Chuga (@2pac_thuggish) header
Chuga (@2pac_thuggish) profile picture

2pac theory ♻️ just some regular guy ✌🏿 Mr. Random facts✌🏾

Las Vegas, NV
Joined May 2021
Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)
Chuga retweeted
Nadhani kuna umuhimu mkubwa sana wa watu kupendwa na wazazi wao kuanzia wakiwa wadogoo, most of people ambao hawajaexperience this type of love , huwaga bitter sana wakiwa wakubwa na wenye chuki mingi sababu hawajui nini maana ya mapendo
9
19
4
85
3,959
Chuga retweeted
Ila wanawake wanaongoza kwa kuumwa hovyo, Leo ataugua kichwa, kesho tumbo next week atakuambia kifua. Yaani wanawake wao kuugua ni sehemu ya maisha yao ya kila siku.💔😂🙌🏿
73
68
6
331
19,578
Mimi sijui kama wew ni wa chama A au B au huna akili!! ila ninachojua hapa umeongea point kubwa sana, kama tulikosea haimaanishi tunatakiwa kukosea zaidi,.. hili taifa linatuhitaji tuwe na akili timamu kuliko mihemko maana ni rahisi kuziba ufa kuliko kujenga ukuta💯🤝.
Sasa tusipokaa maana yake tunatengeneza taifa la chuki? Chuki ikikomaa mnataka tuwe kama wenzetu wa Congo? Au unadhan Somalia waliamka tu gafla na kuanza kulipuana chuki zinafugwa na zikikomaa zinakua hatari, kama taifa tulikosea ila kwa sasa tuna nafasi ya kurekebisha
4
4
3
13
1,794
Chuga retweeted
Kwenye ile Empire state of mind ya Jay Z ft.Alicia Keys, Kuna namna ile beat inavoanza ilipigwa kick kali sana na jay alivoanza kuflow alipita nayo kitaikuni balaa. Then dada yetu Alicia Keys alikuja kubamiza na sauti ya juu sana kiasi kwamba mtu akiusikia wimbo hata mara sabini hatauchoka. Moja ya wimbo bora wa nyakati zote na utaishi sana tu📍🫡
2
13
39
1,416
Chuga retweeted
Watu wengi unaowaona wako smart, wenye furaha na wanaoonekana kuwa na amani ya moyo, wengi wao hawapo kwenye mahusiano.
8
34
121
2,823
Replying to @Mwenyekit_i
Only women, children, and dogs are loved unconditionally. A man is only loved under the condition that he provides something. Cc. Chris Rock.
2
2
5
176
#HipHopFamily kifo cha Ngwea chanzo ni Mawingu!✊🏿👮🏿
8
66
3
260
27,750
Watu wa Arusha Mliopo humu naombeni support yenu,Nataka kuanza biashara ya chakula lakini kwa delivery tu! Na nitafanya free delivery, ninaomba kama hutajali uniachie namba Dm nitaunda group ambayo nitakua napost menu ya siku kwa watakaohitaji watasema 🙏🙏
8
22
51
1,173
Kama unadhani Sex ndio kila kitu mwanaume anataka kwako Tazama hii picha Dada
🤖 Made with AI
21
23
2
275
23,417
Chuga retweeted
Ukweli usemwe , wanawake wengi ni wachoyo na wanajificha kwenye kivuli cha “women are not providers” , sidhani kama ni sawa 😒
9
10
2
79
2,526
I think the most important part of adulthood ni kujifunza kuchagua vitu vya kushirikisha akili yako na moyo wako. Si kila jambo linastahili nafasi kwenye mawazo yako,na si kila mtu anastahili nafasi kwenye hisia zako. Chagua nini cha kujali,cha kuachia na nini kisikuvuruge kabisa
8
60
3
312
7,124
NAULIZA: 1. Mungu wetu ni muweza yote, mjua yote na muona yote ya sasa na yajayo? Kabla hajamuumba shetani hakuona kama atakuja kumuasi? 2. Kama aliona atakuja kumuasi kwa nini hakuacha kumuumba au akamtengeneza tofauti? 3. Baada ya kumuumba kwa nini hakumbadilisha fikra zake akamfanya asimuasi? 4. Mbona kwenye vitabu vya dini Mungu kaua watu wengi tena wasio na hatia, Baada ya shetani kumuasi kwa nini asimuue tu ili watu wake waishi kwa amani? 5. Kama alishindwa kumuua kwa nini asimsamehe tu sisi tukaishi kwa amani? Anatwambia tusamehe 7x70 yeye mbona yeye alishindwa kumsamehe mmoja tu? Anatupa mfano gani? 6. Baada ya hayo yote kwa nini amtupe shetani duniani kwa watu wake wapendwa wakati anajua shetani ameshakuwa muharibifu? Wewe unaweza kumtupa nyoka chumbani kwa wanao na ukawafungia ndani? Ni upendo gani huo? 7. Kwa nini amchome binadamu motoni kwa kushawishika na shetani ambaye alimuumba akiwa na uwezo kumzidi binadamu na kumleta mwenyewe? Kosa la binadamu hapo liko wapi?
