Wananchi Tv (@wananchitv) header
Wananchi Tv (@wananchitv) profile picture

๐“๐ฎ๐ง๐š๐ญ๐จ๐š ๐ญ๐š๐š๐ซ๐ข๐Ÿ๐š ๐ณ๐š ๐ค๐ข๐ญ๐š๐ข๐Ÿ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ข๐ฆ๐š๐ญ๐š๐ข๐Ÿ๐š ๐ค๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐’๐ข๐š๐ฌ๐š|๐๐ฎ๐ซ๐ฎ๐๐š๐ง๐ข|๐Œ๐ข๐œ๐ก๐ž๐ณ๐จ ๐Ÿ“ฐ TUFATILIE YOUTUBEโ–ถ๏ธ

Joined June 2019
Photo by Wananchi Tv (@wananchitv)Photo by Wananchi Tv (@wananchitv)Photo by Wananchi Tv (@wananchitv)Photo by Wananchi Tv (@wananchitv)Photo by Wananchi Tv (@wananchitv)Photo by Wananchi Tv (@wananchitv)Photo by Wananchi Tv (@wananchitv)Photo by Wananchi Tv (@wananchitv)Photo by Wananchi Tv (@wananchitv)Photo by Wananchi Tv (@wananchitv)
โ€œWale wanaochukua hatua za busara hapa nchini wasionekane ni waoga, Sisi si waoga, tupo groundโ€ Godbless Lema amewakumbusha wanaharakati wanaoishi nje ya nchi kupunguza kuwashambulia wanaopambana kwenye uwanja wa siasa hapa nchini.
1
2
319
Lema Ametolea mfano msiba wa baba mzazi wa mwanaharakati Maria Sarungi na kusema mwanaharakati huyo aliogopa kuja kuzika, lakini wao waliopo "ground" walienda kumsapoti.
27
Godbless Lema amewasha moto na kuwajibu wanaodai yeye anatumika kama "wakala" wa Mbowe kushinikiza maridhiano na kumhujumu Lissu. Amewashangaa wanaosambaza uvumi huo huku wakisahau kuwa Mbowe yupo kwenye kundi (Group) la uongozi.
1
1
327
"Tunavyoongea hivi sasa, Mwenyekiti Mbowe yuko kwenye group la WhatsApp la Kamati Kuu lenye miaka miwili. Ajenda yote wanaisoma na anaiona.โ€ Asema Lema mbele ya Wanahabari.
44
Nchi za Ulaya, Marekani na Asia zimeanza kampeni za kitaifa za kuwaomba wananchi watunze akiba ya dharura ya chakula na maji kuanzia siku 3 hadi siku 10, huku jeshi la Marekani limeelekezwa kujiandaa kujitegemea kwa siku 90.
1
1
1
249
Kwa mujibu wa ripoti hio na matukio ya liofuatana katika nchi hizi Marekani, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, EU, Norway, Finland, Ireland, Netherlands, Sweden, Japan, Canada, Mexico, Netherlands bila ya kutajwa kwa nchi yoyote barani Afrika, instagram.com/p/DfKzbLXGgZK/โ€ฆ
1
60
sababu kuu hajawekwa wazi katika taarifa hio ila inadhaniwa kuwa ni vita zinazoendelea (Iran, Ukraine, Mashariki ya Kati), mashambulizi ya kimtandao na mifumo ya umeme, mafuriko na kimbunga ikiwemo El Niรฑo.
28
Maswali matatu ya kufuatilia kuanzia kesho: Je, mgomo umeanza kweli Jumatatu? Je, magereza yatatekeleza amri ya mahakama kuhusu mikutano ya faragha? Je, afya ya Lissu itakuwaje na nani atatoa taarifa rasmi? Wananchi TV tutaendelea kukuletea taarifa.
42
BRITISH AIRWAYS KUREJEA TANZANIA, KUANZA SAFARI MEI 2027 wananchi.tv.tz/post/a8af7cddโ€ฆ
1
189
Kampuni ya ndege ya British Airways imetangaza kurejesha safari za moja kwa moja kati ya Uingereza na Tanzania kuanzia Mei 2027, hatua inayolenga kuongeza usafiri wa watalii na wasafiri wa kibiashara kati ya mataifa hayo.
15
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU AZUNGUMZA NA SPACEX NA STARLINK LONDON wananchi.tv.tz/post/d2955dc8โ€ฆ
1
2
1
108
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezungumza na wawakilishi wa Kampuni za SpaceX na Starlink kuhusu uwekezaji wa kampuni hizo nchini Tanzania katika sekta ya mawasiliano na teknolojia.
1
21
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Patrobas Katambi akizungumza na madereva Kituo cha Magufuli Dar amesema: "Kwa sababu tunahusisha wizara nyingi ni ngumu mimi kuwaambieni tarehe. Lakini haya mambo tunayashughulikia ndani ya siku 14."
1
189
Waziri Makonda ametoa kauli hiyo wakati akikutana na waandishi wa habari kujadili masuala mbalimbali yanayohusu habari, utamaduni, sanaa na michezo, pamoja na maandalizi ya matukio makubwa yanayotarajiwa kufanyika nchini, akijibu swali kuhusu jezi ya Taifa.
1
15
1,421
Waziri Makonda aonyesha kufedheheshea kwa msisitizo kuhusu namna anavyopaswa kuchukuliwa kama kiongozi mwenye dhamana alisema โ€œWanamfanya kama waziri sawa unaweza ikawa unamzarau au unaenda kukaa kwenye vikao vyenu uko mnamtukana mnafedhehesha, lakini huyu ni mteule wa Rais..."
33
Uzinduzi wa kihistoria wa Kituo cha Kufua Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) Agosti 22, 2026, Viongozi wa kitaifa wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, wameonekana wakiwa na nyuso za furaha na bashasha bwawani hapo.
1
198