Mama Africa✨🇹🇿 (@nyabula92) header
Mama Africa✨🇹🇿 (@nyabula92) profile picture

🌤️🌨️ (yanga 💚💛) mkarimu,mwenye upendo, heshima na nidhamu _ ♥️🤍🖤 #sungsungu_HQ

Tanzania
Joined July 2021
Photo by Mama Africa✨🇹🇿 (@nyabula92)Photo by Mama Africa✨🇹🇿 (@nyabula92)Photo by Mama Africa✨🇹🇿 (@nyabula92)Photo by Mama Africa✨🇹🇿 (@nyabula92)Photo by Mama Africa✨🇹🇿 (@nyabula92)Photo by Mama Africa✨🇹🇿 (@nyabula92)Photo by Mama Africa✨🇹🇿 (@nyabula92)Photo by Mama Africa✨🇹🇿 (@nyabula92)Photo by Mama Africa✨🇹🇿 (@nyabula92)Photo by Mama Africa✨🇹🇿 (@nyabula92)
"Tunaishi duania ambayo ukikosa unatengwa, ukipata unapendwa na ukiwazidi unachukiwa" Ishi nao kwa tahadhari 🌹🌹
39
94
3
230
14,784
"Kila mtu huwa ni mwema anaposimulia mabaya ya wengine"
6
259
Mama Africa✨🇹🇿 retweeted
October 29, 2025 Tarehe ambayo watanzania hatutaisahau!!
13
249
6
1,136
23,938
"Muda ukifika utapata kile unachostahili" Usichoke kusubiri Mungu anakuona kwa kila hatua
4
173
Mama Africa✨🇹🇿 retweeted
Inamaana Hii Dunia watu washajiona wamemaliza wataishi milele na kujipa mamlaka ya kuchukua amani na furaha za binadamu wenzao? Wamesahau kuwa na wao hapa Duniani wanapita? Nakumbusha tu walikuwepo watu wakatili sana na hawapo Leo. #FreeTwahaMwaipaya
1
9
12
269
Siku ngumu sana Leo 😭💔
3
392
Haijalishi unapitia magumu kiasi gan, usiache kutabasamu😊 ✊
4
1,483
GG-55 Muulizeni Lijualikali mtoto wa Mlabani pamoja na ushawishi mkubwa aliokuwa nao pale Ifoza baada ya kuondoka Cdm wajumbe walimfanyaje
9
19
1,799
Mama Africa✨🇹🇿 retweeted
"UKWELI WA MUNGU ni kama maji utapenya tuu, utatafuta nyufa na utaonekana" Dkt Joseph Mosha. Sambaza neno hili la MUNGU kila kona ya nchi walisikie. Repost 400🚨🚨 TUTAKUWEPO🫵😎
8
291
1
875
38,438
Ndugu zangu followers wangu ukurasa wangu ni binafsi hivyo usinipangie vya kupost mimi sio mfuasi wa chama chochote cha siasa ila ni mpinzani naturally mimi ni mpenzi wa haki sipendi ukandamizwaji hata kwenye midahalo school nilikuwa sipendi preposition side bali opposition side
1
20
1
55
3,138
Homboi kwa tunaokufahamu tangu hujaingia hata bungeni 2010 tunaijua kazi yako hujawahi kurudi nyuma kwenye mapambano ndugu zako tunajivunia sana kupata mtetezi wa haki nchi hii nafahamu sio wote lakini wengine tupo pamoja nawe familia #FreeTunduLissu
1
15
29
1,394
✌
Kila mtanzania popote alipo anapaswa kuiangalia hii video, ina ujumbe mkubwa sana!!
1
829
Mama Africa✨🇹🇿 retweeted
Kila mtanzania popote alipo anapaswa kuiangalia hii video, ina ujumbe mkubwa sana!!
66
683
35
1,713
92,524
Mama Africa✨🇹🇿 retweeted
Wanataka kukunyonga mpaka ufe kwa kupigania ustawi wa Nchi ? Usiogope .
250
712
20
5,331
204,849
Umemaliza kila kitu mkuu✌
Ukweli ni kwamba ukimkamata mtu kama Tundu Lissu na ukamfungulia kesi unakua haumshushi bali unazidi kumuongezea credibility kwa watu na anazidi kujikusanyia wafuasi. Kumkabili Tundu Lissu unahitaji watu “Smart” katika siasa, magwiji wa kujenga hoja na wenye nguvu ya ushawishi.
1
2
553
Mama Africa✨🇹🇿 retweeted
Ukweli ni kwamba ukimkamata mtu kama Tundu Lissu na ukamfungulia kesi unakua haumshushi bali unazidi kumuongezea credibility kwa watu na anazidi kujikusanyia wafuasi. Kumkabili Tundu Lissu unahitaji watu “Smart” katika siasa, magwiji wa kujenga hoja na wenye nguvu ya ushawishi.
224
678
27
3,800
96,827
Watu wa # wamevutiwa zaidi na harakati za chadema kuliko hata wale wanaowalipa wanatupa updates vizuri sana
3
11
1
18
1,105
Mama Africa✨🇹🇿 retweeted
Let’s share the message
114
832
27
2,364
161,436
"Mtaa hauzai mtoto" ✍️
1
337
Dogo kakubali kusaidiwa, lakini hataki msaada akiwa mazingira ya nyumbani kwao "Akili kubwa"
1
1
8
628
Mama Africa✨🇹🇿 retweeted
Akili nyingi kwa dogo kuliko kupoteza muda darasani, upate digrii yako urudi VETA, Bora uanzie VETA kwanza, Ila TANZANIA 🙌🙌😀
2
2
13
1,333