Kama vipi tuwachenjie au watuachie nchi yetu, chenji yetu @NikkiZohan
Serikali imetolea ufafanuzi kauli iliyotolewa na Rais Samia leo kwamba Serikali itanunua umeme maalum kwa ajili ya Mikoa ya Kanda Kaskazini ili umeme usikatikekatike ambapo imesema umeme uliopo katika Gridi ya Taifa unazalishwa kutoka ukanda wa Kusini Mashariki na hivyo kulazimika kusafirishwa umbali mrefu kwenda maeneo mbalimbali nchini hali inayosababisha upotevu mkubwa wa umeme.
Taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari Maelezo na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali leo March 09,2025 imesema “Kwa Kanda ya Kaskazini upotevu wa umeme unaosafirishwa umekuwa ukisababisha hasara ya zaidi ya Tsh. bilioni 32 kwa mwaka, kutokana na upotevu huo na usafirishaji mrefu wa umeme, Kanda ya Kaskazini imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa ya kukatika kwa umeme mara kwa mara hali ambayo inawaathiri Wananchi”
“Ununuzi wa umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya utasaidia kuondoa changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara na kuokoa upotevu mkubwa wa umeme unaokwenda katika kanda hiyo, gharama za umeme unaonunuliwa kutoka Ethiopia ni nafuu kutokana na Tanzania kuwa mwanachama wa Gridi ya Umeme ya Ukanda wa Kaskazini mwa Afrika ambapo nchi zina makubaliano ya kuuziana umeme kwa gharama nafuu ambayo inalingana ama ni chini ya gharama za uzalishaji umeme zilizopo sasa hapa Tanzania kwa baadhi ya vyanzo vyetu”
“Utaratibu wa Tanzania kununua umeme kutoka nchi jirani umekuwa ukifanyika tangu miaka mingi hususani Mikoa ya pembezoni ambayo ni Rukwa (kutoka Zambia) Kagera (kutoka Uganda) na
Tanga (kutoka Kenya), lengo kuu la kununua umeme kwa ajili ya maeneo ya pembezoni mwa nchi ni kuimarisha Gridi ya Taifa na kuiwezesha nchi kuwa na njia mbadala ya kupata nishati ya umeme pale kunapotokea changamoto katika Gridi ya Taifa.
#MillardAyoUPDATES
1
1
115
Hakuna shaka lazima tuidake🎯
ALBUM YA #HAKUNAMATAATAA toka kwa Songa ni rasmi sasa imetoka leo (01-03-2025),na itapatikana kwa njia ya soft copy(whatsapp,email,telegram etc) kwa bei ya Tsh. 10,000/= tu . Ukishafanya malipo utatumiwa ALBUM hii muda huohuo. Namba ya malipo ni 0656337757.
Sabali retweeted
SPANA ZA UNJU Tape imeshatoka rasmi na inapatikana kwa Tsh 25,000/= tu.
Mawasiliano/Malipo namba zipo kwenye profile!
#SPANA_ZA_UNJU
Sabali retweeted
Stats have ruined the game cause you can’t ever convince me he isn’t one of the best to ever do it. Pure joy.
This media is unavailable
Sabali retweeted
Wewe upo online muda huu unaweza kufanya shughuli zako kwa amani kabisa.
@DEUSDEDITHSOKA yupo MATEKA kwa kupigania nchi yake ambayo ww upo huru kufanya mambo yako saizi.
Ndugu wa SOKA wanahangaika vituo vya polisi kumtafuta mtoto wao bila mafanikio. Wewe ndugu zako wapo na amani wanafanya kazi zao kwa amani.
Unashindwa kupost hata picha ya Soka ukiogopa na ww utapotezwa?
Unaogopa kurepost post za Soka kwasababu utapotezwa?
Unahisi baada ya SOKA nani anafuata?
Hii hali unafikili itaendelea mpaka lini?
SHIRIKI KUKOMESHA UTEKAJI KWA KUREPOST , KUPOST POST ZA KUPIGANIA HAKI ZA KUISHI KWA AMANI WATU WANAONEKANA WAMENYIMWA HIYO HAKI.
REPOST 200 kwa Soka 🙏🏾
Sabali retweeted
SPANA ZA UNJU #SzU PREORDER TSH 20K,check namba za mawasiliano kwenye profile yangu!
Sabali retweeted
Mnachokifanya ninyi jeshi la polisi juu ya KOMBO MBWANA TWAHA kitawagharimu ninyi na familia zenu.
Sabali retweeted
Repost hapa mkuu
1/ On Monday, Tanzanian political blogger Japhet Matarra spoke about his police detention, conviction, and imprisonment over critical social media posts discussing Tanzanian politics and democracy. youtube.com/watch?v=KKj9_lS6…
Sabali retweeted
Msikilize huyu Hakimu akielezea namna Viongozi wa CCM walivyokuwa wakimpigia simu kumshinikiza kutumia Mahakama kupambana vita zao za kisiasa.





















