Hakika mapenzi ni kuvumiliana
Mylove, @JohnieZeBest
Happy Birthday Babaa🥰❤️.You are my ROCK.
Today I celebrate you and all that you do for me and for "US"❤️.
Against all odds,Upendo umeshinda tena, I am honored to have you in our life.❤️
I am glad I replied that DM🤭😉🥰
Mwaah🥰
2
819
twende retweeted
Kila safari unayochukua na @twenderide si usafiri tu ni mchango wako katika kujenga uchumi wa wazawa.
Bei nafuu kwa mteja, maslahi bora kwa dereva, na huduma inayokujali kila hatua ya safari.
Chagua Twende Ride.
Safari yenye thamani kwa kila Mtanzania.
#TwendePamoja
Akitimiza trips tano anakula wese lita tano😊
Nimempigia simu jamaa yangu mmoja dereva bajaji, nikamuuliza week yake ya kwanza na @twenderide imekuaje akanijibu fasta na kwa sauti ya juu“SIO MANENO TU BROO! WATU WANALIPWA“
twende retweeted
It’s Sunday, nenda popote kwa gharama nafuu na @twenderide
Wasilete kisingizo cha ohoo nauli mara mafuta yamepanda bei. Tumetoa punguzo la 20% hii wikiendi. Wanunue Samaki😂
Mkoa gani twende baada ya Dar?
50%Rock City
0%Chugastan
0%Green City
50%Makao Makuu
2 votes • Final resultstwende pamoja, iwe bar kokote kule kuwacheki masupa staa wa nchi
𝑻𝒉𝒆 𝑺𝒆𝒓𝒆𝒏𝒈𝒆𝒕𝒊 𝑩𝒐𝒚𝒔 are #TotalEnergiesAFCONU17 finalists for the 𝐟𝐢𝐫𝐬𝐭-𝐞𝐯𝐞𝐫 time! 🇹🇿
Mguu wa kutrooooka!
Pakua sasa App yako ya @twenderide ufurahie punguzo chap chap popote jijini💃🏿
Mwezi mmoja wa twende💚
👥 Watumiaji 6000+
🚘 Madereva 3000+
🚗 Safari 1000+
Rekwesti twende ukiwa Dar es Salaam, kuna ofa ya hadi 20% ukitumia Promo Code ya TWENDE PAMOJA.
Kumbuka dereva una keep 100% ya faida yote! #twendepamoja






















