Moshi Jnr (@moshijnr) header
Moshi Jnr (@moshijnr) profile picture

Transfer Expert | Media Personality & Bringing you the latest news and analysis from the world.

Joined February 2022
Photo by Moshi Jnr (@moshijnr)Photo by Moshi Jnr (@moshijnr)Photo by Moshi Jnr (@moshijnr)Photo by Moshi Jnr (@moshijnr)Photo by Moshi Jnr (@moshijnr)Photo by Moshi Jnr (@moshijnr)Photo by Moshi Jnr (@moshijnr)Photo by Moshi Jnr (@moshijnr)Photo by Moshi Jnr (@moshijnr)Photo by Moshi Jnr (@moshijnr)
Nimeshaongea sana, sasa acha nikae kimya tu! Huyu ndio Kiungo wa hatari zaidi Afrika Mashariki kwa kuzuia njia za mipira kwa usahihi sana [Ball Paths] Duke Abuya amerudi kikosini unaona Mudathir, Eric Mwijage na KI Aziz wakiwa huru kufanya vitendo vyao vya uzuri馃挭馃徔 NO 6 YA BOLI.
2
3
81
1,739
Umbo halisi la straika, full of Energy, Spirit kutoka Saudi Pro League mpaka kwa Wananchi! Kuna kitu kinaitwa Adjustment na Adaptation ili aendane na mfumo hapo kuna IN TIME! Huyu ni suala la muda tu CHEIKH TOURE atafanya makubwa tayari he's ON馃檶馃徎馃檶馃徎馃檶馃徎 If I speak am in trouble
2
70
1,450
Polisi TZ waliipa Yanga game nzuri sana kipindi cha pili wakiwa nyuma kwa goli moja lakini Fadlu Davids alizidi kutengeneza stability nzuri ya kikosi chake kwa sub za uhakika Naiona Yanga ikirudisha makali yake kwa Tactics Master Fadlu Davids.. Bonge la kocha馃憡馃徎 Next MC Alger.
2
2
73
1,560
馃毃Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Simba SC imeandika barua kwenda TFF na Bodi ya Ligi Kuu kuomba na kuruhusiwa kutumia uwanja wa Uhuru kuelekea mechi yao dhidi ya Orlando Pirates Awali mamlaka za usimamizi za juu za umiliki wa viwanja zilitaka Simba SC icheze Zanzibar.
4
3
1
188
7,305
馃毃Kocha Dimitar Pantev amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na klabu ya Tonota FC ya nchini Botswana baada ya kuachana na klabu ya Richards Bay ya Afrika Kusini Dimitar Pantev aliwahi kuzifundisha klabu za Simba SC ya Tanzania na Gaborone United FC ya Botswana
2
84
1,518
Naamini Yanga wamemchukua Fadlu Davids kutokana na uzoefu wake [Experienced] na Mbinu zake [Best Tactics Man] na bado anajua kucheza na Mindset za wachezaji wake Kufika Final ya CAFCC kwa kikosi kisicho na uzoefu hii ni dhima nyingine ya kuchaguliwa Kocha mzuri na misimamo馃檶馃徎馃檶馃徎
2
1
85
1,969
馃毃Klabu ya Richards Bay kutoka Afrika Kusini imetuma ofa kwa kaimu kocha wa Yanga SC ambaye ni Simo Dladla ili kuifundisha klabu hiyo wakiwa nyakati za mwisho kuachana na kocha Dimitar Pantev Dimitar Pantev amekalia kuti kavu ndani ya klabu ya Richards Bay baada mwenendo wake.
1
2
1
134
4,610
The Greatest is, the greatest was, the greatest will ever be! THANK YOU RONALDO, THE REAL GOAT 馃悙 馃檶馃徎
1
5
49
692
CHELSEA TUTEMBEE KWA MAKUNDI MAKUNDI, MAADUI NI WENGI SANA馃榾 MJUMBE.
34
708
Naamini pale Yanga kwa kipindi hiki anahitajika kocha mithiri ya Miloud Hamdi ambaye ni mzuri kiufundi na pia bado ni kiongozi mzuri sana wa wachezaji wake Hamdi anahitajika pale Jangwani na alipita timu ikiwa na style ya kucheza nzuri sana [One touch Football] Kila mtu aliona.
