Nilimuuliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, “Ni hatua zipi Serikali inachukua katika kuangalia ustawi wa mtoto aliyezaliwa na mtoto chini ya miaka 18 au mwanafunzi baada ya kumfunga miaka 30 jela Baba yake kwa kosa la kumpa ujauzito?”
#OneonOneWasafiTV
Mahojiano na Katani Ahmed Katani, Aliyewania Ubunge kupitia CUF 2010, na kisha kushinda ubunge kupitia CUF (2015-2020), na baadae kushinda kupitia CCM (2020 - 2025). youtu.be/WNLGnasnQ0Y?si=XAnC…
7
351
youtu.be/WNLGnasnQ0Y?si=XAnC… Mbunge wa Tandahimba anayemaliza muda wake, Katani Ahmed Katani kwenye One on One ya Wasafi TV
4
26
795
Kwenye One On One wiki hii nilikua na Katani Ahmed Katani, Mbunge wa Tandahimba 2015 - 2025. Mahojiano kamili👇 youtu.be/WNLGnasnQ0Y?si=XAnC…
4
171
Mahojiano ya One on One na Wakili Peter Madeleka kupitia @wasafitv
youtu.be/qLo_8GEpVSk?si=7Hst…
Jumatatu ya tarehe 23 Juni 2025 nitakua na Wakili @PMadeleka katika One on One ya Wasafi TV kuanzia saa moja kamili usiku. Usikose!!
Kipindi ni One on One with @2CharlesWilliam kila Jumatatu, saa moja usiku @wasafitv
Nilipofanya mahojiano na Mhe. Waziri Jerry Silaa katika kipindi cha One on One @wasafitv
Sasa Mzee wangu Hashim Rungwe ataenda kuongeza idadi ya wagombea katika uchaguzi. Hali ilikua ngumu sana kwake kama alivyonieleza katika mahojiano ya One on One kupitia @wasafitv
Nilipozungumza na Mzee Hashim Rungwe kwenye One on One @wasafitv
Kanuni kuu ya kuwa MUONGO MAHIRI ni KUTOKUA MSAHAULIFU. Kwa lugha nyingine; unakua muongo mpaka wewe mwenyewe unauamini huo uongo kuwa ndio ukweli. Lakini wakati unafanya hivyo, kumbuka Amri Kuu za Mungu, amri ya 9 ni “Usiseme Uongo”.
Nimezungumza mambo mengi na Sheikh Ponda Issa Ponda kupitia One on One with @2CharlesWilliam, unaweza kutazama mahojiano kamili hapa
youtu.be/aOxPVRLXWIA?si=mOVl…
Mahojiano ya One on One na Sheikh Ponda Issa Ponda niliyofanya wiki hii:
youtu.be/aOxPVRLXWIA?si=mOVl…
Nilipozungumza na Mbunge wa zamani wa Nkasi Kaskazini Ally Mohamed Keissy kupitia One on One with @2CharlesWilliam
7
389
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Aretas Lyimo alipozungumza nami kupitia One on One with @2CharlesWilliam
