Peter Madeleka (@PMadeleka) profile picture

Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers

Tabora, Tanzania
Joined April 2021
Umeelewa enhee? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
1
13
650
HONGERA AFANDE MULIRO KWA KUSEMA UKWELI ๐Ÿ‘‡: Halafu anaibuka mtu mwingine na kusema; โ€œDAR ES SALAAM KUNA UHAINIโ€. Tuwakatae WAZUSHI. Msema KWELI ni MPENZI wa MUNGU.
1
3
43
1,612
HAKI YA TUNDU LISSU KUSIKILIZWA KIKAMILIFU: Kwa kuwa MAHAKAMA KUU YA TANZANIA tayari imetamka kwamba; ilikuwa ni MAKOSA kwa Magereza KUMNYIMA Tundu Lissu, HAKI YA FARAGHA NA MAWAKILI WAKE, maana yake ni kwamba; HAKUSIKILIZWA KIKAMILIFU. Yote yajayo yatakuwa ni BATILI.
17
72
1
352
7,833
KUHUSU KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI: Ndiyo kama kama mlivyosikia; SIYO RIZIKI ๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
4
13
55
3,703
I SUBSCRIBE to that ๐Ÿ‘‡
11
959
Sikiliza kuhusu KATIBA ๐Ÿ‘‡
32
86
3
356
13,459
MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MO29 ๐Ÿ‘‡
11
74
2
319
11,705
MAADHIMISHO YA MO29 ๐Ÿ‘‡
16
77
384
8,097
NAKWENDA KUJIPIGIA TENA: Nitatumia Kesi ya: PETER MICHAEL MADELEKA vs. REPUBLIC [2024] TZCA 356 (14 MAY 2024) kujipigia hao jamaa. Maana, HAWAJUI kwamba mimi ndiye BINGWA wa โ€œCRIMINAL REVISIONโ€.๐Ÿ˜‚
9
34
161
5,169
Siku nikichafukwa nitawataja MCHICHA MWIBA wote ambao wana VISEBENGO vya KUBEZA mapambano ya kudai HAKI. Hivi kwa nini wanaume wanakuwa na MAMBO YA KISICHANA?
25
66
612
19,816
Unawezaje KUSIMAMISHWA UWAKILI KWA MIEZI 6 halafu UKAUFYATA MKIA huku unatuma watu wsko WASIOJUA KUPIGA MSWAKI waje WABEZE Rekodi yangu iliyotukuka ya KUIBONDA Kamati ya MAADILI? Acheni CHUKI ZENU ZA KISICHANA.
1
23
175
5,048
BREAKING NEWS: MAHAKAMA YA RUFANI YAIONDOA RUFAA YA KAMATI YA MAADILI DHIDI YA MADELEKA Leo tarehe 27 Oktoba 2026 Mahakama ya Rufani ya Tanzania IMEONDOA Rufaa ya KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI dhidi ya PETER MADELEKA baada ya Rufaa hiyo KUFUNGULIWA NJE YA MUDA.
29
46
1
348
10,581
HAKUNA KUITA POLISI MAHAKAMANI: Leo SITARAJII kuona jamaa WAKIITA POLISI ili WANIKAMATE nikiwa MAHAKAMANI. Maana, jamaa ndiyo zao, NIKIWASHINDA TU MAHAKAMANI, wanakimbilia KUITA POLISI.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
5
35
190
11,558
SHULE YA MAADILI BILA ADA: Leo tarehe 27 Oktoba 2026 nitakuwa Mahakama ya Rufani ya Tanzania-Dar es Salaam, nikitoa SHULE YA MAADILI BILA ADA, kwa WOTE WASIOJUA SHERIA. Chakula na Vinywaji vitatolewa BURE kama KAWAIDA. Wahi SITI yako MAPEMA.๐Ÿ‘‡
1
18
102
2,854
HONGERA RAIS: Tanzania tuna kila sababu ya KUJIVUNIA kwa kuwa nchi yenye UTAWALA WA SHERIA chini ya UONGOZI MADHUBUTI wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN. Mambo ya UTEKAJI na MAUAJI ni PROPAGANDA ZA MABEBERU.๐Ÿ‘‡
39
20
3
133
13,067
ILA MSIGWA๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Watu wakidhani EL NINO ni MVUA. Imekula kwao. EL NINO ni JUA KALI.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
12
11
1
123
6,302
HAKI KWA TWAHA MWAIPAYA: Hakuna sababu yoyote ile inayoweza KUHALALISHA KUTEKWA kwa Twaha Mwaipaya. Mamlaka za KENYA zinawajibika KUELEZA alipo na KUHAKIKISHA Twaha Mwaipaya ANAPATIKANA akiwa HAI. Kwa pamoja, TUPINGE UTEKAJI.
5
149
1
452
5,773
MWAMPOSA KIBOKO YA BENKI KUU: Benki Kuu ya Tanzania (B.O.T) IMESALIMU AMRI kwa MWAMPOSA na kumuwekea PESA muumini mmoja, baada ya KUFANYIWA MAOMBI NA MWAMPOSA๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
60
18
6
283
51,352