17
3
1
216
6,066
Simba imepata alama 3 za jasho na damu ugenini馃挭馃徔 lakini Fountain Gate wamempa mechi nzuri sana Mnyama.. Minziro kwa kipindi cha pili alifungulia koki lakini utulivu wa Simba ulidhibiti challenge hiyo THIS IS SIMBA馃馃檶馃徔 wanadhihirisha kuwa na Quality ya kikosi na muendelezo bora.
2
178
1,989
Moja ya kitu kinapendeza ni kuona hii FVS ikiendelea kutoa haki kwa kila timu kwa kiasi chake, ukitazama goli la Rushine De Reuck dhidi ya Fountain Gate utaona utatuzi halisi Simba imepata haki yake kwa usahihi sana na Marefa wameling'amua kwa uzuri sana.. VERY GOOD馃檶馃徎 THE FVS馃憤馃徎
9
3
1
132
4,916
Nimeona taarifa za Sead Ramovic kurudi pale Jangwani, kiukweli nina wasiwasi na anayefanya chaguzi za makocha pale Yanga kwasasa why? Huyu Sead Ramovic ni kocha mzuri kama kiongozi na sio mzuri kiufundi zaidi Hata alipotoka wameshalijua hili lakini bado Yanga wanataka kumleta馃檶馃徔
31
5
4
200
19,624
Hili Group C limekaa kibabe sana na huyu Colombe Sportive amekaa kimkakati kama Stade Malien msimu uliopita na Group B ambalo linaeleza kuwa Yanga na Waarabu ni damu damu kabisa馃榾
3
1
39
860
馃毃Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika [CAFCC] msimu huu yamekaa kibabe sana na surprise zitakuwa za kutosha sana馃榾
3
5
63
1,880
鉁嶏笍馃徎Nafikiri hii ndio game ya kwanza kuishuhudia Yanga ikitumia uwezo binafsi wa wachezaji wao kuamua mechi kwa Quality yao kutokana na mfumo wa timu kuwa butu sana! 鉁嶏笍馃徎Mashujaa wametoa mechi nzuri sana kwa Wananchi na wangekaza zaidi wangepata zaidi ya hiki, Quality imeamua game馃挭馃徔
4
1
64
2,377
馃毃Taarifa nilizozipata ni kuwa Klabu ya Yanga SC imeweka majina mawili ya awali ya makocha ambao wanahitajika kukinoa kikosi cha Yanga SC kuchukua nafasi ya Manqoba Mngqithi Majina ya awali ni kocha Miloud Hamdi na Sead Ramovic na majina mengine yanendelea kufanyiwa kazi
7
5
3
201
11,626
鉁嶏笍馃徎Kama kuna kitu ambacho kingelikuwa matusi makubwa ni Madrid kupoteza mechi dhidi ya Barcelona ambayo inapenda mpira mguuni na kuondoa iuziona njia za kuimaliza game 鉁嶏笍馃徎Real Madrid walikuwa very electric direct kuifunga mechi na ni vile walikosa ukatili wangepata zaidi ya hiki.
1
1
65
970
馃毃Klabu ya Yanga SC imemteua kocha wao msaidizi Simo Dladla kuendelea kuifundisha klabu hiyo baada ya kocha mkuu Manqoba Mngoithi kufutwa kazi Simo Dladla alikuwa kocha msaidizi wa Manqoba Mngoithi ambaye alipendekeza kufanya kazi nae awali kutoka Afrika Kusini
3
3
2
147
6,110
鉁嶏笍馃徎Achana na Mnyama kutinga makundi.. hiyo sio story kubwa kwao bali wameonesha kuwa ili kushinda mechi kwa ukubwa wa matokeo na performance ya aina yake inahitaji Quality ya kikosi na Consistency nzuri ya matokeo chanya 鉁嶏笍馃徎15 de Agosto wamepasuka na hata Yanga alipasuka, MNYAMA馃檶馃徑
1
3
152
2,382