TzConnect (@tzDiscovery) header
TzConnect (@tzDiscovery) profile picture

Get live Tweets of current issues and share with friends

Tanzania
Joined December 2014
Photo by TzConnect (@tzDiscovery)Photo by TzConnect (@tzDiscovery)Photo by TzConnect (@tzDiscovery)Photo by TzConnect (@tzDiscovery)Photo by TzConnect (@tzDiscovery)Photo by TzConnect (@tzDiscovery)Photo by TzConnect (@tzDiscovery)Photo by TzConnect (@tzDiscovery)Photo by TzConnect (@tzDiscovery)Photo by TzConnect (@tzDiscovery)
OFFICE BOYFRIEND Huku nje dust is constant
3
27
2
236
22,778
TzConnect retweeted
Those we love don't go away, They walk beside us every day🇹🇿✨… #Thursday #MO29 •Size 41-45 •Price 85,000/= •WhatsApp wa.me/255748052003 •WeDelivery 📍Dar Es Salaam -Please repost & follow @Gildone_ #ItsForYou!
1
3
TzConnect retweeted
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umeungana na Watanzania katika kuomboleza vifo vya watu waliopoteza maisha katika machafuko ya Oktoba 29, 2025, ukiwakumbuka pia mke wa mfanyakazi wa ubalozi huo aliyeuawa kwa kupigwa risasi alipokuwa akirejea nyumbani kutoka sokoni. Katika ujumbe wake wa kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu machafuko hayo, ubalozi huo umesema mwaka jana Watanzania wengi walipoteza maisha, huku familia na jamii mbalimbali nchini zikibaki katika majonzi kutokana na vifo hivyo. Ubalozi huo umesema kifo cha mke wa mfanyakazi wake ni miongoni mwa matukio yaliyowaacha watu katika huzuni, baada ya mwanamke huyo kuuawa kwa kupigwa risasi wakati akirejea nyumbani kutoka sokoni. Katika kuadhimisha kumbukumbu hiyo, jumuiya ya ubalozi ilikusanyika na kusimama kwa dakika moja ya ukimya kwa ajili ya kuwaenzi wote waliopoteza maisha katika machafuko hayo. Aidha, ubalozi huo ulieleza mshikamano wake kwa familia na watu wengine ambao bado wanaomboleza vifo vya wapendwa wao na wanaotafuta majibu kuhusu yaliyotokea. Kumbukumbu hiyo inafanyika wakati Tanzania ikiadhimisha mwaka mmoja tangu machafuko ya Oktoba 29, 2025, yaliyosababisha vifo na kuacha majonzi kwa familia nyingi, huku wito wa kupata majibu kuhusu matukio hayo ukiendelea kutolewa na wadau mbalimbali.
10
31
727
There are no jitters in the economy. It is simply transitioning from a period of extreme liberalism and indiscipline, where speculators and conmen robbed Ugandans of trillions of shillings, to one of order.
78
117
5
352
18,632
temperature down 32°C ⇢ 30°C wind 9 km/h ↗︎ ⇢ 13 km/h ↗︎
2
2
TzConnect retweeted
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema linamsaka mwanamke anayedaiwa kuwatupa vichanga pacha wa jinsia ya kiume, wanaokadiriwa kuwa na umri wa miezi mitano hadi sita tangu kutungwa kwa mimba. Tukio hilo limetokea Oktoba 27, 2026, katika Mtaa wa Chamwenda, Kata ya Nyasaka, Wilaya ya Ilemela, baada ya polisi kupokea taarifa kutoka kwa wananchi kuhusu kuonekana kwa miili ya vichanga hivyo ikiwa imetupwa jalalani.
2
6
1,005
Pleased to have secured #Burundi’s participation in the upcoming Africa Trade Development Forum (ATDF) 2026 through my meeting with the Permanent Secretary at the Ministry of Foreign Affairs, Regional Integration and Development Cooperation @MAEBurundi . As the current Chair of the African Union, Burundi’s voice will be particularly valuable at the Forum, taking place 23–24 November in Addis Ababa under the theme Building Africa’s Exports Through Quality. Co-hosted by @TradeMarkAfrica & Ethiopia’s Ministry of Trade & Regional Integration, #ATDF brings together policymakers, private sector leaders and partners to advance practical reforms on standards, quality infrastructure and market access — critical for boosting intra-African and global trade. Looking forward to Burundi’s contribution to the discussions.
