RawMan🇰🇪 retweeted
Alafu ukiona nimelike post yako bila kurepost jua wewe ni fraud..ukiona nimelike+ nikarepost jua wewe ni loyal😂💀
Pale high school tulikuaga tunasneak tunaenda sherehe, so kuna huyu mdem tulipatana kawines fulani hapo macha alinilisha haga hadi nikaskia fiti na hapo ndio nikajua mimi ni kijana mkubwa. Nikajiambia tukifunga shule hivi tu nitaunda club yangu na nifanye signings kadhaa nianze..
RawMan🇰🇪 retweeted
Odds pekeyake ni pesa sijawaiguza tangu nizaliwe, mungu sasa wachana na kila mtu unipange leo
Dem fulani alinipea namba kwa mat ameniuliza how do you do nikamshow pole pole sai sioni dp. hope ni simu yake imezima
RawMan🇰🇪 retweeted
Was thinking of selling my kidney and betting on 2 sure odds then buy another kidney
RawMan🇰🇪 retweeted
Kuna msichana mahali akiamua atolee kijana yetu suruali kampuni fulani itafilisika, we'll be procuring CCTV installation kutoka majuu. Mungu aendelee kutenda miujisa
Kuna msichana mahali akiamua atolee kijana yetu suruali kampuni fulani itafilisika, we'll be procuring CCTV installation kutoka majuu. Mungu aendelee kutenda miujisa
RawMan🇰🇪 retweeted
Leo nimekua ocha na nikaamua kufurahisha mathe, nikachukua gunia na panga niendee nyasi. Ndio narudi na ananiuliza kwani nimepatana na wezi, thara inanikata hadi mfupa inatokea, ingine imerarua gumboots mara mbili. Ndio napigia msee wa kununua ng'ombe akuje atoe hii ujinga hapa














