Nandy (@officialnandy) header
Nandy (@officialnandy) profile picture

• Singer • Songwriter • Actress • The African Princess • Booking : [email protected] || FALLING VIDEO 👇🏽

Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2016
Photo by Nandy (@officialnandy)Photo by Nandy (@officialnandy)Photo by Nandy (@officialnandy)Photo by Nandy (@officialnandy)Photo by Nandy (@officialnandy)Photo by Nandy (@officialnandy)Photo by Nandy (@officialnandy)Photo by Nandy (@officialnandy)Photo by Nandy (@officialnandy)Photo by Nandy (@officialnandy)
Asante Kwa Support yenu mnayoendelea kunipa youtu.be/jcPy0lbVu8E?si=y8sf…
19
6
4
158
12,379
Mhasibu App ni jukwaa la uhasibu la kidijitali ambalo limeundwa kwa biashara ndogo ndogo, za kati na kubwa kwa ufanisi kusimamia rekodi zao za fedha. Kwa kuendeshea kazi za uhasibu kiotomatiki kama vile ufuatiliaji wa mapato na gharama,ankara,mahesabu ya kodi na taarifa za fedha
11
42
74
7,299
Malkia wa Live Performance, Queen herself, anakukaribisha kwenye Sugar with Valentine Warehouse! Tarehe 14 tukutane Warehouse, tupate burudani ya kiwango cha SGR,Event yenye ubora wa hali ya juu! Usipange kukosa!
6
27
51
5,208
Kujaribu kunitenganisha mimi na Nandy saa hii ni kujichekesha 😂 Tarehe 14 mimi na mpendwa wangu tutakuwa pale Warehouse Arena kwenye SugarWithValentine kupata burudani ya kimataifa na African Princess 👸
17
16
2
65
6,775
Imajini Vyombo vinakuwa ON, Mbele ya Stage anasimama Princess wa Africa, mwenye sauti yenye Milindimo ya kina cha Bahari...... Inaanza Chalazwa "Nagusa gusa"🎶 kupitia 👇🏽 ~One Day🎶 ~Wasikudanganye🎶 ~Hazipo🎶 mpaka "Kivuruge"🎶 Baada ya hizo zote unafikishwa kwenye "SUGAR"🎶 wewe hautamani Mkuu??? Hapo bado sijaisemea "Daah"....Oyaa Usiku wa Wapendanao Eneo ni moja tuu 👊🏾 {WARE-HOUSE ARENA} Naanza kuzichanga nauli sasa "Songwe to Dar" ni Chap😅 NB: ni Live Pafomansii, hakuna mambo ya PlayBack hapa
14
31
1
94
8,137
Kwahiyo Nandy kwenye show yake siku ya valentaini dei ameamua kuwe na meza ya milioni mbili, milioni moja na kawakumbuka watu wa elfu hamsini. Kwanini hajasema chochote kuhusu watu wa laki moja?
6
9
72
3,942
Valentine hii nani yupo free? Twende Warehouse kwa show ya Nandy! Tiketi ipo iwe pisi kali tu.!!😂
13
17
1
261
14,878
Kwahiyo Nandy kaona hiyo show yake tarehe 14 kiingilio cha chini kabisa kiwe 50k...
3
8
48
2,945
Sugar with ur Valentine ndio mtoko pekee siku ya Valentine, Karibuni wote tuburudike na watu tuwapendao, Live Performance kali kuwahi kuiona Tanzania. Don’t Plan to Miss, Karibuni Sana🎁🌹🔥
6
6
17
2,626
Karibu kusikiliza nyimbo ya mpya SUGAR youtu.be/yp03C6j68a0?feature…
2
3
11
1,051
The African Princess @officialnandy will be Lite-ing up the stage at the ultimate #SuperiorSets on November 30. Stay locked in cause it’s gonna get cold🥶 Get your tickets now via Nilipe App.
2
3
8
2,091
Goma langu @MauaSama @officialnandy 🔥🔥🔥🔥
✨BOOMFRESH✨ This is from the Queens 👸 Ni collabo kali kutoka kwake @mauasama akiwa na @officialnandy 🔥 Stream #Poa kupitia app ya Boomplay ▶ boom.lnk.to/MauaSamaPoa #HomeOfMusic #BoomFresh #MauaSama #Nandy #NewMusic
7
18
2
544
18,049
✨BOOMFRESH✨ This is from the Queens 👸 Ni collabo kali kutoka kwake @mauasama akiwa na @officialnandy 🔥 Stream #Poa kupitia app ya Boomplay ▶ boom.lnk.to/MauaSamaPoa #HomeOfMusic #BoomFresh #MauaSama #Nandy #NewMusic
1
1
24
15,646
YOUR NOT READY……!
41
17
5
435
31,134
Let it go by @kingdmusic featuring Me is out to all Platforms Thanks Ziibeats and @ZiikiSouthside for this amazing Album ziiki.ffm.to/ziibeats
5
5
2
41
4,264
Watch my Brand new Song ‘WAHALA’ Featuring Khanyisa youtu.be/qvXq-EzCfZI?feature…
8
9
1
87
3,332
✨BOOMFRESH✨ Toleo jingine hili hapa! @officialnandy anakuletea #DahHipHopRemix 🔥 Sikiliza wakiflow kwenye app ya Boomplay hapa ▶ Boom.lnk.to/NandyDahHipHopRe… #homeofmusic #boomfresh #nandy #boomplay
2
25
1,968