mistari (@mistarishow) header
mistari (@mistarishow) profile picture

Kipindi kuhusu Utunzi na Uchambuzi wa mashairi ya wasanii wa muzikiTz.Kila Jumatano saa 1 usiku na marudio Jumamosi saa 5 na nusu asubuhi

Tanzania
Joined January 2017
Photo by mistari (@mistarishow)Photo by mistari (@mistarishow)Photo by mistari (@mistarishow)
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa mkali wa sauti na melodi tamu @ramadeee Anasherekea siku yake… instagram.com/p/BWF4oDAlS_E/
Asante sana kwa kutizama #Mistari kupitia TBC1 kumbuka marudio ni Jumamosi
“Vitu vingi ambavyo anavifanya sasa ni vitu ambavyo alivitamka kwa mdomo wake kabsa na ndo tunaviona”, Produza Maneke #mistari mida hii TBC1
“Kwa muda ambao nimeweza kufanya nae kazi ni mtu ambaye anafanya kazi kwa malengo na aliyafanyia kazi”, Maneke #mistari mida hii TBC1
4
5
“Ni mtu ambaye huwa anapenda akiandika kitu kimguse mtu lakini vitu vingi alikua akiandika vilikua vinamuhusu”,Maneke #mistari mida hi TBC1
“Nimefanya kazi na wasanii wengi lakini kunatofauti mkubwa kwa Daimond, kwanza mara nyingi huwa anaumiza kichwa”, Produza Maneke #mistari
2
5
“Katika uandishi wa Dmond najifunza vitu vingi hata kuna baadhi ya vitu mimi mwenyewe huwa napita navyo”, Harmonize #mistari mida hii TBC1
Dully Sykes anasema kinachomsaidia Daimond ni vina vyake vya mwanzo kati na mwisho, wasanii wengine inabidi wajifunze hilo #mistari TBC1
“Daimond ni mtu ambaye anazingatia vina na mizani lakini pia ni mtu ambaye anaangalia topic anavyoelezea”, Rayvan #mistari mida hii TBC1
“Mimi kitu ambacho sikitaki,sitaki kuimba kizungu ili nihit international nataka lugha yetu Kiswahili ihit international”,Daimond #mistari
“Nikiwa naandika wimbo wa international nakua naangalia melody, kutumia maneno mepesi ili mtu aelewe”,DaimondPlatnumz #mistari mida hii TBC1
“Nikiwa naandika nyimbo za Tz nafocus sana katika topics mf. kuumizwa, mikasa na vitu tofauti vya kimapenzi”, Daimond #mistari mida hii TBC1
“Nikiwa naandika wimbo huwa naangalia market ya Tz na EastAfric yote na global market”, DaimondPlatnumz #mistari mida hii TBC1
“Wimbo wa Ukimuona una ukweli wa vitu vingi, una uhalisia mkubwa nafikiri ndo sababu inapendwa”, DaimondPlatunumz #mistari mida hii TBC1
Daimond Platunumz anaendelea kuchambua #mistari ya ‘Ukimuona’ mida hii TBC1
“Chorus ya Ukimuona kiukweli haikuisha kwasababu bahati mbaya tulivyomaliza kufanya wimbo ulivuja”, DaimondPlatunumz #mistari mida hi TBC1
“Ukimuona nilitunga nikiwa Uingereza nilikua tour na ProfJay,nilikua na matatizo na moja wa EXs zangu”,DaimondPlatnumz #mistari mida hi TBC1
4
15
Daimond anasema wimbo wa 'Ukimuona' ulianza kutengenezwa kwa produza KGT,baadae ukafanyika tena kwa produza Maneke #mistari mida hii TBC1
3
DaimondPlatunumz kwenye #mistari mida hii TBC1 anatuchambulia #mistari ya wimbo wa ‘Ukimuona’.
2
“Daimond ni mtu ambaye nikimfikiria huwa najiuliza ana kipaji cha namna gani na hafilisiki mashairi”, Harmonize #mistari mida hii TBC1
1
2
15