88
36
8
170
17,928
Chuga retweeted
Niweke Record Sawa Mara Ya Mwisho Kabisa Simba anaifunga Yanga Kwenye ligi Kuu -: 1. Crown Fm Bado Ilikuwa Haijaanzishwa 2. Nape Alikuwa waziri 3. P. makonda Hakuwa Mkuu wa Mkoa Mpaka leo ni waziri 4.Marioo bado Hajawa Na Mtoto 5. Comasava Ya Chibu ilikuwa Haijawa recorded 6.Manara alikuwa amefungiwa Kujihusisha na Soka 7.Mdude Tulikuwa nae Kitaa 8.Jemedar alikuwa EFM 9.Kikeke Bado alikuwa London Kama Mtangazaji, 10. Farhani Hakuwa Na Gari , 11. Mama amina Hajarecord "Tia Mguu" 12. Makombolelo Haijawa Hit song apa +255 13.TAL hajawa Na Kesi Ya Uhaini 14. Mbosso yupo Usafini Bado 15. Ibra Yupo Konde Music bado 16. dudu Baya Hajaanza Kuwatch His Back 17. No reforms no Election Haijaanzishwa 18.Miaka 30 ya Bongo fleva Haijaanzishwa 19. Kombe la Dunia Halijachezwa 20.Spack Bado Hajafariki
4
5
1
31
1,791
Replying to @pastajoshuatz
Isaiah 45:7 -" I form the light, and create darkness: I make peace, and create evil: I the Lord do all these things." Sasa hapo kazi ya shetani ni ipi?
1
1
66
Chuga retweeted
Kadri mtoto wa kiume anavokuwa anaanza kugundua thamani ya dingi yake kila siku hasa kwenye zile nyakati ngumu. Hapo ndipo anagundua kwanini baba yake alikuwa na koti moja tu wakati mama yake alikuwa ana magauni zaidi ya 20 Hapo ndipo anagundua kwanini baba yake kuna muda alikuwa anakaa nje peke yake na hapendi kelele Anaanza kuelewa kwanini kuna wakati baba yake alikuwa anarudi nyumbani nyt kali akiwa kalewa chakali. Anakuja kugundua kwanini kuna siku baba yake alikuwa anamfokea asipende kulala sana. Kiufupi inachukua miaka mingi sana watoto kuanza kuielewa sacrifice ya mshua kwao. Tuwapende, tuwalinde na tuwathamini sana washua zetu walikuwa wanapambana vita za kimya kimya nyingi sana📌🫡
5
23
115
3,427
Chuga retweeted
Mwanaume anao uwezo wa kutembea hadi kilomita 20 kwenye jua kali huku mkononi ana lile likabati la chuma lenye sambusa na chini kuna moto unawaka na katika kutembea kote huko kuna siku anaweza asiuze hata sambusa kumi kumbuka na kesho atatoka tena bila kukata tamaa,Aloo tuwaheshimu sana wanaume wanaopambana kwa namna moja au nyingine🫡🙌🏾
12
27
3
180
6,299
Chuga retweeted
Watanzania wengi kwa sasa ukiwatizama usoni ni kama wamezubaa hivi ugumu wa maisha umeleta msongo mkubwa sana wa mawazo kwenye jamii yetu watu ni kama wanataka kulia sema wanajikaza kama huamini muangalie jirani yako hapo karibu😁🫵🏾
12
22
125
1,928
Kama Kuna madem wamekapitia hii nrb ni madem wa mpesa ,hao watu wameoshwa na sharp boys ,kwanza wakipelekwa dinner date pale westlands alafu usiku apelekwa kwa sq kileleshwa afu Dem apande lift,akili inachanginyikiwa anapeana pins zote aty amegukia tajiri
9
86
153
1,292
Chuga retweeted
Sema kuna era Nicki Minaj alikuwa mtamu sana hapo katubariki wimbo unaitwa "Right By My Side" Verse ya ufunguzi nicki anaingia kama muimbaji anaimba kwa sauti ya kumtoa nyoka pangoni sauti imenyooka. Chris Brown wa moto kitambo hicho anakuja kufyatua bonge moja la verse plus swag zake kijana smart ajabu. Nicki Minaj baadae anabadilika kutoka kuimba hadi kuchana🙌🏾📌📌 Wimbo mkali mpangilio wa verse umetulia huku wakiitumia vyede beat kali. Wakuu mtanisamehe zamani ndio kulikuwa kuna muziki mzuri sana zile shine bright like diamond na masong kaza wa kaza yalifanya vijana waenjoy sana.
2
3
21
1,151
Chuga retweeted
Kwa kizazi cha sasa maboyfriend wengi wapo hilo kundi la pili😁😁 Maboyfriend wanaojua kuspoil asilimia kubwa ni wazee wa siku. Wengi wanadondokea kundi la pili kutokana na ugumu wa maisha. Japo wanawake wengi wanawish kuwapata maboyfriend wenye pigo za kitaikuni kama hilo kundi la kwanza😁🙌🏾
2
21
1
133
10,874