Ukiweza kuwa si kitu ni rahisi kuwa kila kitu ...
Na ukiweza kuwa kila kitu ,ni rahisi kujiunganisha na kila kitu...
Ili sio tukio la siku moja ,ni mchakato piah...
Kila jambo huenda hatua kwa hatua piah....
Kila hali inayotokea ni timilifu kwako...
Kila mahali ulipo tayari ni ukamilifu huo..
Kama ni tukio likitokea hapo ..
Ulikuwa mahali sahihi na wakati sahihi kabisa..
Mawimbi ya ulimwengu, huleta utimifu wa kila kitu kwa wakati mmoja...
Wewe utatazama kama bahati mbaya..
1
8
Vyote unavyovifanya viwe vibaya au vizuri hakuna unayemfanyia zaidi yako wewe mwenyewe...
Kama ni Sumu unapanda ni kwa ajili yako..
Na kama ni wema unapanda ni kwa ajili yako...
Hakuna kingine zaidi yako Mwenyewe.
Mtiririko wa matukio huendana na vile Ulivyo kwa wakati huo...
Nishati unayozalisha kuanzia kwenye fikra zako na kwenye tabia zako ndio huanza kutengeneza mawimbi hayo ambayo kwako huja kama matukio...
Badala ya kutazama tu matukio tazama kwanza ndani yako kukoje kwa wakati huo..
1
6
Unachokifikiria na kukiwaza huwa tayari kipo...
Hakuna kisichokuwepo mpaka ukifikirie..
Hata kama unakitazama katika ugumu wa aina gani...
Ulimwengu utakupa njia tu za kufanyia udhihirisho hicho kitu.
9
Ukweli kuhusu wewe unapaswa kuutafuta mwenyewe...
Kupitia uzoefu wako..
Na kupitia sehemu yako ambayo umechagua kuwa na kupata uzoefu huku kwenye maumbile...
Hakuna ambaye yupo kwa ajili ya kukutatafutia ukweli wako mwenyewe.
6
Free will ni kama mtego tu..
Kila unachochagua na kuwa tayari kipo..
Kila unachokitaka tayari kipo..
Kila unachodhani unakichagua..
Kuna kitu nyuma yake mpaka kuwa hivyo...
Ulimwengu wa kimaumbile umekaa kimtego sana...
11
Kuna UWEZEKANO mkubwa piah..
Vingi tunavyodhani tunaamua sio sisi tunaoamua ila tunatumikiaa na kutumika kwenye hayo mengi tunayoyafanya na kudhani sisi ndio Tumechagua kuwa hivyo....
13
CHUKULIA MFANO unaigiza lakin yule anayetazama kama unaigiza anahisi kama ndio uhalisia...
Nimekuja kugundua maisha haya ya kimaumbile yanaenda na kurudi tena...
Hakuna kitu kinachoitwa mwisho wa maisha...
Maisha ni Umilele...
Endelea kuishi tu..
1
10
Kuwa na taarifa nyingi sana sio vibaya..
Lakini kuwa na taarifa nyingi zisizo endana na namuna unavyotaka kuwa sio vyema...
Ukiweza kuwa na taarifa chache zinazoendana na wewe unavyotaka kuwa...
9
MAISHA yana pande mbili ..
Unaweza ukayaweka zaidi katika vita...
Au unaweza ukayaweka zaidi katika mfumo wa amani....
Chaguzi ni zako piah..
Kila upande una namuna ya kutengeneza utambulisho mpya kwako.
12
Usije KUSHITUKA siku shetani akawa Malaika...
Na Malaika akawa shetani...
DUNIA INA michezo mingi sana isiyo na idadi....
Divine Intelligence hufanya kazi kwako Kulingana na kiwango chako cha Ufahamu wako Ulivyo....
Anza kujenga ufahamu wako kupitia wewe mwenyewe na kupitia vitu na watu wengine...
Nafsi yako ndio silaha yako ya kwanza..
Na mwalimu wako wa kwanza...
Endelea kujenga huo uzoefu wako..
1
20
USIPOIJUA NAFASI YAKO KATIKA HII DUNIA NI RAHISI KUTUMIKA KATIKA MFUMO WA KUKUUMIZA ZAIDI KULIKO KUKUNUFAISHA ZAID .
12
