Strategists || Investor || Realty #YouDeserveBetter
Tanzania
Joined October 2020
- Tweets1.5K
- Following1.9K
- Followers1.9K
- Likes9.9K
Pinned Tweet
"Hasta la victoria siempre"
Usikate tamaa hata kama mambo ni magumu // Mapambano hayaishi mpaka ushindi upatikane. – at Tanzania
LIVING OLOMY retweeted
"Hasta la victoria siempre"
Usikate tamaa hata kama mambo ni magumu // Mapambano hayaishi mpaka ushindi upatikane. – at Tanzania
LIVING OLOMY retweeted
Eating clean, exercising, fasting regularly, reading my Bible daily. I have unlocked extreme discipline.
Ukichoka unaruhusiwa kupumzika lakini usikubali kukata tamaa na kuruhusu ndoto yako ife kwa sababu ya changamoto. – at Tanzania
Kila hatua unayoipiga leo inajenga kesho yako iliyo bora. Usijilinganishe na mtu mwingine, fahamu kuwa kila mmoja ana safari yake. – at Tanzania
LIVING OLOMY retweeted
Kwenye maisha kuna kuumia, kuchoka, kuanguka, kulia, kujutia na kupoteza. Kitu cha muhimu ni kuwa na ujasiri, ushupavu, uvumilivu na ustahimilivu nyakati zote. Huku ukiendelea kumtumaini Mungu kwa sababu hakosi namna sahihi ya kukuvusha. – at Kilimanjaro, Tanzania
LIVING OLOMY retweeted
Nyakati ngumu huwa hazidumu ila huacha kumbukumbu ambazo ni funzo na mwanzo wa mabadiliko. – at Kilimanjaro, Tanzania
Live your life, be grateful to God for what you have, don't lose hope because of difficulties, and keep striving to achieve your goals. – at Tanzania
Ishi maisha yako, mshukuru Mungu kwa ulicho nacho, usikate tamaa kutokana na matatizo, na endelea kupambana ili kufikia malengo yako. – at Kilimanjaro, Tanzania
Tabia zina mchango mkubwa sana katika mafanikio yako na kukusaidia kutimiza malengo yako kwenye maisha. Siri ya mafanikio yako, imejificha katika tabia zako za kila siku. – at Kilimanjaro, Tanzania