
God's plan💛💚 LOGISTICS AGENT Fan of @yangasc1935 ,@Fcbarcelona and @Arsenal Broker and Mortgage analyst 😎
Tanzania kwa mbele
Joined February 2018
- Tweets2.2K
- Following708
- Followers915
- Likes10.5K
Pinned Tweet
salama malkia mama mwenye huruma tulizo na matumaini yetu salam tunakusii ugenini hapa sisi wana wa Eva tukilia na kulalamika bondeni huku kwenye machozi, aya basi mwombezi wetu utuangalie kwa jicho lako lenye huruma na mwisho wa ugeni huu utuonyeshe Yesu uzao mbarikio wa tumbo
Tuanze sasa
Wasifu wa Frank Assinki
Frank Kwabena Assinki ni mchezaji wa kandanda kutoka Ghana, aliyezaliwa tarehe 15 Aprili 2002 (ana umri wa miaka 23). Kwenye rekodi za kimataifa, anajulikana kama beki wa kati (centre-back) mwenye urefu wa mita 1.91, mguu wake wa kulia,
This post is from a suspended account. Learn more
1
30
Coastal Union katika Ligi Kuu ya Tanzania (goli la Prince Dube dakika ya 88), Frank Assinki alikuwa mmoja wa wachezaji bora zaidi wa timu yake. Kama beki wa kati, alionyesha utendaji mzuri sana, akisaidia timu kuweka ulinzi thabiti ambao haukuruhusu Coastal Union kufunga.
1
24
KAZIMOTO⚡️ retweeted
Usichangie mada anaposemwa mtu hata jirani yako au mbaya wako jiheshimu kwa kukaa kimya unaposhuhudia majungu usihusike wala kujaribu kuharibu jina la mtu mwingine. 🖊
Good morning 🙏
Ila huu mwaka tumejichanganya sana yaani mapinduzi day inadondokea jumapili kwahiyo inakuwa holiday ndani ya weekend😅
1
77






