π Msingi Bora wa Elimu Ndio Urithi wa Mtoto Wako! πAnnebam Pre & Primary School inawakaribisha wazazi wote kuandikisha watoto kwa mwaka wa masomo 2026. Tunatoa elimu bora ya awali na ya msingi (Nursery, Grade 1 & 2) katika mazingira salama na tulivu yaliyopo Ndachi, Dodoma.