Kuringe (@1kuringe) header
Kuringe (@1kuringe) profile picture

official ambassador MIKUMI HOLIDAY SAFARI @simbasctanzania Fan/Man u

Joined October 2016
Photo by Kuringe (@1kuringe)Photo by Kuringe (@1kuringe)Photo by Kuringe (@1kuringe)Photo by Kuringe (@1kuringe)Photo by Kuringe (@1kuringe)Photo by Kuringe (@1kuringe)Photo by Kuringe (@1kuringe)Photo by Kuringe (@1kuringe)Photo by Kuringe (@1kuringe)Photo by Kuringe (@1kuringe)
"Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. katika homilia aliyoitoa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya Kuombea Waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, Misa iliyoadhimishwa Jumatatu Novemba 10,2025 katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam. REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵😎
22
236
2
863
19,744
Unaua Watanzania wenzako, ambao hawakuwa na silaha yoyote ile ispokuwa silaha yao ni Bendera ya Tanzania, kisa ni madaraka. Mbaya zaidi unasema siyo Watanzania, bali walikuwa waandamanaji kutoka nje. Like seriously?
21
197
4
672
19,133
BARACK ‼️
69
1,421
63
4,398
142,517
RETWEET if you stand with Tanzanian Gen Zs against Oppression and Impunity ✊🏽🇹🇿
27
1,811
10
4,009
70,415
Free Humphrey Polepole Free him now Repost 360
30
637
1
1,683
39,273
If today a former ambassador, a diplomat can be abducted by the State then we have a FAILED STATE! Polepole is well known in cirlcles of power and internationally as a sober diplomat! He has committed no crime - all he did was criticize @SuluhuSamia Her response has been #EnforcedDisappearance Tell Samia Suluhu to #FreeHumphreyPolepole immediately!
12
294
6
738
32,817
We RT tu
95
3,890
26
6,474
160,273
INEC @TumeUchaguziTZ mnaweza kueleza umma ni kwanini barua hii ya tarehe 29 Disemba 2024 hamjawahi kuijibu wala kuifanyia kazi? #NoReformsNoElection
182
750
31
2,628
86,874
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
2,509
2,843
490
13,748
812,018
Repost bila sababu.❤️😭
95
1,775
28
7,572
266,665
‼️WATAMBUENI NA WASHUKURUNI WANANCHI MASHUJAA WALIOOKOA WAHANGA👊🏽 @TZWaziriMkuu @KassimMajaliwa_ mnatakiwa kuwatambua na kuwashukuru hawa wananchi waliojitoa hali na mali kutoa wahanga kutoka maporomoko huko Kariakoo kwa vifaa vya kawaida na mikono yao si kushukuru vikosi tu ambavyo vilichelewa kufika! Give credit where credit is due 🙌🏽 #TutaelewanaTu
80
156
5
997
83,616
📍VIDEO: "Wananchi wameshuhudia jinsi zoezi zima la uandikishaji wa daftari la mkaazi lilivyoendeshwa hovyo pamoja na kutokutolewa kwa vitambulisho vya wapiga kura, na upendeleo wa wazi na usio wa kificho uliofanywa na watendaji/ wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua kwa wingi wagombea wa vyama vya upinzani nchini" Askofu Wolfgang Pisa. Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC )
25
153
10
493
32,232
Kuringe retweeted
Wanapomwambia watamrudia walimaanisha Watarudi kuchukua Pingu yao ama watarudi kumuuua? 🤔 @tanpol
52
151
6
899
59,648
CALLING feat The king Himself @officialalikiba Official Video Produced by @binladen_255 of Tongwe Records Directed by @kwetustudios Imetoka rasmi YouTube link 👉youtu.be/UlnGgLfBlZE
23
157
2
996
22,292
#TANZANIA: JAJI MSTAAFU AMVAA KAMANDA MULIRO KWA KUZUIA MAANDAMANO YA CHADEMA NA KUTISHA WATU KILA KONA Jaji mstaafu Makaramba amvaa Kamanda Muliro kwa kuzuia maandamano ya @ChademaTz kwa kile alichodai kuwa kuna viashiria vya uvunjifu wa amani, ampa darasa la kisheria, Jaji adai Jeshi la Polisi lilitanda kila kona na magari ya washa washa ili ila anayetaka kuandamana aogope. Zaidi: youtu.be/kyPjs32aL8E
85
413
26
1,319
84,244
Leo kila mtu tuchukue sekunde 5 tu kumombea huyu kaka na wenzake popote walipo 🙏
43
123
1
1,069
38,505
Kuringe retweeted
VIDEO: Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba ameonesha kutofurahishwa na namna viongozi wa ngazi mbalimbali hususani Wakuu wa mikoa na wilaya ambao kimsingi wanapaswa kuwa vinara wa usimamizi wa sheria, lakini wengi wao wanakuwa kipaumbele kwenye uvunjifu wa sheri Amesema miongoni wa masuala yanayoakisi uvunjifu wa utawala wa sheria ni pale unapoona au kusikia kwamba Jeshi la Polisi limemkamata mtu/watu kabla ya kufanya upelelezi au kwa maagizo tu ya Mkuu wa mkoa au wilaya
9
133
7
491
19,403
Repost bila sababu wahusika ndo watajua sababu ya wewe ku repost. Muda unaenda na hatumuoni mwanetu.
8
815
5
1,969
47,907