Pinned Tweet
“MUNGU” ndiyo kila kitu maishani mwetu..
Lakini, ni jukumu la kila mmoja wetu kuchukua tahadhari juu ya madhara na hasara zisizotarajiwa-
📝tahadhari moja wapo kuu ni👇👇
✅>kununua bima, zifuatazo
1>bima ya maisha 👨👩👧👦
2>bima ya afya🩺
3>bima ya gari🚗
4>bima ya moto🔥..nk.
Mr Bima retweeted
"📲ELIMU YA BIMA KIGANJANI📲"
Kutoka kwa Mwandishi @mrbimatz
(UKURASA WA KWANZA)
Mada za Leo ni÷
1. Bima ndogo ya Gari ni nini?
2. Inahusika na Kulinda nini?
Elimika nasi kwenye comment👇
"📲ELIMU YA BIMA KIGANJANI📲"
Kutoka kwa Mwandishi @mrbimatz
(UKURASA WA KWANZA)
Mada za Leo ni÷
1. Bima ndogo ya Gari ni nini?
2. Inahusika na Kulinda nini?
Elimika nasi kwenye comment👇
1.HUTOA KINGA ZIDI YA MAMBO YAFUATAYO
- Uharibifu wa Magari Mengine:
Gharama za marekebisho au uingizaji wa magari yaliyoharibika kutokana na ajali uliofanya.
- Majeruhi kwa Watu Wengine:
Gharama za matibabu na fidia kwa majeraha yaliyosababishwa kwa madereva wengine....
1
2
19
BIMA NDOGO
Ni aina ya bima inayotoa kinga ya kifedha kwa madhara yanayotokea kutokana na ajali ambapo wewe ndiye uliekuwa na hatia ambapo bima hii ipo kwa lengo la kutoa Kinga kwa mtu wa tatu ambapo mtu wa tatu anaweza akawa mpita njia au Gari lingine pia Mali za watu wengine.
2
24
Mr Bima retweeted
"📲ELIMU YA BIMA KIGANJANI📲"
Kutoka kwa Mwandishi @mrbimatz
(UKURASA WA KWANZA)
Mada za Leo ni÷
1. Bima kubwa ya Gari ni nini?
2. Inahusika na Kulinda nini?
Elimika nasi kwenye comment👇
"📲ELIMU YA BIMA KIGANJANI📲"
Kutoka kwa Mwandishi @mrbimatz
(UKURASA WA KWANZA)
Mada za Leo ni÷
1. Bima kubwa ya Gari ni nini?
2. Inahusika na Kulinda nini?
Elimika nasi kwenye comment👇
- Bima kubwa inajumuisha ulinzi dhidi ya uharibifu wa kimwili au kifedha kwa gari lako kutokana na sababu mbalimbali kama vile ajali, wizi, moto, au vitendo vya uharibifu kama vile vurugu au vitendo vya uhalifu.
1
2
36
BIMA KUBWA YA GARI ni aina ya bima ambayo hutoa chanjo kubwa ya ulinzi kwa gari lako dhidi ya hatari mbalimbali kama vile ajali, wizi, au uharibifu. Aina hii ya bima mara nyingi inajumuisha bima ya kawaida ya kulipia uharibifu kwa gari lako pamoja na bima ya ziada kama vile bima
1
2
31
"📲ELIMU YA BIMA KIGANJANI📲"
Kutoka kwa Mwandishi @mrbimatz
(UKURASA WA KWANZA)
Mada za Leo ni÷
1. Maana ya Bima ya Gari ni ipi?
2. Aina za Bima ya Gari ni zipi?
Elimika nasi kwenye comment👇
BIMA YA GARI, hii ni aina ya sera ya bima inayotoa ulinzi wa kifedha dhidi ya uharibifu wa kimwili au majeraha na mali yanayotokana na ajali za barabarani kwa mwenye gari, watu wengine na mali za watu ambapo bima huweza kumkinga kwenye bima zidi ya athari za kifedha na madai
1
2
34
Mr Bima retweeted
"Kila siku ni fursa mpya ya kufuata ndoto zako na kufikia mafanikio makubwa. Usiache hofu au vikwazo kukuzuia. Weka malengo yako, fanya kazi kwa bidii, na daima kuwa na imani kubwa katika uwezo wako. Maisha yako ni hadithi unayoandika mwenyewe - iandike kwa ujasiri |#jitume™️
21.Metro Life Insurance
22.Mgen Insurance
23.Milembe Insurance
24.MO Assurance
25.National Insurance Corporation
26.NIC Life
27.MUA (formerly Phoenix Assurance)
28.Reliance Insurance
29.Resolution Insurance (under statutory management)
3
50






