
ππΌππ»π±π²πΏ @biglightworldwide. π£I Directπ½I Shoot π»I edit @Sautizaughaibuni
Canada
Joined April 2016
- Tweets1.1K
- Following78
- Followers120
- Likes4.1K
Shoutout to @elonmusk for pushing the boundaries of whatβs possible with space travel, EV tech, and AI. Keep innovating. π°οΈβ‘ π₯π¨π¦
7
βKwenye ulimwengu huu wa kuona na kusikiliza, unahitaji watu wanaokupa dira na mtazamo chanya. Shukrani kwa Kaka @jbkweka_tz kwa mwongozo na hamasa isiyoisha. Tunajenga kesho bora leo hii! ππͺπΏ #Motivation #SuccessJourney #Creatives #Gratefulβ
9
Tell me Meta's moderation system is broken without telling me. Itβs crazy how outside groups can just manipulate the system and get accounts blocked out of nowhere. We need real transparency, not this automated nonsense. π€«π
15
youtu.be/m4e5ngBHR4Q
Katika uhalisia, mahusiano kati ya Watanzania na Watu wa Afrika Kusini ni ya kihistoria, kijamii na kiuchumi. Tanzania ilikuwa mshirika mkubwa katika ukombozi wa Afrika Kusini dhidi ya ubaguzi wa rangi (Apartheid), na historia hiyo ni ya heshima kubwa.
33
Yaani Hadi AI Unawasaidia Viongozi vilaza Afu wanapeleka Watoto wao Nje Ya Nchi kusoma sasa Sijui Ndo nini aiseeeeee Dah Maisha haya aiseeee #KigogoDaresalaam #Tanzania ya Vipofu na waoga kinomaaaa aiseeee
2
29
Alino Alino - Only One feat Bassie, Murumba pitch (Official Music Video) youtu.be/Fuhq6sAvkps?si=4_3r⦠via @YouTube
3
112
Nataka kuleta Hii gari bongo je Ushuru ni kiasi gani watu mamlaka Embu nisaidieni nisije nika Icha border Bure au Bandarini
1
33
youtu.be/Tgsb3z393rI?si=z3GPβ¦
Hatuna nguvu za kupigana lakini tunaweza kutoa ushauri kwa vitendo
2
29
Nikifikilia dunia mwenzenu naijuitia..tena nishawahi kukufuru Mungu mie Kwanini nimezaliwaβ¦β¦ #JagwaMusic Nimekopa Jana tu hata siku haijaishaaa. Lakini sawa msiwe mnatuambia kukopa sawa Kumbe wasumbufu na kuongeza 0 @VodacomTanzania Donβt reply
24
Ommy 4k π₯ retweeted
MTOTO AMEKABIDHIWA RASMI
Leo tarehe 13.05.2025 Maafisa kutoka Idara ya Ustawi wa Jamii ya Jamhuri ya Afrika Kusini wamemkambidhi rasmi kwa Ubalozi mtoto JOEL BRAYAN BITINENGO MAGEMBE. Kupitia Mkutano huo, Mamlaka za Afrika Kusini zimeuomba Ubalozi umkabidhi mtoto huyo kwa Baba yake Mzazi nchini Tanzania na zimewasilisha ahadi ya kumkatia Tiketi ya Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania, tayari kwa kusafiri tarehe 18.05.2025.
Wakati wa Mkutano huo, Ubalozi umewapongeza na kuwashukuru kwa dhati Wamiliki na Menejimenti ya LITTLE TREASURES NURSERY, PRIMARY & SECONDARY SCHOOL, ya Mkoani Shinyanga nchini Tanzania, kwa kukubali Ombi la Ubalozi la kumpokea, kumfadhili Masomo, Malazi na Chakula mtoto BRAYAN.
This is Most lovely friend and leader of the planetβ π Right nowβ THIS IS MY PRAYER TO ALLAH βO Allah Please π send high security angel πΌ on him. no this one on your this planet the one you build it and leave Africa Continent alone again Like JPM pleaseβ.
Africans And Foreigners In Moscow, Russia Were So Happy To See Burkina Faso President, Ibrahim TraorΓ©. They Wanted a Picture With Him. The Most Popular African President.
1
23
There busy telling you come to visit our country but when u apply for visa they declined youβ¦.Mmxuuueeee
17