Replying to @MAEBurundi
Le Secrétaire permanent a remercié TradeMark Africa pour ses multiples appuis au Burundi et l’a encouragé à poursuivre ses interventions. Il a souligné que la digitalisation figure parmi les priorités du pays dans le cadre de la Vision du Burundi, pays émergent en 2040 et développé en 2060. Il a ainsi sollicité un appui accru dans ce domaine, sans négliger les autres secteurs, notamment les infrastructures physiques. Il a rappelé que le Burundi partage de nombreuses priorités avec TradeMark Africa et a appelé à redoubler d’efforts pour mobiliser les financements nécessaires à la réalisation des grands projets de développement du pays. À cet effet, il a sollicité l’appui de TradeMark Africa pour finaliser l’élaboration de la Stratégie Nationale d’Intégration Régionale, ainsi que pour accompagner le Burundi dans le processus du quatrième Examen de la politique commerciale. Pour sa part, le Représentant pays a annoncé la tenue d’un Forum africain sur le commerce en Éthiopie, du 23 au 24 novembre 2026, et plaidé pour une participation représentative du Burundi à cet événement. @NtareHouse @BurundiGov @nshingamateka @Burundi_senat @Edbiziman @sonitu6 @MBARUBUKEYESeve @Ntamagiro1 #trademarkafrica
2
2
161
📌 EXCLUSIVE | "Kuheshimu uhuru, mamlaka ya kitaifa, uadilifu wa mipaka na umoja ni jambo la msingi" - Rais wa Eritrea   "Haiwezekani kuunda mazingira mazuri kwa ajili ya ushirikiano wa kina isipokuwa kuheshimu misingi hii," Isaias Afwerki ameiambia Sputnik Afrika, akizungumzia kanuni zinazohitajika katika kujenga uhusiano na ushirikiano imara wa kimataifa.
📌 EXCLUSIVE | Urusi "inapaswa kuruhusiwa" kutoa mchango mkubwa katika kuleta mabadiliko barani Afrika – Rais wa Eritrea Juhudi za kuidhibiti Moscow, kuidhoofisha, kuiwekea vikwazo na kuitenga zinazidi kuwa kikwazo, Isaias Afwerki ameiambia Sputnik Afrika.
2
1
57
すき焼き
14
1
102
926
Wonderful news: Murera has given birth to a baby girl this morning! Her daughter entered the world bathed in the light of a near-full moon, perfect in every way. We’ve named her Mwezi, which means moon in Swahili. Murera chose to give birth in her stockade, the place that has been her nighttime sanctuary all these years. Her delivery couldn’t have been more seamless – in fact, by the time the Keepers heard the rumbles and rushed to her side, it was all over! Mother and baby are doing very well, while Mwana is already proving to be an excellent and attentive big sister. More to come, but we're filled with joy and wanted to share Mwezi’s first moments with you. (Word is already out amongst the elephants – this morning, every wild-living Umani orphan showed up to meet the newest member of their family!) Congratulations to our extraordinary Murera: sheldrickwildlifetrust.org/o…
78
339
34
2,504
18,842
TzConnect retweeted
Kufuatia madhara makubwa yaliyosababishwa na Kimbunga Sandy ambacho kilisababisha mafuriko katika eneo la #LowerManhattan na makao makuu ya Umoja wa Mataifa.Jiji la #NewYork limechukua hatua madhubuti za kukabiliana na hali ya kupanda kwa kina cha bahari na kuongezeka kwa dhoruba
3
21
𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗠𝗢𝗥𝗔𝗧𝗜𝗢𝗡 | 𝗥𝗲𝗺𝗲𝗺𝗯𝗲𝗿𝗶𝗻𝗴 𝟮𝟵 𝗢𝗰𝘁𝗼𝗯𝗲𝗿 𝟮𝟬𝟮𝟱 One year after the events of 29 October 2025, TMC, through the Internet Governance Tanzania Working Group (IGTWG), joins fellow civil society organisations in remembering those who lost their lives and standing in solidarity with survivors, affected families and all those still seeking answers. The joint public statement reflects on the past year and highlights the importance of truth, accountability, support for affected families, respect for human rights, and the protection of civil and digital rights. As we commemorate this day, we reaffirm the importance of justice, healing, national reconciliation and a collective commitment to protecting human dignity. 📄 Read the full public statement: bit.ly/29thOct_Statement #TMC #IGTWG #Commemoration #HumanRights #DigitalRights #Tanzania
