Dada Afya๐๐ retweeted
#Tanzania: UN experts concerned that 1-year after post-election violence, victims still await publication of findings from Commission of Inquiry. โWe condemn patterns of repression against civil society organisations, journalists & #humanrights defenders.โ
ohchr.org/en/press-releases/โฆ
Dada Afya๐๐ retweeted
Kabla ya #MO29 walionya TEC kuhusu kupuuza sauti ya UMMA yakatokea yaliyotokea.
Na sasa TEC inatoa onyo tena kwa wakoloni weusi bila shaka watapuuzwa tena.
#Mo29
#TukutaneParokiani
Dada Afya๐๐ retweeted
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzaniaโs October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
Dada Afya๐๐ retweeted
Itโs heartbreaking that theyโre still unwilling to have this conversation, still refusing to confront the truth and acknowledge that what they did was nothing short of inhuman๐๐๐
Dada Afya๐๐ retweeted
Leo umetimia mwaka mmoja tangu mauaji yaliyofanywa kwa makusudi na vyombo vya dola vya Tanzania dhidi ya Watanzania wasio na hatia.
Mauaji ya October 2025 yalikua yanaweza kuepukika na uchaguzi ukafanyika kwa amani na usalama.
Kwasababu ya kiburi na uchu wa madaraka watawala waliamua kupuuza wito wa mda mrefu wa viongozi wa dini, vyama vya siasa, mashirika yasiyo ya kiserikali na hata watu maarufu ya kutaka mabadiliko ya katiba na sheria za uchaguzi ili kuwezesha uchaguzi huru na haki.
Mpaka sasa mwaka mmoja baadae Nchi iko kwenye mkwamo mkubwa wa kisiasa, watu wanaendelea kutekwa, kuuawawa na kupotezwa.
Kila anaetoa sauti ya kukemea uovu na kutaka maridhiano na uwajibikaji wa kweli anakabiliwa na kifo au mashitaka ya uongo.
Inaonekana hawa watawala wameshindwa kujifunza kwa yale mabaya yaliyotokea, Inaonekana wanafurahia kuendeleza utawala wa mkono wa chuma, udikteta na ubabe, mauaji, utekaji na kunyamazisha badala ya kushawishi na kutatua matatizo.
Kwa kutumia njia hizi mbele ni giza tupu, hakuna sehemu ambayo utawala wa kibabe Umefanikiwa kunyamazisha watu wote, Nchi hii ina watu zaidi ya milioni 70, hakuna siku watu wote hawa watanyamazishwa kwa uongo na kikundi kidogo cha watu kwa kutumia ubabe.
Njia pekee ya kutatua mkwamo huu ni.
1. Kumuachia Mwenyekiti Lissu na kufuta kesi za uongo dhidi ya wanachama wetu wote.
2. Kuachia mateka wote na kusitisha utekaji na mauaji ya kiholela.
3. Kuruhusu msuluhishi huru (mediator) kuleta watu pamoja na kuzungumza kwa ukweli na uwazi.
4.Uwajibikaji bila upendeleo kwa wahusika wa mauaji, kulipa fidia familia za wahanga, kutibu majeruhi wote na kuwapa fidia.
5. Kuruhusu Uchunguzi huru na kuomba radhi mbele ya Watanzania kwa makosa makubwa yaliyofanywa na vyombo vya dola dhidi ya raia wake.
6. Kuandika katiba mpya ya Nchi na sheria za uchaguzi ambazo zitarudisha umoja na haki kwa kila mtu.
7. Kutamka kwa uwazi kwamba makosa kama yale hayatajirudia tena kwenye Nchi yetu.
8. Kuhakikisha familia zinapata miili ya wapendwa wao na kufanya maziko ya heshima, kiafrika na kidini.
Kuendelea kutumia ubabe ni kuchochea chuki, uhasama na visasi kwa siku zinajazoโฆ
Watawala badala ya kutumia chawa na ubabe kujaribu kuhujumu Chadema na uongozi wa Chadema, Tumia busara kufanya jambo sahihi la kuponya Nchi hii.
Tunajua mipango yenu dhidi yetu, lakini haki haijawahi kushindwa.
Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliouwawa kikatili na kibabe, poleni majeruhi na wahanga wote.
Haki inaweza kuchelewa Lakini haki itapatikana tu.
Dada Afya๐๐ retweeted
Leo ni mwaka mmoja toka Watanzania zaidi ya elfu 10 wauawe kinyama na serikali haram ya CCM chini ya Samia Suluhu
Hotuba ya dada wa taifaโฆโฆ.
Dada Afya๐๐ retweeted
Kweli Mungu baba unaruhusu waliofanya hili wanaendesha ma Rolls Royce na bado wako madarakani???
Mungu tuone Watanzania. Tupe nguvu ya kupambana na hawa waliofanya hilo.
Video ya kwanza, hao Ma Gen Z walikuwa wanacheza pool table , Samia akaenda kuwapiga risasi za vichwaZ
Dada Afya๐๐ retweeted
Hili ndio kanisa la kusali na kutoa sadaka ya KUJIMALIZA.
Haya mahubiri huwezi kuyasikia akihubiri kibaka kama MWAMPOSA.
Leo nchi nzima tunasali kuwaombea wapendwa wetu #Mo29
#TukutaneParokiani
Repost 200
Dada Afya๐๐ retweeted
WHERE IS TWAHA??? FREE TWAHA!!
