Pinned Tweet
Read the Swahili Bible on daily basis using this app onelink.to/6nfw8y
Mangi Oko retweeted
Polepole ndio mwendo usiwe na haraka kila jambo na wakati wake kuna Mtu alijenga nyumba akiwa na miaka 20 mwingine alijenga yake akiwa na 40 mwingine 50 Maisha hayana presha haya mdo mdo Utafika.
Mangi Oko retweeted
Hatua zako ndogo zina matter sana usijipe presha na Maisha ya watu wewe ni bora kila nyakati.
Mangi Oko retweeted
Zikimbie tamaa mbaya za ujana, ufuate haki, imani, upendo na amani pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi.
2 Timotheo 2:22 🙏🏽
Mangi Oko retweeted
Kuna watu wanaweza kuzungumza na kutangaza mambo kuhusu maisha yako wakidhani wanakuchafua, kumbe Mungu anaweza kutumia hayo hayo kukuinua na kugeuza kila walichokisema kuwa ushuhuda wako. Usihofu maneno ya watu, Mungu anaweza kufanya jambo kubwa kupitia kila hali.
Mangi Oko retweeted
Never mock anyone who is in a situation you've never been in. Life is a circle. A servant today may become a king tomorrow. Stay humble, because life can change overnight. Read that again.
Mangi Oko retweeted
Hakuna mwanaume anayefurahi kuomba chakula kwa mwanaume mwenzake.
Usimcheke wala kumbeza mwana akikuomba msaada.
Mangi Oko retweeted
Walimu wa Bus za Njano hizi Homweki watatuua, ukijitutumia kusaidia homweki bila Jipitii mtoto atakuja kukwambia Baba tumekosa zote 🤣🤣
Mangi Oko retweeted
Billionaire & Devki Group of companies CEO Narendra Raval says "We don't need churches in Africa, we need schools, we need hospitals and industries"


















