
An Amazebomb❤️🎁🎊CEO of @zawadipoint Creating gifts to your loved ones and Corporate/Companies Unapotafuta Maisha,Usisahau kuishi🌹
Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2012
- Tweets18.1K
- Following195
- Followers11.6K
- Likes7.2K
Lucy retweeted
Overthinking haijawahi kusolve tatizo toka dunia ianze, stop punishing yourself.
Mengine achia muda na Mungu.
Lucy retweeted
Siku moja tuwe na honest convos jinsi jamii yetu imeamua ku normalize Alcoholism wakati silently inaumiza maisha ya watu kiafya, Kikazi, afya ya akili na afya ya mwili, kuchochea migogoro ya familia, Finances
Watu watajitetea wanaimudu
Amen 🤗🙏🏻 Thanks shem
Thanks Coco wangu❤️❤️
I love you more
Replying to @reddielucy
@reddielucy Happy Birthday my Lucy. I love you so so much! You kind woman you! Sweet and lovely! ❤️❤️❤️dont ever lose your sparkle ✨
2
14
2,865
Thank you mume wangu mimi😍😍😍
Happy birthday my love. Six amazing years together my wife, my best friend, my everything. I love you more every day. @reddielucy @zawadipoint
4
26
3,856
Enjoy hny❤️
You deserve more😘😘
Asante Mpenzi @reddielucy Kwa Kifaa cha kazi..
Hapa nitest na nyimbo gani wakuu?
14
3,213
Lucy retweeted
Asante Mpenzi @reddielucy Kwa Kifaa cha kazi..
Hapa nitest na nyimbo gani wakuu?
Lucy retweeted
I hope Diamond platnumz or anyone who moves like him when it comes to relationships, will soon realize that being a play boy or play girl isn’t a trend or glorified anymore. We are getting old, at some point you should grow up and get a partner.
Lucy retweeted
Mikocheni kwa @zawadipoint hadi saa hizi geti liko wazi vijana wako busy wanapiga kazi, hii ndio tunaita high season 😂
Lucy retweeted
Ungepewa nafasi yakumpa mtu Zawadi siku ya Valentine,
Ungechagua kumpa nani???
Tutumie msg whatsapp 0658-556558 tukuandalie Zawadi aina tofauti tukampelekea mpendwa wako
akafurahi na kumfanya awe na memory siku zote za maisha yake😍
Lucy retweeted
Hofu ya kuhukumiwa na wengine inaweza kukuzuia kufanikiwa, hasa kwa sababu ya fikra kama “Watu watanionaje nikifanya kitu flani?” Eg Nikianza kupost biashara yangu, kukuza personal brand yangu, etc..
Unapohofia watu watakuonaje, unashindwa kuchukua hatua kwa sababu unaogopa kupuuzwa au kuchekwa.
Ukiendelea kufikiria watu watasema nini, unajikuta ukikosa ujasiri wa kukabiliana na changamoto zinazoweza kukupeleka mbele.
Kujali sana maoni ya wengine kunakufanya utegemee idhini yao badala ya kuamini maamuzi yako mwenyewe.
Kuogopa kukosea mbele ya watu kunakufanya ucheleweshe mafanikio kwa kutaka kila kitu kiwe kamilifu kabla ya kuanza.
Ukweli ni kwamba watu daima watasema, lakini haitakiwi kukuzuia kufuata ndoto zako! 🚀 #Tutoboe2025
Lucy retweeted
Sikia Bro: Chukua hiyo simu yako, nenda kwenye duka lolote, waambie unawatengenezea content 2 za biashara bure! Shoot vizuri, Edit vizuri, watumie. Kisha nenda duka lingine...🧵👇🏾

























