Bank za Tanzania unatuma hela, haifiki inapokwenda wanasema kuna tatizo, inachukua wiki nzima kuirudisha wanasema wameirudisha kwenye akaunti huioni alafu kuwapata hawapatikani kirahisi, hujakaa sawa miezi mitatu imepita. Bado sana, bado sana, malipo Tz bado sana, ni ovyo mno.
8
AGI is far away, I ask Fable 5.2 if it recycles views in the lists, if it used native views, it lied multiple times. I open the damn code, not a single view is recycled the list is slow af, custom textviews, I ask again why "Sorry you are correct" WTF? Neon rewrote 15 screens.
2
27
Siwezi shauri mtu yeyote serious atumie @ClickPesa kabisa. Hawa jamaa hawapo serious hawajui wanachokifanya.
Kuna kuvumilia mistakes ndogo ndogo, ila kuna ujinga mwingine as a payment provider hutakiwi kuufanya kabisa. What a disappointment.
1
1
84
