Salama Foundation retweeted
Kila sauti ina maana,Usikae kimya! Chagua kutokomeza ukatili kwa watu wote. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV #NoExcuse @salamafound
Salama Foundation retweeted
Chagua kupigania ndoto za wasichana na wavulana ili kutokomeza kabisa ukatili wa kijinsia.
#TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV #NoExcuse
Salama Foundation retweeted
Mwananchi mwenzangu,hakuna maendeleo bila usawa. Tumia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kuhamasisha usawa, amani na upendo kwa wote.
#TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV
Salama Foundation retweeted
Mwananchi mwenzangu,hakuna maendeleo bila usawa. Tumia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kuhamasisha usawa, amani na upendo kwa wote. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV @salamafound
Salama Foundation retweeted
Mwananchi mwenzangu,hakuna maendeleo bila usawa.
Tumia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kuhamasisha usawa, amani na upendo kwa wote. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV @salamafound
Salama Foundation retweeted
Hakuna maendeleo bila usawa. Tumia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kuhamasisha usawa, amani na upendo kwa wote. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV @salamafound
Salama Foundation retweeted
Leo ni siku ya watu wenye ulemavu duniani.Tuadhimishe siku hii kwa kuwekeza na kuchagua kutokomeza kabisa ukatili wa kijinsia na kutoa fursa zinazozingatia usawa kwa wote #TokomezaUkatili #EndGBV #16DaysOfActivism
Salama Foundation retweeted
Few hours to go! Join the #16DayOfActivism webinar. International day of persons with #Disability
genderlinks-org-za.zoom.us/m…
Salama Foundation retweeted
Chagua kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa wasichana waliojifungua katika umri mdogo. Shiriki kuchagiza upatikanaji wa huduma za afya zinazozingatia haki na usawa kwa wote. Pamoja tunaweza! #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV
Salama Foundation retweeted
"Jamii ya wa #Tanzania inaiomba serikali Kuimarisha utekelezaji wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto kuanzia ngazi ya mtaa mpaka taifa".
-Mkuki Coalition
#TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024
Salama Foundation retweeted
Nipende kushukuru wanaume wa Tanzania, walishirikiana na sisi tuliporudi Beijing.
Mimi nna miaka 55 ya ndoa, nawaambia bila kuwa na mahusiano mazuri na yule mume wangu leo nisingekuwa hapa.
~ Balozi Getrude Mongella a.k.a Mama Beijing
#TokomezaUkatili
Salama Foundation retweeted
Leo siku ya pekee ambapo tunazindua Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia kwa wanawake na wasichana.
Tushirikiane kupaza sauti na kuchochea mabadiliko!
#16DaysOfActivism2024 #TokomezaUkatili
Salama Foundation retweeted
“Lengo letu ni kuhakikisha kuwa serikali inaendelea kuchukua hatua madhubuti katika kutunga na kutekeleza sheria zinazowafaidi wanawake na watoto, huku pia ikizingatia usawa wa kijinsia katika maeneo ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa”
#TokomezaUkatili
Salama Foundation retweeted
Kuelekea miaka 30 tangu azimio la Beijing, tunayo fursa muhimu ya kutafakari mafanikio yaliyopatikana, kukabiliana na changamoto zinazoendelea na kuimarisha juhudi za kutokomeza ukatili wa kijnsia.
#TokomezaUkatili #16daysofactivism2024
Salama Foundation retweeted
Kampeni ya siku 16 za uanaharakati kwa mwaka 2024 zinafunguliwa rasmi siku ya leo tarehe 25/11/2024, Ikiwa imebeba kauli mbiu isemayo "Kuelekea Miaka +30 ya Beijing: CHAGUA Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia"
#16DaysOfActivism2024 #TokomezaUkatili
Salama Foundation retweeted
"Ni Lazima tuchague kutokomeza ukatili katika matendo yetu ya kila siku. Kutokomeza ukatili haipaswi kuwa jambo la bahati nasibu." - Balozi Christine Grau, Balozi wa EUinTZ na Jumuiya ya Afrika Mashariki.
#TokomezaUkatili #16daysofactivism2024
Salama Foundation retweeted
Chagua kutokomeza ukatili wa kijinsia hapo hapo ulipo bila kujali ukubwa wa cheo au udogo wa nafasi ya ushawishi uliyonayo.
#TokomezaUkatili 💪🏾🫶🏾
Salama Foundation retweeted
"Join @KwaneleSAfrica & @Sisonke_ZA in pioneering post-violence care for womxn & girls!
📍 21 Kruis St, JHB Sisonke National Movement Offices
🗓️ Feb 21, 2024, 12:30 - 14:00
💌 Kwanele invites advocates to a Joburg workshop/co-creation space.
RSVP: lnkd.in/eDMWdPxi
Salama Foundation retweeted
Happy holidays VCSA partners and friends!! @amplifyfund @CanHCZA @GenderLinks @WOSSOGL @clowemorna @NomthiMankazana @cwhrdstz @WagZimbabwe @swancefa @salamafound @Sisonke_ZA @MWHRRC @IjefaRdc @PJL_Madagascar @salamafound @EagleWings_tz
Salama Foundation retweeted
Come join us as we reflect on the I am a man I …Campaign and more on 11 Dec @1300 SATS @GenderLinks @WOSSOGL @amplifyfund @cwhrdstz @IjefaRdc @swancefa @PJL_Madagascar @salamafound @MWHRRC @SisonkeSA @clowemorna @MwanasikanaW






































