skuncle... retweeted
Binti mdogo kama Angel miaka 13 alienda DSM kumtembelea aunt yake baada ya kumaliza elimu yake ya msingi huku akiwa na matumaini makubwa matokeo yake yatatoka vizuri. Oct 29 alipigwa risasi ndo mwanzo wa ndoto zake zote zilipoanza kukatika. Mungu ampe pumziko la Amani 💔🕊️
skuncle... retweeted
Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese: Kugharamia matibabu Muhimbili, makazi na elimu.
Mama wa Angel awashukuru Watanzania, mfadhili na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada wa hali na mali.
skuncle... retweeted
Repost
Vote for Savatir in the Zikomo Africa And Caribbean Awards for Author Of The Year. Voting is free after you open a free account, and you can vote once a day. Here's the link: zikomoawards.com/polls/cmhw1…
skuncle... retweeted
BREAKIN NEWS, jeshi letu lipo na sisi
Reposti, ukiona posti yoyote ya mandamano Reposti ifikie duniani kote mnakuaje nyie 👊
wananchi wanaita jeshi jeshi baada ya wanajeshi wetu kuonekana barabarani
skuncle... retweeted
S/o kwa wanangu wote mnaopambana mkawe na week njema.
Bila kusahau kupambania kesho yetu bora — hapa nazungumzia utawala bora ambao unatoka kwa wananchi yaani #NoReformsNoElection
Week njema wanangu.✌🏾
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎









