623/2026 🗨️ retweeted
Replying to @iammartial97 @2Ndulisu
Tena shetani mwenyewe hana kanisa wala kitabu cha kuwashawishi
623/2026 🗨️ retweeted
Replying to @iammartial97 @2Ndulisu
Kila jumapili wanamshinda
Ila jumapili inayofuata bado wanarudi kumpiga
Tena wapo wengi sana sasa yeye na wao nani zadi
623/2026 🗨️ retweeted
Mtu akivamia nyumba usiku akavunja geti then akavunja mlango akaingia chumbani kwa mwanamke akabaka then akamuua yule mwanamke na baada ya kumaliza matendo yote hayo akaiba mali zilizokuwepo kwenye kile chumba e.g Simu, pesa etc
Mtu huyu akishakamatwa atashtakiwa kwa kosa moja kubwa ambalo ni mauaji. October 29, 2025 kulikuwa na mambo mengi ila kubwa ni mauaji ambalo ndio wananchi tunataka kujua ukweli na uwajibikaji wake
Mmepaona Afghanstan lakini, achana na zile story za BBC na CNN, na nchi inaongozwa na wanamgambo wa Taliban.
Muache mara moja kuifananisha nchi yenu na Afghanstan.
67
623/2026 🗨️ retweeted
Replying to @2Ndulisu @ChaliiMason
Weka sawa Dini Mfumo wa Maisha unamuongoza mwanadam katika nyanja ya kijamii, uchumi, siasa na imani nk
Shetani ni illusion, dhambi tunafanya kwa akili zetu wenyewe
Replying to @2Ndulisu
Toka nipo mdogo kwenye hizi doni shetani anafukuzwa mpaka leo hajawahi kutoka,how powerful is he?
1
2
96
623/2026 🗨️ retweeted
Kwenye Ukristo Sasa
Neno *Ukristo* limetoka kwenye neno *Kristo*.
*Kristo* ni tafsiri ya Kigiriki ya neno la Kiebrania *Masihi*, maana yake ni *"Aliyepakwa Mafuta"* au *"Aliyechaguliwa na Mungu"*.
623/2026 🗨️ retweeted
Unataka dini sio Tuanzie hapa Neno *Islam* limetoka kwenye Kiarabu.
Kimaana yake halisi ni mambo mawili:
*1. Kujisalimisha / Kutiika*
Yaani mtu kujisalimisha kabisa kwa Mungu (Allah) na kutii amri zake.
Na kristo amekuja miaka 1500 baadae, kwa maana hyo unataka kunambia Enzi za kina Musa walikuwa hawaabudu sababu kulikuwa hakuna Ukristo?
Kwenye Ukristo Sasa
Neno *Ukristo* limetoka kwenye neno *Kristo*.
*Kristo* ni tafsiri ya Kigiriki ya neno la Kiebrania *Masihi*, maana yake ni *"Aliyepakwa Mafuta"* au *"Aliyechaguliwa na Mungu"*.
1
2
109
Hizi story umetoa wapi, au ndo hadithi za vitabu vya Hizo Dini?
Umeandika kama ulikuwepo, ila Pamoja na hayo yote kumhusu shetani na Mungu sijaona mahali umeongelea Dini.
Replying to @2Ndulisu
Okay twende sawa tupeane elimu tusijilemaze na ujinga Joh kila kitu Kimeletwa Asilimia Zote ni MUNGU
Hata hao wasiomjua anawabariki bila kubagua
Shetan aliumbwa kabla ya Bin Adam na akaamini yeye atapewa mamlaka ya kuongoza vyote
Alivoona Bin Adam kaumbwa tena kwa udongo…….
Umenielezea Shetani ni nani kwa mujibu wa vitabu vya Dini ambayo ndo nakuambia imekuja kumfanya Shetani maarufu kwa binadamu.
Huenda isingekuwa hizi Dini tusingemjua shetani.
Kwa hyo tunatenda Dhambi sababu tushapewa mtu wa Kumlaumu.
Replying to @ChaliiMason @2Ndulisu
Mwenyezi MUNGU Akampa adhabu ya kuish mbali naye akasubir siku ya mwisho aende motoni
Shetan akamjibu sawa nakwenda ila hao watu wako ntakuja nao matrillion kwa matrillion
Ko shetan anajiweka na mtu mwema ili ampotoshe
Anaenda kila chicho

















