Upendo Abisai (@pendolovey) header
Upendo Abisai (@pendolovey) profile picture

STUDENT,WIFE,MOTHER,PASSIONATE IN COMMUNITY WORK,YOUTH,ACTIVIST,SISTER,FRIEND ,MEMBER OF YOUTH FOR CHANGE TANZANIA PANEL,OPTIMISTIC.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2015
Photo by Upendo Abisai (@pendolovey)Photo by Upendo Abisai (@pendolovey)Photo by Upendo Abisai (@pendolovey)Photo by Upendo Abisai (@pendolovey)Photo by Upendo Abisai (@pendolovey)Photo by Upendo Abisai (@pendolovey)Photo by Upendo Abisai (@pendolovey)Photo by Upendo Abisai (@pendolovey)Photo by Upendo Abisai (@pendolovey)Photo by Upendo Abisai (@pendolovey)
Katika kuhadhimisha siku mahususi ya mtoto wa Afrika🙏niwakaribishe kuungana nasi katika majadiliano kwa njia ya mtandao(zoom)🙏.17/6/2020:kuanzia saa 10jioni🙏@Youth4ChangeTz @FeminaHip @herinitiative @MsichanaUwezo @FeminaHip @ENDFGM_Network @AUYouthProgram @Plan_tanzania
3
8
Today @SAYoF_SADC feature Trainees/ SADC Peace Advocates; first Cohort Training in Peacebuilding with KAICIID under our project #SadcYouth4Peace today Its Mamohau Thetsane from Lesotho #SADCYOUTH
1
7
13
Upendo Abisai retweeted
Maziwa Makuu Tukumbushane. Tanzania ina milki ya % kubwa ya Maziwa Makubwa matatu ya Afrika - Victoria, Tanganyika & Nyasa Hii ni: .robo ya maji fresh yasiyoganda yote duniani .10% ya samaki wote duniani Tanzania ni nchi ya kipekee kwa rasilimali. Mno!
4
12
1
68
#SADCYOUTH ANNOUNCEMENT: Young people in SADC, @SAYoF_SADC will soon announce A CALL FOR COMMITTEE MEMBERS to plan and coordinate the upcoming 2nd SADC Youth Parliament &SADC Youth Forum to be held in August 2020. Watch this space! #SADCYOUTH @PetriderPaul @SylvaArmel @faryus88
7
26
2
56
Mwanamke Kiongozi katika sekta yoyote ni muhimu sana kujitengea muda na kuwa na desturi ya usomaji na ufuatiliaji wa program mbalimbali zinazolenga kuinua Wanawake Wanawake wanapiga hatua, haswa wakisimamia ajenda zao kikamilifu womendeliver.org/womensleade… #ElimikaWikiendi
7
19
Ni vema kuendelea kujifunza kupitia Wanawake waliopiga hatua katika nyanja mbalimbali haswa za Kiuongozi Na ni vema wao kuwa na utayari wa kuelezea Safari zao, mapito yao, changamoto na mafanikio yao ili kuhamasisha kizazi kijacho #ElimikaWikiendi
1
7
21
Duniani kumekuwa na Taasisi kadha wa kadha za kuinua Wanawake- na kuwaunga mkono kwenye michakato yao mbalimbali Ni vema Taasisi zetu za Wanawake Tanzania zikiendelea kutengeneza Ubia na Ushirika na Taasisi hizi ili kushirikiana nao en.m.wikipedia.org/wiki/List… #ElimikaWikiendi
5
13
Upendo Abisai retweeted
Vijana ndio nguzo ya mabadiliko katika jamii. Kutana na vijana ambao wamejitolea kusambaza taarifa sahihi kuhusu janga la Covid19 #Covid19ChampionsTz tag Femina tag UNICEF tag na wengine uwapendao
4
14
Upendo Abisai retweeted
Kijana, tuendelee kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya corona kwa kufuata maelekezo ya Wizara ya Afya. Tuzuie maambukizi. #Covid19ChampionsTz @FeminaHip @UNICEFTanzania
3
15
Upendo Abisai retweeted
Maegesho ya gari nyumbani Maeneo mengi yanayopendwa mijini viwanja ni gharama sana. Na wengi hawapendi kwenda mbali nje ya mji. Ndio maana parking ya gari huwa inafinyiwa ndani ya plan ya nyumba Garage Smart space use for home parking Photo courtesy
1
3
23
Upendo Abisai retweeted
Ofisi ya Makamu wa Rais inatangaza mashindano ya uandishi 📝 wa Insha kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira Mahindano haya yapo wazi kwa ; 🥇Shule za msingi, 🥈Shule za Sekondari 🥉Vyuo vya Elimu ya Juu Masharti na vigezo kuzingatiwa👇
4
9
Wanafunzi wa UDSM ambao Mwalimu alikuwa anawaalika nyumbani kwake ili kujadili naye,walikuwa huru kumuuliza mambo mbali mbali.Aliwapongeza kwa kazi kubwa waliokuwa wanaifanya kwa jamii na kufundisha watu kusoma.Pia aliwajulisha kuhusu historia na mambo ya kimataifa
7
40
1
257
Miradi tunayofadhili ya kupinga MILA POTOFU imejikita katika kusaidia kuhamasisha wana jamii na serikali za mitaa na vitongoji kuweza kuhamasisha upatikanaji wa haki za wanawake na watoto wa kike kwa ustawi wa jamii endelevu.
1
7
24
#16Days #siku16ZakupingaUkatiliWakijinsia @FCSTZ imedhamiria kukomesha mifumo yote ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana kwa kutoa ruzuku kwa asasi mbalimbali nchini zinazotekeleza miradi inayopinga Mila Potofu na miradi ya Haki ya Wanawake Kumiliki Ardhi na Mali
10
23
Kwa mahitaji ya toys za watoto ✅@nahlovepetals ni suluhisho 📞0719616122🙏bila kusahau kutembelea ukurasa wao wa instagram 🙏.#TwitterGulio
2
Je una birthday,anniversary,graduation,baby shower n.k je unahitaji Mapambo mbalmbal ya nyumban na ofisini 🌸@Nahlovepetals ndio jibu la maswali yako.📞0719616122✅tuffolow instagram kuona kazi zetu🙏.#TwitterGulio
1
5
Upendo Abisai retweeted
Kuona mtu kama Bezzos ametumia miaka 25 kufocus kwenye kukiboresha kitu kimoja over and over bila kukata tamaa. It’s inspiring. Kwenye kipindi nilichofanya na Mkasi 2015 nakumbuka I said “you get what you work for, not what you desire”. I still believe this.
8
48
4
228
We join our partner @Mengifoundation in honouring their founder Reginald Mengi whose acts of selflessness and service to humanity continue to make a stamp in supporting the lives of the people of Tanzania.
Upendo Abisai retweeted
Their Opinions Will Never Pay Your Bills.
1
2
2
29
Upendo Abisai retweeted
Kama wewe ni Mwanafunzi na unapenda kusoma na wenzako (kikundi soma). Mkiwa mnakutana kwa ajili ya majadiliano (discussions) beba extension cable kwenye bag. Mara nyingi wahitaji wa kutumia umeme ni wengi kuliko idadi ya socket. 😊 Chukua point 3️⃣ hizo #TajTips #Vimbeta #Tips
Unataka kumnunua mtu zawadi ndogo ambayo ataitumia angalau kila siku na kwa muda mrefu?. Tafuta extension cable nzuri ya umeme. Funga vizuri mpelekee...hii haichagui jinsia. Na ukishachukua hizo pointi 3, 1 ni yangu. #TajTips #Tips #Mbinu
1
3