Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Mwenda amesisitiza umuhimu wa kuimarisha udhibiti wa ukwepaji kodi ili kuhakikisha kunakuwa na ushindani wa haki katika soko na kulinda wafanyabiashara wanaotekeleza wajibu wao wa kulipa kodi kwa uaminifu na kwa hiari.
1
3
638
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Abdallah Ulega, amesema Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Awamu ya Pili ni hatua muhimu ya kuwawezesha wananchi kupata haki bila vikwazo vya kiuchumi, akisisitiza kuwa haki haipaswi kuwa fursa ya watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha pekee.
1
816
Ofisi ya Rais - Maendeleo ya Vijana imeanza kushuhudia matokeo ya uwezeshaji wa vijana kiuchumi kupitia Programu ya Shilingi Bilioni 200, baada ya kikundi cha Kitwima Youth Group kuvuna samaki waliozalisha mapato ya Shilingi Milioni 127.5 ndani ya miezi saba.
#WasafiDigital
2
606
Amsons Group, kampuni kubwa ya Kitanzania yenye uwekezaji katika sekta mbalimbali, imeingia makubaliano ya kuinunua kampuni ya Oryx Energies Tanzania, hatua inayoiweka kampuni hiyo katika nafasi ya kupanua ushawishi wake sekta ya nishati.
Soma Zaidi👇👇 instagram.com/p/DejqhY-DTIG/…
1
1
570
FT: YANGA 3-1 NAMUNGO
⚽️ Duke
⚽️⚽️Okello
⚽️ Kabunda
#WasafiSports
58’ YANGA 2-1 NAMUNGO
⚽️ Duke
⚽️ Okello
⚽️ Kabunda
#WasafiSports
Bodi ya Wakurugenzi ya TRA ikiongozwa na M/Kiti wake Uledi Abbas Mussa na menejimenti ya TRA ikiongozwa na Kamishna Mkuu Bw. Yusuph Mwenda imefanya ziara mkoani Mbeya na kutembelea mpaka wa Kasumulu ambako shughuli za Forodha zinaendelea kama kawaida
👇👇
facebook.com/share/p/1CVNne8…
MECHI ZA LIGI KUU KWA KMC
USHINDI - MECHI 2
SARE - MECHI 3
KUFUNGWA - 19
MAGOLI YA KUFUNGA -13
MAGOLI YA KUFUNGWA - 40
HAWA SASA NDIO WAGAWA UTAMU HALISI
#WasafiSports
Baada ya miaka 22, klabu ya Arsenal chini ya Kocha, Mikel Arteta imetwaa Kombe la Ligi Kuu ya EPL katika msimu wa 2025/26.
Mara ya mwisho Arsenal kutwaa ubingwa wa Premier League ilikuwa msimu wa 2003/2004 chini ya kocha nguli Arsène Wenger.
#WasafiSports
Mwanasoka wa zamani, David Beckham ameandika historia mpya baada ya kuongoza orodha ya wanasoka matajiri zaidi duniani kufuatia orodha ya wanasoka matajiri duniani kwa mwaka 2026 iliyotolewa na The Times Rich List.
instagram.com/p/DYeumJ0jJqS/…
114
3,208
Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Kati ya Azam FC
dhidi ya Yanga Sc, utapigwa jijini Mwanza kwenye uwanja wa Kirumba.
#WasafiSports
Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Kati ya Coastal Union
dhidi ya Simba, utapigwa jijini Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
#WasafiSports
Kocha mwenye uzoefu mkubwa wa Soka duniani, José Mourinho, anatarajiwa kurejea tena kuinoa Real Madrid baada ya pande zote mbili kufikia makubaliano ya awali kuhusu mkataba mpya.
Taarifa zinaeleza kuwa Mourinho na Real Madrid tayari… instagram.com/p/DYeZBxPsMHc/…
Kiungo wa Atlético Madrid, Antoine Griezmann ameomba msamaha kwa mashabiki wa klabu hiyo kutokana na uamuzi wake wa zamani wa kujiunga na Barcelona, akieleza kuwa alikuwa kijana na hakuelewa thamani ya upendo aliokuwa akipewa na Atlético Madrid.
instagram.com/p/DYeRD35M-Of/…


















