
Welcome to Destination of News, Sports and Entertainment 24/7. Ni Habari za Uhakika Saa 24 📩 [email protected]/+255758379300
Tanzania 🇹🇿
Joined September 2014
- Tweets9.5K
- Following1.2K
- Followers104K
- Likes22.7K
Pinned Tweet
It’s beautiful day msasa family click to your website msasamedia.com to start up a day with vibes
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amewaagiza watendaji wa serikali kuanzia ngazi ya vitongoji kufanya misako ya nyumba kwa nyumba na duka kwa duka ili kubaini watu wanaouza pombe wakati wa saa za kazi na kuwachukulia hatua za kisheria.
1
124
“Kila Jambo Hutokea Kwa Sababu” Diamond…
Ujumbe wa msanii wa bongo fleva nchini Tanzania diamondplatnumz kupitia ukurasa wake wa instagram…
“Mwenyez Mungu Ndio Mpanga Wa Yote...Na Hapajatokea Jambo Pasipo Yeye Kutaka, Na Kila Jambo Hutokea Kwa Sababu....
1
256
#MsasaUpdates
URUSI YAWAFUKUZA WANADIPLOMASIA 6 WA UINGEREZA, YAWASHUTUMU KWA KUIPELELEZA...
msasamedia.com
3
350
#MsasaUpdates
MAHAKAMA KENYA YAMHUKUMU KIFUNGO CHA MIEZI 6 JELA KAIMU MKUU WA POLISI KWA KUDHARAU MAHAKAMA... msasamedia.com
1
285
#MsasaUpdates
MWANARIADHA WA UGANDA MAHUTUTI HOSIPITALINI BAADA YA KUCHOMWA MOTO NA MPENZI WAKE WA ZAMANI... msasamedia.com
2
233
#MsasaUpdates POLISI UGANDA WAKANUSHA KUMPIGA RISASI BOBI WINE, WASEMA ALIJERUHIWA BAADA YA KUJIKWAA AKIINGIA KWENYE GARI LAKE...
msasamedia.com
2
204
#MsasaUpdates
MCHUNGAJI ANAYEAMURU WANAWAKE KUVULIWA NGUO NA KUNYOLEWA NYWELE SEHEMU ZA SIRI ANGUNDULIKA KENYA, POLISI KUANZISHA UCHUNGUZI....
msasamedia.com
2
151
#MsasaUpdates
WAFUNGWA 129 WAFARIKI, 59 WAJERUHIWA KATIKA JARIBIO LA KUTOROKA GEREZANI CONGO DRC...
msasamedia.com
2
147
#MsasaNews
EWURA YATANGAZA BEI MPYA YA MAFUTA, PETROLI, DIZELI ZASHUKA BEI...
msasamedia.com
1
131
#MsasaUpdates
UKRAINE YAPIGA MARUFUKU MAKANISA YOTE YENYE UHUSIANO NA URUSI... msasamedia.com
1
177
#MsasaUpdates
MTENDAJI WA KATA AHUKUMIWA BAADA YA KUOMBA RUSHWA... msasamedia.com
1
159
#MsasaTrending
NATAMANI TUNGEKUTANA MAPEMA - JUMA JUX... msasamedia.com
1
165
#MsasaTrending
MARIOO AMTAMBULISHA MSANII
WAKE MPYA ANAITWA STANS TZ msasamedia.com
1
150
#MsasaUnUsual
AKAMATWA NA MAFUVU 24 YA BINADAMU... msasamedia.com
155
#MsasaNews
NAMIBIA KUWAUA TEMBO, NYUMBU NA WANYAMAPORI WENGINE KAMA CHAKULA CHA WANANCHI WENYE NJAA... msasamedia.com
146
#MsasaSports
AHMED ALLY ATOA SIRI YA SABABU
YA AWESU AWESU KUSHANGILIA
BAO ALILOFUNGA KWA MTINDO HUO... msasamedia.com
305
#MsasaUpdates
WATUHUMIWA WANAODAIWA KUTUMWA NA AFANDE WAFIKISHWA MAHAKAMANI... msasamedia.com
150
#MsasaUpdates
UKIAMBIWA KUNA CHOKOLETI INATENGENEZWA KWA MABAKI YA CHAKULA KILICHOTUPWA UTAENDELEA KULA?... msasamedia.com
149
#MsasaNews
BENKI KUU YA LIBYA YASITISHA HUDUMA BAADA YA KUTEKWA MFANYAKAZI WAKE…msasamedia.com
156
#MsasaUpdates
TFS WAHIMIZWA KUIMARISHA ULINZI KATIKA MAENEO YA HIFADHI... msasamedia.com
292



















