Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
1
14
Haroun Mussa ๐น๐ฟ retweeted
Wakiona chuki zao hazifanyi kazi, wataanza kukusemea uwongo.
๐ถโโ๏ธBINADAMU ๐
Nateleze Nakosea, Naanguka Napotea/
Najifunza Kuendelea, Nainuka NATEMBEA/
Bendera Ya Chumaa Inapepeaaโฆ
@FidQ ๐๐๐๐๐
#BenderaYaChuma
Haroun Mussa ๐น๐ฟ retweeted
Mambo (9) ya kuzingatia uwapo kazini:
1. Usiamini mtu yeyote, waheshimu watu wote
2. Ingia kazini kwa wakati, ondoka kwa wakati
3. Kinachotendeka kazini kwako kibaki kazini
4. Usifanye kazi kwa mazoea wala kwa kujuana
5. Usianzishe mahusiano ya kimapenzi kazini
Haroun Mussa ๐น๐ฟ retweeted
NUKUU YA LEO: โUkiwaamini watu zaidi ya wanavyostahili, watakuumiza zaidi ya unavyostahili.โ - Paulo Coelho
EarthStrong Day brother @FidQ
โUpo Duniani Tangu Agosti 13, kiubishi ubishi/
Unavuja Jasho Kimpango Wako, kiubishi ubishi/
Maisha ni Shida na Raha kuna Starehe na Karaha Utachekwa Ukizubaaโฆ..โ
Enjoy your day brother Fareed Kubanda.
Do you remember when you joined Twitter? I do! #MyTwitterAnniversary
1
19
Haroun Mussa ๐น๐ฟ retweeted
The sentence โThe quick brown fox jumps over a lazy dog.โ uses every letter of the alphabet.
Haroun Mussa ๐น๐ฟ retweeted
Replying to @KennedyMmari
Yanga anakufa kesho kama Mwamuzi wa kati ni huyu Bi. Mkubwa. Ushindi wa wananchi kesho ni sare lakini asilimia kubwa baba jeni baibai๐คฃ
Haroun Mussa ๐น๐ฟ retweeted
If someone doesnโt appreciate your presence, make them appreciate your absence.
Mungu Hukuepusha na MAKUBWA kupitia MADOGO.
#ElimikaWikiendi
MOYO safi unastahili MOYO safi pia.
#ElimikaWikiendi #TUISHI
Hongera kwa kuchagua kuelimika na #ElimikaWikiendi jumamosi ya leo.
Kipindi hewani ni Makuzi ya Lugha mpaka saa 3:00 asubuhi.
Haroun Mussa ๐น๐ฟ retweeted
โUkiona unajipunguza umri, jua kuna sehemu umeshakosea.โ
#ElimikaWikiendi | MAKUZI YA LUGHA.















