Mtanganyika | Mkulima | Polygamist |Afisa Ubashiri | Beer & Bebez | Babu | Katikati ya usiku nitaamka nikushukuru 🙏🏿 #VituVyaPeponi #MatomboStyle⭐️

Matombo, Morogoro, Tanganyika
Joined November 2010
UKWELI MCHUNGU: Kama baba yako angeamua kukwambia mabaya aliyokuwa anafanyiwa na mama yako hiyo heshima unayompa mama yako leo wala usingempa. Mama zetu tunawaheshimu na kuwapenda kwa sababu tu baba zetu waliamua “kufa kiume” na mambo yao moyoni. Heshima kwa wababa/wanaume wote!!
36
218
13
986
182,532
Aisee 😊
Fire bby 🔥🔥😋💋
1
7
728
Replying to @jwise017
Umri unakufanya wewe mwenyewe uanze kubadilika tu; you want or not
1
1
2
116
Ukiongea na Bodaboda wenye miaka 35 na kuendelea kuhusu mustakabali wa badae; unajifunza kitu. Mosi, wamejikongoja kupeleka watoto shule za “private”; wakiwa na ndoto watoto wao na wasije kuwa “bodaboda kama mimi”. Pili, wana hofu kuhusu Usalama wa kazi yenyewe, hivyo hawaendeshi “hovyo” kama Gen-Z. Lakini, wanawaza Kustaafu tayari; kwa maana wamejipanga kubadili kazi; au kuajiri vijana wenzao. Aidha, baadhi wanaanza kuona umuhimu wa “kuacha pombe” na “usela”! Ni hadithi ya umri na mabadiliko ya tabia pamoja na umuhimu wa kuwa na ndoto zinazotekelezeka.
5
24
4
145
8,123
Nzuri sana hii, matured wapo wengi sana!

705
Hawa jamaa wanaotuhubiria neno la Mungu kwenye vituo vya daladala nao wanapata mkate wao kwa shida sana. Hili jua linavyotandika imagine mtu anakomaa kuanzia asubuhi mpaka jioni. 🙌🏾
1
345
Ila roast maini tamu bwana acha tu watu wauane 🙌🏾
7
358
NYANI MZEE retweeted
Huhitaji kuthibitisha kila taarifa unayoisikia kukuhusu 😎
7
11
2
50
5,978
Daslama ina nyama jamani 🙌🏾🙌🏾
3
2
24
2,038
NYANI MZEE retweeted
women just as yall get bored mwanzoni sisi kuongelea sex na sisi vile vile mwanzoni mnaanza ongelea shida za hela tu
1
3
3
7
1,668
women just as yall get bored mwanzoni sisi kuongelea sex na sisi vile vile mwanzoni mnaanza ongelea shida za hela tu
1
11
1,273
📌
No matter the circumstances, never date your friend's ex.
1
1
5
544
Hehe, kwa akili ya haraka haraka angeamua kuiuza angepata shingapi?!😂 Kweli kuuepuka umaskini ni either ugombane na Mungu au serikali😁🙌
16
22
1
96
5,313
😂😂
Wagonjwa wangu Gen Z (mabinti) wana hatari sana, imagine mtu haji kwenye appointment kisa hakua amesuka! 😂😂🚮
1
2
503
We will never forget. Rip to our fallen heroes 🕊️
1
64
Inabidi sasa nifanye juhudi nianze kufanana na wazee wenzangu, haiwezekani mmama mtu mzima kabisa ananiita “anko” 🤔
2
29
909
Morning Jam 💪🏿
132
Aisee 🤔
Kwani mwanafunzi haipiti 😂😂🫰🫰
414
Mtu mmoja anaposti picha alizopiga kwa kutumia simu yake ya bei rahisi na akiwa kwenye mazingira yake halisi. Mwingine anaposti picha alizopiga kwa simu nzuri ya kuazima tena akiwa kwenye “location” nzuri sana. Mmoja hapa anafanya kosa kubwa sana.
1
7
24
809
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
@jwise017 tunaelewa huu mchezo uswazi
Girls don’t go to clubs just to “have fun” or “dance with their friends.” They go for three things only:
1
1
63