🐝 retweeted
Je, unajua Asali inakupatiaje Nguvu? Asali ina wanga unaotokana zaidi na glucose na fructose, sukari asilia ambazo mwili hufyonza na kutumia kama chanzo cha nishati. Ongeza kijiko cha #MisanHoney🍯 kwenye maji, maziwa, chai au chakula chako kwa Utamu Halisi na wa Asili, huku ukiupa mwili Nguvu ya Ziada kutoka kwa Nyuki. 🐝 Chagua Asali Mbichi na Halisi. Chagua #MisanHoney. 🐝 Inapatikana @MisanBees 📲 Agiza yako leo: wa.me/255657376858 #MisanHoney ~Utamu wa Asili, Nguvu ya Ziada! 🍯 #MisanBees🐝 #MisanHoney🍯 #AsaliMbichi #AsaliHalisi
3
2
475