Themkulima (@themkulima) header
Themkulima (@themkulima) profile picture

Proudly SDA

Tanzania
Joined May 2021
Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)
GoodMorning all farmers
1
1
6
222
Vijana wa Lile Shamba tumeanza kuhesabu siku kabla ya El nino huu mzigo uwe stoo unasubiri December Kaka yangu @SamataJr_12 Fanya mpango wa kombaina turahisishe kazi
7
4
17
563
Sahizi bila kutoa Rushwa hupati maji kabisa Bondeni
3
1
9
317
Themkulima retweeted
Seti itatimia nikipata Rotaveta ya Swaraji kutoka Agricom kama ilivyovaa hiyo Field King Disc 20 ya Agricom
3
2
2
99
GoodMorning All Farmers.
1
4
193
Jua linawaka kiasi kwamba Mpunga umeona bora uanze kukomaa ukapumzike zake Stoo tu
2
5
253
Tazama ndege wa angani hawalimi wala hawavuni,wala hawakusanyi ghalani na Baba wa Mbinguni huwalisha. #GoodMornging All Farmers.
2
3
8
319
Kiangazi kama El Nino @SamataJr_12
1
1
8
329
Ujanishaji unaendelea.
1
1
7
311
Mkubwa @SamataJr_12 kumeanza kuchangamka hapa,vipi nianze kuulizia bei ya mchele au Niache wenge
2
1
5
330
Kwasasa Gunia la Pumba za mahindi lina Pesa kuliko gunia la mahindi yenyewe.
3
1
14
516
Tunazidi kupambana na mpunga wetu wa kiangazi kibishi kibishi sana
3
5
21
454
Zamani ilikua ukikosa hela unatafuta Bonde unaenda kulima nyanya unapata hela unaenda kutoa mahali,Sahizi mambo yamebadilika, Kilimo kimekua Gharama na Mwanamke unampata Bure.
6
3
27
801
Muda wa Risit
Labda watumie lile jumba Lao ila hawatoboi tena😀 Yanga msahau kuifunga Simba kwasasa tunzeni hii✍️
1
345
Muda wa kukagua mashamba umefika
5
1
12
421
Mwaka Huu Godown zote za Mpunga zimejaa.Kama hukuvuna Mapema Jiandae tu kufanya baadhi ya vyumba hapo kwako kuwa stoo.
6
1
18
764
Kubota Kazini
2
11
495
X madaktari,Ivi zile hela hua tunazitoa kwa ajili ya kuonana na daktari,Jion mkiwa mnatoka kazini hua mnazigawana au hua zinaenda wapi?
3
3
341
Nikauze hizi nyanya ninunue Shumba ya kuhifadhia mahindi yangu
5
6
1
44
1,643
Jana naona ndege walikua na kikao cha Send Off kwenye hiki kipande,maana wamechakaza sana punje.Ukizoom vizuri utaona vile wamefuturu.
6
6
29
1,818