Shaffih Dauda (@shaffihdauda1) header
Shaffih Dauda (@shaffihdauda1) profile picture

Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my own

Dar Es Salaam,Tanzania
Joined August 2011
Photo by Shaffih Dauda (@shaffihdauda1)Photo by Shaffih Dauda (@shaffihdauda1)Photo by Shaffih Dauda (@shaffihdauda1)Photo by Shaffih Dauda (@shaffihdauda1)Photo by Shaffih Dauda (@shaffihdauda1)Photo by Shaffih Dauda (@shaffihdauda1)Photo by Shaffih Dauda (@shaffihdauda1)Photo by Shaffih Dauda (@shaffihdauda1)Photo by Shaffih Dauda (@shaffihdauda1)Photo by Shaffih Dauda (@shaffihdauda1)
Hapa Munich Jua limekuwa kali sana asubuhi ya leo lakini ndio kumekucha na Fainali inapigwa hapo baadae kidogo Kwenye moja ya mgahawa hapa kwenye Hotel niliyopo nimekutana na gwiji na mwanahabari nguli kweli kweli ambaye ameliteka soko la dunia kwa sasa @FabrizioRomano Tumepiga stori nyingi lakini nimempenyezea exclusive kuwa Bongo unaweza kulala ukaamka ukakuta habari imechapishwa na watu wanne tofauti lakini inafanana kila kitu cha ajabu amecheka sana, sasa sijui amecheka nini Naendelea kumshawishi hapa huwenda akaripoti Dabi ya June. 15, Siku ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa nchini Jamhuri ina kiu kubwa ya kutaka kumjua Bingwa wa msimu huu siku hiyo Bila kupoteza Focus, Nipo Munich kwa Ajili ya Fainali na wakali ni Heineken ambao wamesimamia kila kitu kuhakikisha ripoti zangu zinakufikia mwanzo hadi mwisho wa tukio Hapo Bongo hakikisha unafika Mlimani City leo @HeinekenTZ wameweka mazingira mazuri kwa ajili yako na hakuna kiingilio
123
118
5
2,473
134,241
Shaffih Dauda retweeted
💬 Edo Kumwemba:: “Nilikuwa natazama dabi ya Soweto Jumamosi jioni. Orlando Pirates dhidi ya Kaizer Chiefs. Simba wana kazi ngumu katika mechi zao mbili dhidi ya Pirates. Sio watu wazuri. Sio tu walishinda lakini waliwanyanyasa wapinzani wao”
38
32
1
772
21,422
Even a poor plan is better than no plan at all.
2
4
132
5,196
Shaffih Dauda retweeted
Iddi Selemani NADOOOOOOOOOOOOOO⚽⚽🔥🔥🔥
8
9
1
258
12,778
Ndeke – at Dar es Salaam, Tanzania
2
104
9,045
🔥 HATUA MOJA ZAIDI… UPO SALAMA?? Kwa CRDB Insurance, huduma bora ni kwenda EXTRA MILE kwa ajili yako. UPO SALAMA? #UpoSalama #HatuaMojaZaidi #GoingExtraMile #CRDBInsurance #CustomerCareWeek #KeshoNayoSiku @wilson_mnzava @crdb_insurance – at Dar es Salaam, Tanzania
1
1
12
2,776
VVIP EXPERIENCE NA AMELL LOUNGE 10,000 Tu. Vinywaji, Chakula, live Screen Ndani ya KMC. Madenge Fc vs Azimio fc
1
1
53
5,152
#TanzaniaGreenSummit#Tuzo – at Dar es Salaam, Tanzania
24
5,686
Tunaendelea kuzihesabu siku kuelekea fainali ya #imbejundondocup2026 #jiongeze Madenge fc vs Azimio Fc Kiingilio 3,000/= Uwanja wa KMC Mwenge.
2
2
31
3,771
MPIRA HUO….. Leo nimekamilisha maandalizi ya NSEKELA CUP FAINALI hapa kwenye uwanja wa NSEKELA STADIUM wilayani Kyerwa hapa RWENKORONGO. SHADAKA SPORTS tumepewa dhamana ya kusimamia mashindano haya na tunafuraha kukamilisha maandalizi kuelekea fainali siku ya ijumaa ya septemba 4. Kama vijana tunaendelea kufungua milango ya vijana wenzetu kutimiza ndoto zao kupitia soka. Asante sana #Abdulmajidnsekelafoundation kwa kutuamini.
3
1
1
84
11,672
Spain wameonyesha tena kuwa ubora wao haupo kwenye kumiliki mpira pekee, bali pia kwenye kutumia akili. Wameizima kasi ya Ufaransa, wakatawala eneo la kati na kutumia nafasi zao kwa ufanisi. Ushindi wa mabao 2-0 ni matokeo ya nidhamu, uvumilivu na mpango bora wa mchezo. Sasa Spain wanaelekea fainali wakiwa na sura ya timu inayojua kabisa namna ya kushinda mechi kubwa. – at Dallas, TX
30
2
16
165
56,992
Spain anataka kuumiliki mchezo, lakini Ufaransa anataka kuamua mchezo. Les Bleus wakizuia katikati, wakamdhibiti Yamal na kutumia nafasi nyuma ya mabeki, wana uwezo wa kuvuka kwenda fainali. – at Arlington, TX
4
2
61
4,140
– at Vancouver, British Columbia
10
9
2
410
6,124
#MexicoVSCzech#fifaworldcup#MexicoCity – at Azteca, Toluca
31
2,874
Yesterday is gone. Tomorrow has not yet come. We have only today. Let us begin.
4
4
125
2,910
Shaffih Dauda retweeted
⌛:FT Mchezo umemalizika uwanja wa New Amaan Complex 🏟️, hakuna kilichobadilika pale kileleni, kinara ni yule yule 🔥 Azam FC anashikishwa adabu hapa Zanzibar 🔰YANGA SC 3️⃣-0️⃣ AZAM FC ⚪ Ibra Bacca ⚽ Depu ⚽ Pacome Zouzoua ⚽
1
3
17
2,611
Leo Ghana hawakushinda ndani ya uwanjani lakini walishinda kwenye sauti,Kuanzia Fan Festival za Boston hadi ndani ya Uwanja wa Gillette Stadium (Foxborough, Massachusetts) Black Stars walikuwa na jeshi la mashabiki lililobadilisha mchezo kuwa tamasha la utamaduni wa Afrika kwa nyimbo na vigelegele vya kutosha. Ndani ya uwanja, Ghana walionekana kama wako nyumbani,kila tukio walilofanya wachezaji dhidi ya wachezaji wa England walishangiliwa kwa nguvu. – at Ludlow, MA
1
7
129
8,015
Mgongoni ni namba 10 ambayo tunaivaa mimi na Messi,Messi hakuja World Cup 2026 kutetea tu ubingwa wa Argentina,amekuja kuandika sura mpya ya historia. Kila mechi anayocheza sasa ni rekodi mpya, na kila bao analofunga linaifanya historia ya Kombe la Dunia kuwa na jina lake juu zaidi.
11
3
190
6,648
Senegal si timu mbaya kwenye World Cup hii,tatizo lao ni kwamba wanacheza vipindi vizuri lakini siyo kwa dakika zote 90. Dhidi ya Ufaransa walikuwa bora kwa sehemu kubwa ya mchezo, dhidi ya Norway walipambana hadi mwisho, lakini katika Kombe la Dunia historia huandikwa na timu zinazodhibiti makosa yao, si zile zinazocheza vizuri kwa vipande vya mchezo.
15
12
1
447
26,196