
Husband | Father | Friend | Writer | Mentor | Co-Founder @nlabinnovationacademy , Co-Founder @appsandgirls, Co-Founder @niwezesheonline
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2013
- Tweets1.5K
- Following1.2K
- Followers894
- Likes1.2K
Pinned Tweet
“Maisha Yakikufanyia mtima nyongo kiasi yakawa machungu kama Ndimu basi igeuze ndimu kuwa kinywaji ili wanao pambana na afya zao katika kupunguza miili waweze inunua na kuinywa. Utanishukuru Baadae!”
Leo Tuzungumzie Uthubutu.
#UZI Mrefu...👇
Shukrani kwa Historia Hii. Sikuwa nikiifahamu na ni muda sasa haya yapaswa kufundishwa mashuleni au yahifadhiwe vyema na vizazi vyetu viweze kuyapata kwa urahisi. Sio ishu za chawa kupewa madaraka na 30yrs to come tunakuja onekana tulikuwa wa
ajabu kushinda ajabu yenyewe.
MJUE SHUJAA SHEKILANGO MWENYEWE MWENYE JINA LA BARABARA YA SHEKILANGO, NA NAMNA ALIVYOPOTEZA MAISHA:
Jijini Dar es salaam kuna Barabara Mashuhuri kama "Shekilango Road", ikianzia maungio ya Barabara ya Morogoro eneo la Nyumba za NHC mkabala na Kiwanda cha Urafiki,..
.
.
2
108
#misemoyakwenyedaladala Ondoka usemwe😁😁😁😁 – at Dar es Salaam, Tanzania
51
Replying to @kikovikojunior_
@kikovikojunior_ Habari bandugu. Naomba tuwasiliane Mkuu. Najua hapa ni easy kuliko inbox kwa Wasiliano la Kwanza🙏. – at Dar es Salaam, Tanzania
Ngariba haogopi mkojo. 🤣🤣🤣🤣 #misemoyakwenyedaladala – at Dar es Salaam, Tanzania
2
49
#Misemoyakwenyedaladala Lawama sio Mzigo🙂 – at Dar es Salaam, Tanzania
1
We need to review and rewrite our TVET Curiculumn to make it 4IR relevant and aligned to the demands of industry. #alfiehamid , #cisco, #Sifa, #AfricanUnion – at Tunisia
5
To achieve the concept of making #TVET appealing, it is necessary to look at who does the TVET aim at in terms of gender and age. – at Tunisia
2
"Tafuta hela, UKWENI hakuhitaji elimu"
#Misemoyakwenyedaladala #Daladala
5
"Mchana Nzi, Usiku Mbu" #MisemoyakwenyeDaladala Hawa jamaa sijui wanawazaga nini😆
3
Huyu jamaa sijui alikuwa anawaza nini. Allye piga Chorus alisimama Vyema. youtu.be/cJDPqab3nuo
#backintheday
1
Umemkosea sana Mkuu. Nikweli hii inafanyika hasa Boarding. Mfano binafsi niliifanya wakati nipo O'Leval umepigika na msosi mboga haikueleweka usiku unaugali basi unapiga na Dawa ya Mswaki.
Dogo Underground Kani-DM Anaomba Support Akanitumia Ngoma Yake (Demo).NimePlay Kuisikiliza Line Ya Kwanza Tu Anasema
🎶MAISHA MAGUMU TUNAKULA UGALI NA DAWA YA MSWAKI🎶
Nimezima Nimemwambia Asinitafute Tena, Sipendi Uwongo Uwongo Mimi!
Khaaa!
Ugali & Dawa Ya Mswaki Jamani?
1
3
Mzee baba umeupiga Mwingi hakika. Wengi watanufaika na hii tweet. 👊Kudos kwako!
Replying to @nftsknowledge
shughuli zake kupitia kampuni Asante.
save the tweet in case you will need to level up.
🙏🙏🙏🙏
2
Hivi ili Mtu apewe Dhamana ya kuwa msimamizi wa Wizara fulani, Mfano Wizara ya Elimu kipi haswa huzingatiwa? Natamani kuwa WAZIRI wa Elimu, au Makamu, Au waziri KIVULI , au Waziri tu wa kuwa karibu na Waziri wa Elimu, namaanisha nimuwakilishage sehemu nyingine...asiende yeye😉...
1
2
Nalikumbuka hili tukio. Nilishtuka nilipo ona Wizara inamtakia Binti fulani heri ya Siku ya Kuzaliwa😀. Tena ikaweka maneno Muruwaaaaaaa! Somo: Social media ni department ndani ya Marketing depertment, iwe na vitendea kazi vya kujitegemea.
Simu Fifi ni Missed Call.... Waaaaaaa😄#Kiswahili Raha sana. Asanteni #BAKITA leo nimepata Somo Mwanana.
Natena Badala ya kusema "Nitakutoa Out" tunatakiwa sema "Nitakutoa Mandari" 🙂 #Kiswahili #LughaFasaha