1
7
7
103
TzConnect retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa kuangalia uwezekano wa kuingia ubia katika mradi wa Kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Lobito (Lobito Refinery) nchini Angola. Akizungumza leo, Oktoba 29, 2026, Ikulu ya Magogoni Jijini Dar es salaam, baada ya kufanya mazungumzo na Rais wa Angola, João Lourenço, Rais Samia amesema Tanzania imekaribishwa kushirikiana na Angola katika Sekta ya Mafuta, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya Mataifa hayo mawili. Rais Samia amesema kwa muda mrefu Angola imekuwa ikisafirisha mafuta ghafi nje ya Nchi, lakini tangu Rais Lourenço alipoingia madarakani, Serikali ya Angola imechukua hatua za kuanzisha viwanda vya kusafisha mafuta ndani ya Nchi hiyo. #MillardAyoUPDATES
1
2
4
729
"Chama cha ACT Wazalendo hakiwezi kwenda kwenye Maridhiano bila ukweli, haki na uwajibikaji." Naibu Waziri Mkuu wa @ACTwazalendo Luhaga Mpina #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
3
5
Ahead of #CHOGM26, ACU Secretary General and Chief Executive Professor Colin Riordan and King's Fellows Jack Yaro and Ana Tuiketei were honoured to meet His Majesty The King at St James's Palace. Follow us for updates from CHOGM throughout the week.
1
1
129
Pitch feeling ☑️ #NBCPremierLeague #NguvuMoja
2
4
65
2,314
TzConnect retweeted
#HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza uamuzi wa Tanzania kufungua tena ubalozi wake nchini Angola, hatua inayolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kuongeza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili. Rais Samia ameyasema hayo leo, Alhamisi, Oktoba 29, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza baada ya mazungumzo rasmi na Rais wa Jamhuri ya Angola, João Manuel Gonçalves Lourenço, aliyeko nchini kwa ziara ya kitaifa. Amesema amemuarifu Rais Lourenço kuhusu uamuzi huo na kwamba katika kipindi kijacho atateua balozi atakayesimamia shughuli za ubalozi na kuratibu ushirikiano wa karibu zaidi kati ya Tanzania na Angola. Rais Samia amebainisha kuwa uhusiano wa nchi hizo ulijengwa na viongozi waasisi, akiwemo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, na Rais wa kwanza wa Angola, Dkt. Agostinho Neto, wakati wa harakati za ukombozi wa Angola hadi ilipopata uhuru mwaka 1975. Amesema viongozi waliofuata wameendeleza uhusiano huo hadi sasa, huku akimpongeza Rais Lourenço kwa juhudi zake za kukuza ushirikiano kati ya mataifa hayo. Aidha, Rais Samia amesema ziara hiyo ni ya kwanza ya kitaifa kufanywa na Rais wa Angola nchini Tanzania kwa takribani miaka 47, tangu ziara ya Rais Agostinho Neto mwaka 1979. Ameeleza matumaini yake kuwa kufunguliwa tena kwa ubalozi kutaimarisha mawasiliano na uratibu wa masuala ya pamoja, pamoja na kuweka msingi imara wa utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa katika nyanja mbalimbali za ushirikiano. Hatua hiyo inatarajiwa kutoa msukumo mpya katika mahusiano ya kidiplomasia ya Tanzania na Angola na kuimarisha zaidi urafiki wa kihistoria uliodumu kwa miongo kadhaa. #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
1
2
270
TzConnect retweeted
💚🤍🐆
3
23
650