
I love Jesus Christ #TeamJesusForever👸🏾👸🏾🙏🏽💫 🌺
Tanzania,Dar es salaam
Joined June 2011
- Tweets14K
- Following245
- Followers2.3K
- Likes10.4K
I'm more worried about hizo media houses zilizoenda kusikiliza huu ujingaore than those women 😓
Kundi la wanawake wenye maumbile makubwa maarufu kama GWEDEGWEDE, wametangaza usiku wa burudani ya aina yake utakaohusisha Kibao Kata, taarabu na matarumbeta, huku wakitamba kupanda jukwaani sambamba na Malkia wa Mipasho Khadija Kopa, Abdul Misambano, Mzee wa Ngenga na Shishimbi katika shughuli itakayofanyika kesho, Oktoba 29, 2026, Liquid Bar, Kurasini jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mwenyekiti wa Gwedegwede, Mwanaarabu Kijazi, amesema wamejipanga kufanya makubwa katika usiku huo, huku Magwedegwede kutoka maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam na nje ya jiji hilo wakitarajiwa kujumuika kwa burudani, dansi na shamrashamra.
“Kesho Liquid kutakuwa na burudani nzito sana. Mimi mwenyewe nitapanda jukwaani na Khadija Kopa. Huku Misambano, huku Mzee wa Ngenga, huku Shishimbi na tarumbeta lake, halafu katikati kuna MagwedeGwede! Hebu vuta picha hiyo burudani itakavyokuwa. Hatupoi, hatuboi mpaka Desemba,” amesema Kijazi.
Amesema usiku huo utakuwa sehemu ya kuendeleza shamrashamra za msimu wa burudani wa MagwedeGwede unaoendelea kuanzia Oktoba hadi Desemba, huku akiwakaribisha wananchi wote kujumuika nao na kufurahia burudani hiyo.
Tukio hilo ni sehemu ya maandalizi ya Gwedegwede Festival 2026, inayotarajiwa kufanyika Novemba 7 jijini Dar es Salaam, chini ya kaulimbiu ya “Kila kitu ni fursa, Gwedegwede, Bomba mbaya"
I don't like this 🤧
“Hata kama kukiwa na mabomu kama tarehe 29, kesho njoo Kanisani kusali”-; Askofu Rweyongeza.
#Mo29 #TanzaniaMassacre #TukutaneParokiani
'Sleepy head I'm in love with you' Era all over again
Proof that she was sending out Content to Shippers to get Gifts . Bright would Never share Such . #BBNaija
Reema Mbuya retweeted
The Pan African Solidarity Network has filed a habeas corpus at the Milimani High Court, Nairobi, Kenya, seeking the release of Twaha Mwaipaya, a Tanzanian activist who was abducted in Machakos, Kenya on Sunday afternoon.
#FreeTwahaMwapiaya #EndAbductionsEA #PASNet
Reema Mbuya retweeted
Kwa hali ilivyo kisasa Tanzania na kwa nafasi aliyopo Pambalu na kwa wana harakati wote,
Ni mtu mjinga tu anaweza pewa ushauri kama huo akaukubali...
Uliyemshauri Pambalu alirudi Bongo, ukampa hakikisho la usalama wake kwamba uliongea na Mafwele, akakwambia arudi tu hawana tatizo nae, naomba utambue kwamba umetusababishia matatizo makubwa sana.
Kila siku huwa nawakumbusha wapambanaji wenzangu kwamba ogopa sana mtu ambae anaaccess na wewe lakini pia anaaccess na watu ambao daily wanawinda roho zetu.
Maana unatakiwa ujiulize inawezakanaje mtu ambae anajipambanua kuwa ni mpigania Haki halafu wakati huo huo kwa mdomo wake anasema Mafwele ni rafiki yake? Unawezaje kuwa na urafiki na mtu ambae Dunia yote inajua kuwa anateka na kupoteza watu na wengine huwa anawabaka na kuwafila, inawezekanaje…???
#FreeTwahaMwaipaya💔
I still can't believe you people tried to accuse Tbaj on touched her face , fear internet people 😂😂😂😂
Jeshi la Magereza Tanzania limekanusha taarifa zinazoeleza kuwa Mwenyekiti wa (CHADEMA), Tundu Lissu ameanza mgomo wa kula na kwamba Mawakili wake watatu wamezuiwa kuingia gerezani kumuona.
Katika taarifa iliyotolewa leo, Oktoba 27, 2026, Jeshi hilo limesema Lissu yupo salama na hajagoma kula kama ilivyoripotiwa.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, madai hayo yalitolewa Oktoba 26, 2026, na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, ambapo Jeshi la Magereza limeyataja kuwa si ya kweli na yenye kuleta taharuki katika Jamii.
Kuhusu suala la Mawakili, Jeshi hilo limesema wale wanaomwakilisha Lissu wameendelea kuruhusiwa kuonana naye kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo, baada ya Mamlaka husika kujiridhisha kuwa ni Mawakili wake.
Katika taarifa hiyo iliyosainiwa na Msemaji wa Jeshi la Magereza Tanzania, SACP Elizabeth G. Mbezi, Wananchi wametakiwa kupuuza taarifa hizo na kuacha kuzisambaza, huku Jeshi hilo likisisitiza kuwa kusambaza taarifa zisizo za kweli ni kosa kisheria.
#MillardAyoUPDATES
Reema Mbuya retweeted
Too good. Exactly, like the promises of our politicians. 😁
Today only i bought a 3-in 1 slicer, peeler & shredder.
Believe me, it doesn't perform any of those. Ended up injuring my fingers instead.
Like play like play he is gone just like that 😭😭😭
Christians LOVE God's promises and blessings but don't like HIS conditions. Every blessing in the bible has a condition
Last night’s hallelujah challenge was so hilarious 😂😂😂😂
Pastor Nath: “You will promise God that you will honor Him with your body, you will not sleep with anyone that is not your spouse and the next time you will sleep with someone it will be your spouse”
***everywhere goes silent****
P.Nath: “Ah it's beginning to be silent here”
This generation shock pastor nath
😭😭😭😭😭😭
Messi is on the list 👀👀 @Miss____Sue





