Watanzania tuna kila sababu ya kupambana ili kukomesha huu uongozi haram uliotuua kisha wakaiba uchaguzi siku ta October 29 2025โฆ.
Dada Afya๐๐ retweeted
Asanteni sana ndugu zetu wakenya hamjalala bado mpo na sisi mpaka tumpate ndugu yetu MWAIPAYA.
Uzuri KENYA mahakama ni huru kwahiyo tunategemea majibu mazuri.
#FreeTwahaMwaipaya
Dada Afya๐๐ retweeted
Lissu: MWAMBIE LEMA AACHE HIZOโฆโฆโฆ
Lissu: Huyu jamaa mbona nywele ziko safi,, hajaelewa somo????
Ni mara kadhaa Lissu anasema neno juu ya Lema though kwa matani ila message sent.
Kuna watu bado wako in denial kuhusu Lema. Mtastuka keshafanya damage kubwa mnooo.
Kampeni aliyofanya ndani ya kamati kuu ili Lissu awe mwenyekiti ndio kampeni anayofanya sasa hivi ili Heche aondelewe na Mbowe arudishwe. MARK MY WORDS ON THIS.
WATANZANIA MNANIJUA SIWEZI KUMKALIA KOONI MTU KIASI HIKI BILA KUWA NA UHAKIKA NA NINACHOKISEMAโฆโฆ.
Jiulizeni mimi nna nini cha kufaidika nacho kwa kusema haya juu ya Lema?
Mam
Kwenye siasa hakuna usaliti wa kishetani kama huu wa Godbless Lema.
Mara 100 wale wanaosaliti kwa kuhamia CCM kuliko hawa wanaobaki ndani ya chama na kufanya kazi za Abdul na mama yake wakiwa ndani ya chama.
Nawaambia hivi Lema na Mbowe now ni mabesti kuliko mnavyoweza hata kufikiria.
Lema is sabotaging Chadema more than you know.
Kinachoniuma kati ya vyote ni jinsi anavyotumia jina la Lissu kufanya usaliti wake.
Mimi sio mwanaharakati pekee ninaejua hili au ninaesumbuliwa na hili. Wapo wengine ila wanaona kama vile kuongea kutafanya more damage than kutibu ila mimi nawaambia kuwa kumkalia Lema kimya is more damaging than kuongea.
Dada Afya๐๐ retweeted
Leo natamani hata kufanya video 10 kuwashukuru Watanzania jinsi wamejua kuiheshimisha movementโฆ.
Yani ukiondoa zile bodaboda za kulipia na zile gari za kina Bashite yawezekana siku ya leo @HecheJohn alikuwa na nyomi kubwa zaidi kule Moshi Mjini kuliko event iliyofadhiliwa na serikali haram, mabilioni ya pesa kumwagwa na ma influencer haram wa instagram kubeba shughuli.
Pumbav walidhani kujaziana mi comment ya maboti wa CCM kwenye social media ni influence ya ukweliโฆโฆ Watu wanataka haki bwanaโฆ..
Leo naingia kulala moyo mweupeeeeeeโฆ.. Nikiamka tunaendelea na mapambano but for now lets celebrate serikali haram na ma influencer haram kushindwa kupunguza nguvu ya wananchi kudai haki.
Dada Afya๐๐ retweeted
Kama baada ya serikali haram kuwekeza mabilioni ya fedha na kushirikiana na ma influencer wa instagram wameshindwa kukusanya hata Watanzania elfu 5 siku ya leo basi naomba niseme hivi,
HONGERENI WATANZANIA, LEO MMETUTIA MOYOโฆ..
Dada Afya๐๐ retweeted
Nilikuwa nasema mbona sioni VIDEO ZA DRONE za mlebanon akiwa kwenye KIFUMBWA๐๐๐
Watanzania mmejua kupuuzia tukio la MASHOGA aisee. Nimewakubali๐ค
Video kama hizi CHAWA WANAPITA KAMA WANAAGA MAITI.๐๐๐
REPOST 200
Dada Afya๐๐ retweeted
3 Brighton players accupy that space between the lines ( Gross, Ayari & Koustalas ) wachezaji wawili wa pembeni ndio wana jukumu la kufanya runs in behind ( Cyuper & Gomez )
Hiyo ndio ilitengeneza indecisions kubwa sana kwa Konsa na Gabriel ( step up to close space mbele yao and drop off incase mpira umepita pembeni kuzuia cutbacks )
Brighton walikuwa na shots nyingi kutokea ile space katikati ya midfield na defense ya Arsenal
Kitu Brighton leo walipatia 100% ni kucheza kwa personality , bila uoga katika sura zote mbili ( in and out of possession )
1: In possession : Pass the ball well , rotations , play it vertical . Keep it kama pass haipo ON
2: Out of possession : Press high man to man , mstari wa nyuma unasogea juu sana ku support press , kuwanyima Arsenal access ndani ya defensive block yao .
Dada Afya๐๐ retweeted
Yeye binafsi yuko upande wa wale wanaoomba na watakaoshangilia nikipatikana na hatia. Pia IGP na CDF ambao wako safarini hata wakirudi hawawezi kuwa mashaidi wangu kwani nao wanaombea nipatwe na hatia washangilieโ
Haya ni maneno ya DCI Kingai kwa mujibu wa Mwenyekiti Tundu Lissu.
Kwamba atashangilia sana Mwenyekiti akipatwa na hatia.
















