Barca hii nikikutana nao knockout stage mbeleni huko uhakika wa next round ni 90%
Binafsi naona Atletico hawana wachezaji kisifa ambao wanaweza kuwapa tabu Barca defensively mara kwa mara .
Yes wanaweza kushinda mechi here and there but kuwapa tabu sana mara kwa mara am not sure
Dhidi ya Barca naamini kuna tools kuwa nazo ni non negotiable
โ Wachezaji wa pembeni ( kiuhalisia ni wa pembeni kweli sio wa kulazimisha ) wenye ubora sahihi โ . Why hii ?
1: Siamini kama Fullbacks wa Barca ni competent sana kwenye 1v1s
2: Kuwa na wide players maana yake una stretch Barca backline sana kiasi kwamba inakuwa ngumu kwao wao kuwa na effective highline
COMPETENT WIDE PLAYERS
If there are cases of abuse or violence against women in Zanzibar, they deserve to be condemned, and those responsible must be held accountable. However, using isolated incidents to discredit an entire destination and scare women away is unfair and irresponsible.
Replying to @JackieLumbasi
You could get raped in the streets and no one will bat an eye! Even in your hotel rooms you are not safe, because room service could turn into something dangerous ๐ฅน
๐ธ๐๐๐๐๐ ๐๐ retweeted
So next season Manchester United go de play Queen park rangers , Bolton, Swansea , Plymouth For Championship ๐๐ And Dstv No De Show Championship ๐ฅฒ
Nyumbu wanataka Carrick atembezewe vimemo babu Fega๐๐
Mtachanganyikiwa sana
๐ธ๐๐๐๐๐ ๐๐ retweeted
Wanakamati Wenzangu Wa Roho Mbay Mnasemaje Leo,Tuwafunge Au Tuwaache..?
NB;Huruma Sio Malezi
๐ธ๐๐๐๐๐ ๐๐ retweeted
Mtu umefeli Law School utatuambia nini juu ya analysis ya sheria? Rudi shule kwanza chawa wewe!!!
VIDEO:
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo.
โBado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria. Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzoโ, ameeleza Balile.
Game ya Bodo imesimama Kwa muda baada ya maafa kutokea uwanjani
โฝ๏ธ๐ณ๐ดEliteserien 2026,
Matchweek 26 of 30
TROMSร IL ๐ดโช๏ธ
FK BODร/GLIMT ๐กโซ๏ธ
The away stand collapse that brought to match suspension.
#Tromsรธ #Bodรธ #Eliteserien #Norway #Football
Hii game wazee nasikia imesimamishwa baada ya upande mmoja wa uwanja jukwaa kuwaangukia mashabiki. Tuwaombee wenzetu ila pole Kwa wakamalia maana muhindi kwake dakika zinaendelea kama kawa๐
๐ธ๐๐๐๐๐ ๐๐ retweeted
I just realized that huwa napata loyalty from strangers than from people I know.
๐ธ๐๐๐๐๐ ๐๐ retweeted
Back in high school kama si hawa vijana wa Nairobi singejua kama kuna watu kama offset, juice world, Konshens, Drake etc ๐

























