Chuga (@2pac_thuggish) header
Chuga (@2pac_thuggish) profile picture

2pac theory ♻️ just some regular guy ✌🏿 Mr. Random facts✌🏾

Las Vegas, NV
Joined May 2021
Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)Photo by Chuga (@2pac_thuggish)
We thought y'all hate Ruto, mbona mlie na bado hajaendea kuni na akachunge
1
64
The faith started in Judea, and Africa been part of its history since the early days... Egypt, Ethiopia, and North Africa helped shape Christian history long before European colonialism... Know the difference between where a religion started and where it grew roots
Replying to @MkulimaKante
Katafiti tena Ukristo haukuja Kutoka nje ya Afrika,
1
45
That's like flexin' the size of a hospital and actin' like every patient walkin' outta there cured!!
Replying to @FaradayMtz01
These are facts: hakuna mkoa wenye ofisi za makao makuu ya kampuni nyingi kama Dar, hakuna mkoa wenye professionals wengi kama Dar , hakuna mkoa wenye wafanya biashara wengi kama Dar, hakuna mkoa uliozalisha vijana wenye mafanikio wengi kama Dar, hakuna biashara utaifanya na ukakosa msaada kwa urahisi ukiwepo Dar, hakuna mkoa una-host mikutano mikubwa na mingi kwa biashara changa mpaka kubwa kuliko Dar. Briefly, unless umeajiriwa ila kijana ambae hauna muelekeo, toka huko mkoan uje Dar… unatusua kama utajituma! Biashara za mikoani 95% zina agiza bidhaa kutoka Dar, hakuna soko lenye mzunguko mkubwa wa biashara Afrika mashariki kuliko Kariakoo, hakuna mkoa wenye vijana walio fanikiwa kibiashara Tz nzima kuliko Dar. Hakuna biashara utafanya hapo Dar usitoboe….
1
67
Chuga retweeted
Nadhani kuna umuhimu mkubwa sana wa watu kupendwa na wazazi wao kuanzia wakiwa wadogoo, most of people ambao hawajaexperience this type of love , huwaga bitter sana wakiwa wakubwa na wenye chuki mingi sababu hawajui nini maana ya mapendo
9
19
4
85
3,959
Chuga retweeted
Ila wanawake wanaongoza kwa kuumwa hovyo, Leo ataugua kichwa, kesho tumbo next week atakuambia kifua. Yaani wanawake wao kuugua ni sehemu ya maisha yao ya kila siku.💔😂🙌🏿
73
68
6
331
19,578
Mimi sijui kama wew ni wa chama A au B au huna akili!! ila ninachojua hapa umeongea point kubwa sana, kama tulikosea haimaanishi tunatakiwa kukosea zaidi,.. hili taifa linatuhitaji tuwe na akili timamu kuliko mihemko maana ni rahisi kuziba ufa kuliko kujenga ukuta💯🤝.
Sasa tusipokaa maana yake tunatengeneza taifa la chuki? Chuki ikikomaa mnataka tuwe kama wenzetu wa Congo? Au unadhan Somalia waliamka tu gafla na kuanza kulipuana chuki zinafugwa na zikikomaa zinakua hatari, kama taifa tulikosea ila kwa sasa tuna nafasi ya kurekebisha
4
4
3
13
1,794
Chuga retweeted
Kwenye ile Empire state of mind ya Jay Z ft.Alicia Keys, Kuna namna ile beat inavoanza ilipigwa kick kali sana na jay alivoanza kuflow alipita nayo kitaikuni balaa. Then dada yetu Alicia Keys alikuja kubamiza na sauti ya juu sana kiasi kwamba mtu akiusikia wimbo hata mara sabini hatauchoka. Moja ya wimbo bora wa nyakati zote na utaishi sana tu📍🫡
2
13
39
1,416
Chuga retweeted
Watu wengi unaowaona wako smart, wenye furaha na wanaoonekana kuwa na amani ya moyo, wengi wao hawapo kwenye mahusiano.
8
34
121
2,822
Replying to @Mwenyekit_i
Only women, children, and dogs are loved unconditionally. A man is only loved under the condition that he provides something. Cc. Chris Rock.
2
2
5
176
Legend 😂🙌🏽
Replying to @Wizdomtz
Tumia madem wote wa nne hii sms kwenye namba zako halsi "kwa hiyo tumefika huku" mwemye sms yake atakua ushampata
2
2
55
#HipHopFamily kifo cha Ngwea chanzo ni Mawingu!✊🏿👮🏿
8
66
3
260
27,750
Watu wa Arusha Mliopo humu naombeni support yenu,Nataka kuanza biashara ya chakula lakini kwa delivery tu! Na nitafanya free delivery, ninaomba kama hutajali uniachie namba Dm nitaunda group ambayo nitakua napost menu ya siku kwa watakaohitaji watasema 🙏🙏
8
22
51
1,173
Kama unadhani Sex ndio kila kitu mwanaume anataka kwako Tazama hii picha Dada
🤖 Made with AI
21
23
2
275
23,417
These youngins ain't even got paid yet, but the fit on Instagram, the restaurant on Google Maps, and the debt already on M-Pes... Broke with premium taste gang 😂
4
2
59
Chuga retweeted
Ukweli usemwe , wanawake wengi ni wachoyo na wanajificha kwenye kivuli cha “women are not providers” , sidhani kama ni sawa 😒
9
10
2
79
2,526
I think the most important part of adulthood ni kujifunza kuchagua vitu vya kushirikisha akili yako na moyo wako. Si kila jambo linastahili nafasi kwenye mawazo yako,na si kila mtu anastahili nafasi kwenye hisia zako. Chagua nini cha kujali,cha kuachia na nini kisikuvuruge kabisa
8
60
3
312
7,124
NAULIZA: 1. Mungu wetu ni muweza yote, mjua yote na muona yote ya sasa na yajayo? Kabla hajamuumba shetani hakuona kama atakuja kumuasi? 2. Kama aliona atakuja kumuasi kwa nini hakuacha kumuumba au akamtengeneza tofauti? 3. Baada ya kumuumba kwa nini hakumbadilisha fikra zake akamfanya asimuasi? 4. Mbona kwenye vitabu vya dini Mungu kaua watu wengi tena wasio na hatia, Baada ya shetani kumuasi kwa nini asimuue tu ili watu wake waishi kwa amani? 5. Kama alishindwa kumuua kwa nini asimsamehe tu sisi tukaishi kwa amani? Anatwambia tusamehe 7x70 yeye mbona yeye alishindwa kumsamehe mmoja tu? Anatupa mfano gani? 6. Baada ya hayo yote kwa nini amtupe shetani duniani kwa watu wake wapendwa wakati anajua shetani ameshakuwa muharibifu? Wewe unaweza kumtupa nyoka chumbani kwa wanao na ukawafungia ndani? Ni upendo gani huo? 7. Kwa nini amchome binadamu motoni kwa kushawishika na shetani ambaye alimuumba akiwa na uwezo kumzidi binadamu na kumleta mwenyewe? Kosa la binadamu hapo liko wapi?
88
36
8
170
17,928
A wedding ring is a sign of commitment, not a lifetime ban from nightlife... Y'all confuse being married with being retired from having fun!
Naweza nikawa judgey in this ila nahis haiko sawa , seeing watu wa makamo( 35+) and men with rings , drinking and dancing on clubs late at night ( saa 8+) . Arent you supposed to be cuddling with your wives and talk about raising your kids or adding others
2
5
7
169
You can be a responsible husband and father without making your entire identity about being a husband and father... As long as your priorities are in order, what's wrong with enjoying a night out?
4
3
50